Wambea
๐ต 2497 characters
โฑ๏ธ 4:11 duration
๐ ID: 13882268
๐ Lyrics
Ale wambea wambea wote
Posa hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Bella posena hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Nala ng'ombe sasa hivi sili bata
Nikichoka kulala nahitaji kupakata
Wacha wapambe maneno wanoropoka eh
Wakimaliza kunena wataanza kukatika
Tena Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana
Hata kwenye kiza plate number wanaisoma
Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana
Hata kwenye kiza plate number wanaisoma
Wanapiga piga stori kuhusu mimi na wewe
Chumvi zikiisha wanakuja watugongee
Mahaba ee, mahaba ning'ate
Mahaba ee, nizike kabisa ili nipotee
Na kila sababu ya kulinga na penzi lako, honey
Nawapa makavu wenye chuki na pendo letu kwani
Nazunguka nikirudi nasikia yamejaa kibao
Maneno ya kipuuzi watajaza na midumu kibao
Ya ndani ya kwetu we na mi baby wangu eh
Wakose jawabu wenye chuki na pendo letu woh
Wanaleta umbea, maneno ya kipuuzi oh
Wanaleta umbea, lolo, lolo, lolo, loo
Mchawi binadamu, paka anatumwa tu elewa baby
Maneno ni haramu, wanataka kugombanisha mi na wewe
Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
Wapambe (usiwape uchochoro)
Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow)
Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)

Ni upendo wa dhati unanisumbua
Kukupata bahati nataka tulia
Kukuacha sitaki hata kusikia
Roho tu, yangu roho mama nitaja jutia
Aah mi jogoo nataka koo, popote ulipo
Nitakuwepo popote uendapo
Mmh naiseti seti, naiseti
Mipango bado
Naiseti seti, ah naiseti
Ah, ah, ah, tufanye yetu
Maneno yangekuwa yanatoboa mama ningeshageuka tenga
Wacha waseme waseme sana ninachowaza kujenga
Ale wambea wambea wote
Posa hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Mi nasema pose hakuna (posesanga)
Ale longo hakuna (posese kisanga)
Mama yee, mamaa yeee
Inawauma na inawachoma sana
Wanaona aibu, ona wote vichwa chini
Kisa tunapendana mama mama mama
Wewe ringa ringa mama, moyo ushasimama kwako
Maneno si shida, umesikia nani kazikwa ah?
Tena ringa mama, kwa kifo sisi tutawazika
Wambea pose lakuna
Mama iye iyee (posese kisanga)
Sema mama ah (posesanga)
Lobi longwe hakuna mama ah (posese kisanga)
Wowowo, wowowo mama eh iye iye iye

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:00.66] Ale wambea wambea wote
[00:01.95] Posa hakuna (posesanga)
[00:03.53] Wala longo hakuna (posese kisanga)
[00:05.55] Bella posena hakuna (posesanga)
[00:07.34] Wala longo hakuna (posese kisanga)
[00:08.80] Nala ng'ombe sasa hivi sili bata
[00:13.16] Nikichoka kulala nahitaji kupakata
[00:17.27] Wacha wapambe maneno wanoropoka eh
[00:21.61] Wakimaliza kunena wataanza kukatika
[00:25.28] Tena Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana
[00:30.35] Hata kwenye kiza plate number wanaisoma
[00:34.41] Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana
[00:38.63] Hata kwenye kiza plate number wanaisoma
[00:42.01] Wanapiga piga stori kuhusu mimi na wewe
[00:46.47] Chumvi zikiisha wanakuja watugongee
[00:50.49] Mahaba ee, mahaba ning'ate
[00:54.59] Mahaba ee, nizike kabisa ili nipotee
[00:58.79] Na kila sababu ya kulinga na penzi lako, honey
[01:02.62] Nawapa makavu wenye chuki na pendo letu kwani
[01:06.43] Nazunguka nikirudi nasikia yamejaa kibao
[01:10.68] Maneno ya kipuuzi watajaza na midumu kibao
[01:14.55] Ya ndani ya kwetu we na mi baby wangu eh
[01:18.54] Wakose jawabu wenye chuki na pendo letu woh
[01:22.40] Wanaleta umbea, maneno ya kipuuzi oh
[01:26.59] Wanaleta umbea, lolo, lolo, lolo, loo
[01:30.52] Mchawi binadamu, paka anatumwa tu elewa baby
[01:34.58] Maneno ni haramu, wanataka kugombanisha mi na wewe
[01:39.05] Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
[01:43.82] Wapambe (usiwape uchochoro)
[01:45.71] Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow)
[01:49.82] Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
[01:53.59] Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
[01:55.57] Wapambe (usiwape uchochoro)
[01:57.65] Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
[02:01.84] Ni upendo wa dhati unanisumbua
[02:05.91] Kukupata bahati nataka tulia
[02:09.76] Kukuacha sitaki hata kusikia
[02:13.80] Roho tu, yangu roho mama nitaja jutia
[02:17.19] Aah mi jogoo nataka koo, popote ulipo
[02:22.16] Nitakuwepo popote uendapo
[02:33.58] Mmh naiseti seti, naiseti
[02:37.14] Mipango bado
[02:38.28] Naiseti seti, ah naiseti
[02:41.52] Ah, ah, ah, tufanye yetu
[02:45.05] Maneno yangekuwa yanatoboa mama ningeshageuka tenga
[02:49.16] Wacha waseme waseme sana ninachowaza kujenga
[02:52.61] Ale wambea wambea wote
[02:53.95] Posa hakuna (posesanga)
[02:55.75] Wala longo hakuna (posese kisanga)
[02:56.83] Mi nasema pose hakuna (posesanga)
[02:58.68] Ale longo hakuna (posese kisanga)
[03:02.64] Mama yee, mamaa yeee
[03:06.99] Inawauma na inawachoma sana
[03:10.92] Wanaona aibu, ona wote vichwa chini
[03:14.44] Kisa tunapendana mama mama mama
[03:17.48] Wewe ringa ringa mama, moyo ushasimama kwako
[03:21.75] Maneno si shida, umesikia nani kazikwa ah?
[03:26.03] Tena ringa mama, kwa kifo sisi tutawazika
[03:28.73] Wambea pose lakuna
[03:30.88] Mama iye iyee (posese kisanga)
[03:33.65] Sema mama ah (posesanga)
[03:34.85] Lobi longwe hakuna mama ah (posese kisanga)
[03:37.97] Wowowo, wowowo mama eh iye iye iye
[03:41.62] Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
[03:43.91] Wapambe (usiwape uchochoro)
[03:45.81] Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow)
[03:49.34] Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
[03:53.66] Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
[03:55.92] Wapambe (usiwape uchochoro)
[03:57.82] Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
[04:03.63]