Mama Mwenye Nyumba
๐ต 1724 characters
โฑ๏ธ 3:30 duration
๐ ID: 13850200
๐ Lyrics
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
(Nazdaaa)
Mi najiuliza maswali nihame niende mbali
Kwa visa unavyo nifanyia mama (mama ehh)
Mi namla humu dalali ndo kaniletea shali
Mitego imenizidia jama (jamaa ee)
Ahh ah, kiti kipo akai akifua, akipika anainama
Mama kiboko (mama kobokoo eeeh)
Jana kani letea chai leo kaleta ubwabwa na nyama
Na kanga mokoo (na kanga moko eeh)
Anavyo nipa vishawishi mwishowe nashindwa jizuia
Yata nifika mazishi mumewe aki nifumania
Kasema amfikishi mzee ana tumbo la beer
Mama anataka mwichi yani kisu kikachane pazia
Aaah, niue nisiue? (Uwa!)
Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti
Nami nyumba ninamajukumu
Niue nisiue? (Uwa!)
Wasije kunivutia ndumbu,
Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
Nikimpa kodi anakataa anairudisha
Bill ya maji, bill ya umeme anazirudisha
Aah! Ah! Niki muamukia anakataa anajinunisha
Kweli n'gombe azeeki maini, anajibaebisha
Usiku nagonga milango anakuja tupu-tupu
Ananizuga samaki chambo tucheki movie za lufufu
Hajui nimetoka jando ananiforce mabusu
Nisije nikampa tango nikaishia kisutu
Nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwa
Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeah yeah
(Mama aeh)
Akaukagi kujipisha wivu ndo unamkasirisha
Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeeh yeah

Wasije kunivutia ndumbu

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:00.15] Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
[00:04.67] Mama mwenye nyumba utaniua wee
[00:08.28]
[00:16.67] (Nazdaaa)
[00:17.54] Mi najiuliza maswali nihame niende mbali
[00:21.67] Kwa visa unavyo nifanyia mama (mama ehh)
[00:25.87] Mi namla humu dalali ndo kaniletea shali
[00:30.08] Mitego imenizidia jama (jamaa ee)
[00:34.23] Ahh ah, kiti kipo akai akifua, akipika anainama
[00:38.83] Mama kiboko (mama kobokoo eeeh)
[00:42.98] Jana kani letea chai leo kaleta ubwabwa na nyama
[00:47.66] Na kanga mokoo (na kanga moko eeh)
[00:51.22] Anavyo nipa vishawishi mwishowe nashindwa jizuia
[00:55.87] Yata nifika mazishi mumewe aki nifumania
[01:00.02] Kasema amfikishi mzee ana tumbo la beer
[01:04.56] Mama anataka mwichi yani kisu kikachane pazia
[01:08.20] Aaah, niue nisiue? (Uwa!)
[01:10.57] Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti
[01:14.73] Nami nyumba ninamajukumu
[01:16.96] Niue nisiue? (Uwa!)
[01:19.16] Wasije kunivutia ndumbu,
[01:21.21] Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
[01:25.39] Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
[01:29.43] Mama mwenye nyumba utaniua wee
[01:33.12] Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
[01:37.97] Mama mwenye nyumba utaniua wee
[01:41.92] Nikimpa kodi anakataa anairudisha
[01:46.23] Bill ya maji, bill ya umeme anazirudisha
[01:50.24] Aah! Ah! Niki muamukia anakataa anajinunisha
[01:54.53] Kweli n'gombe azeeki maini, anajibaebisha
[01:58.99] Usiku nagonga milango anakuja tupu-tupu
[02:03.49] Ananizuga samaki chambo tucheki movie za lufufu
[02:07.79] Hajui nimetoka jando ananiforce mabusu
[02:11.96] Nisije nikampa tango nikaishia kisutu
[02:16.06] Nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwa
[02:20.43] Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeah yeah
[02:23.64] (Mama aeh)
[02:25.04] Akaukagi kujipisha wivu ndo unamkasirisha
[02:28.82] Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeeh yeah
[02:31.37] (Mama aeh)
[02:33.48] Aaah, niue nisiue? (Uwa!)
[02:35.80] Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti
[02:39.65] Nami nyumba ninamajukumu
[02:41.70] Niue nisiue? (Uwa!)
[02:44.37] Wasije kunivutia ndumbu
[02:46.06] Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
[02:50.07] Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
[02:54.37] Mama mwenye nyumba utaniua wee
[02:58.43] Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
[03:03.00] Mama mwenye nyumba utaniua wee
[03:06.83]