Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Shida Za Kidosi

๐Ÿ‘ค King Kaka โ€ข ๐ŸŽผ Shida Za Kidosi โ€ข โฑ๏ธ 3:47
๐ŸŽต 2247 characters
โฑ๏ธ 3:47 duration
๐Ÿ†” ID: 13876044

๐Ÿ“œ Lyrics

Yaani shidaa jaajaa, shida jaajaa
Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi

Yeah
They're asking for when I would be rich
I told them I wanna be wealthy
I ball like am running a bitch
You think I was working for Chelsea
I'm whipping I'm working in the
Kitchen and check how i hustle they guess
I will be switching kwa media
But lately my target us different a man on a mission
I mean

Mi nataka shida za kidosi kuingiza
Manoti kupiganga mashopping Dubai
Mi nataka simamisha maploti
Huko Thika na Nairobi na pia hizo maprofit zijae
Zile machakula ninasosi mashiro
Wananinoki wakue ni madoggi walai
Ninunue share za keroche kwa boardroom ni njoti
Na coffee na moshi ya ngwai
Na kaa kuna traffic nachill sina pressure
na tena mi sishikiki nduthi
Account kama tano na zote ziliingia kitu mita fifty juzi
Juu mi ni nini kama mi si mbuzi
G.O.A.T MC na hizo party mi sikuji

Haina faida then mi sikuji
Boys club ile niko ni ya mabazuu kama Chris Kirubi
Hehe
Nataka shida za akina Bill na Aliko Dangote
Mbona nijiumize kichwa nikibonga
Juu ya Lamborghini kama niko na zote
Am a G I believe in the process
Ni bidii coz they see all the progress
Na sitaki hizo shida za masafara
Mungu nibariki mpakaa watii na wachoke

Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi
Nipe shida

I'm making big paper na bills since Malinde left
Na saf wakirusha kadeal deal mi na invest
Delicacy na skill skill bado na_finese
I made millions nikagundua money sio happiness
Nikisema shida za kidonga sio cancer au diabetes
Nairobi news wakibonga mi niko ndani ya Bentley
Bado mhumble lakini account ina kiburi
Kiburi ya kukosa kurudisha missed call ya Kirubi
Hakuna mtu ugly ni vile umesota tu

Juu gangsters we move in silence
Then kiko ninatipytoe
First class free to I and P ni macrypytoe
Nilikuwa nawatch neighbors kwa neighbor
Sahii niko kwa tv ya neighbor
Ma neighbor wananiwatch kwa maybach
Nikiwachill nikiwalay back

Nipate na ghetto malunch pia ghetto ma dinner
Cheki mbosho inajua dead presidents by majina
Nataka shida hadi Pascal ananishow niwatch Selina
Za kidosi
Nipe shida za kidosi, za kidosi

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings