Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nina Wimbo

๐Ÿ‘ค Christina Shusho โ€ข ๐ŸŽผ Nipe Macho โ€ข โฑ๏ธ 5:30
๐ŸŽต 1554 characters
โฑ๏ธ 5:30 duration
๐Ÿ†” ID: 13908592

๐Ÿ“œ Lyrics

Mimi Nina wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo
Mwenzenu nina wimbo, wimbo, wimbo

Eheeehhh
Wohooooo, yeeeeh ahhh

Nina wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo, wimbo wa sifa
Wimbo, wimbo, wimbo
Wimbo wa shukrani
Wimbo, wimbo, wimbo
Yesu wimbo wangu
Wimbo, wimbo, wimbo

Nitamwimbia Bwana kwakua ametukuka sana
Farasi nampanda, farasi amevuka bahari
Mungu kwa rehema zake amewaongoza watu wake akawakomboa
Vizazi vya watu wameskia na wametetemeka

Nina wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo
Wimbo wangu ni Yesu
Mimi nina wimbo, wimbo
Mwenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo

Eeh Bwana
Katika miungu nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye kuogopwa katika sifa zote
Mfanya maajabu kwa pekee
Jehovah, jehovah
Wewe ndiwe wimbo wangu
Yaweh, yaweh
Wewe ndiwe wimbo wangu
Mwokozi, mwokozi
Mkombozi, mkombozi
Tabibu, tabibu
Wewe wimbo wangu
Mwokozi, mwokozi
Tabibu, tabibu
Wewe wimbo wangu
Rabbi, rabii
Wewe wimbo wangu
Mwalimu, mwalimu
Wewe wimbo wangu

Nina wimbo, wimbo, wimbo
Yesu wimbo wangu
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo
Wimbo, wimbo,wimbo
Yesu wimbo wangu
Wenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Yesu furaha yangu
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Jawabu la shida zangu
Nina wimbo, wimbo, wimbo
Ukimwita anajibu
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Wimbo wangu
Mwenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo

(Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo)
Wimbo wa rafiki yangu kipenzi
Yesu rafiki yangu
Mimi nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Haleluyah
Mwenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo,wimbo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.66] Mimi Nina wimbo, wimbo, wimbo
[00:16.82] Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo
[00:27.42] Mwenzenu nina wimbo, wimbo, wimbo
[00:34.63] Eheeehhh
[00:36.51] Wohooooo, yeeeeh ahhh
[00:44.47] Nina wimbo, wimbo, wimbo
[00:48.02] Mimi nina wimbo, wimbo wa sifa
[00:50.43] Wimbo, wimbo, wimbo
[00:53.03] Wimbo wa shukrani
[00:56.48] Wimbo, wimbo, wimbo
[00:58.65] Yesu wimbo wangu
[01:01.09] Wimbo, wimbo, wimbo
[01:04.94] Nitamwimbia Bwana kwakua ametukuka sana
[01:09.30] Farasi nampanda, farasi amevuka bahari
[01:14.67] Mungu kwa rehema zake amewaongoza watu wake akawakomboa
[01:19.98] Vizazi vya watu wameskia na wametetemeka
[01:26.88] Nina wimbo, wimbo, wimbo
[01:31.10] Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo
[01:35.93] Wimbo wangu ni Yesu
[01:37.27] Mimi nina wimbo, wimbo
[01:41.16] Mwenzenu nina wimbo
[01:44.46] Wimbo, wimbo, wimbo
[01:49.81] Eeh Bwana
[01:51.74] Katika miungu nani aliye kama wewe
[01:55.02] Mtukufu katika utakatifu
[01:58.27] Mwenye kuogopwa katika sifa zote
[02:00.51] Mfanya maajabu kwa pekee
[02:03.45] Jehovah, jehovah
[02:16.48] Wewe ndiwe wimbo wangu
[02:17.83] Yaweh, yaweh
[02:26.99] Wewe ndiwe wimbo wangu
[02:40.65] Mwokozi, mwokozi
[02:42.56] Mkombozi, mkombozi
[02:45.31] Tabibu, tabibu
[02:47.28] Wewe wimbo wangu
[02:48.17] Mwokozi, mwokozi
[02:49.19] Tabibu, tabibu
[02:49.81] Wewe wimbo wangu
[02:51.10] Rabbi, rabii
[02:55.92] Wewe wimbo wangu
[03:01.39] Mwalimu, mwalimu
[03:10.26] Wewe wimbo wangu
[03:14.12] Nina wimbo, wimbo, wimbo
[03:17.63] Yesu wimbo wangu
[03:18.55] Nina wimbo
[03:20.20] Wimbo, wimbo, wimbo
[03:22.51] Mimi nina wimbo
[03:24.84] Wimbo, wimbo,wimbo
[03:28.10] Yesu wimbo wangu
[03:30.74] Wenzenu nina wimbo
[03:32.62] Wimbo, wimbo, wimbo
[03:33.57] Yesu furaha yangu
[03:34.21] Nina wimbo
[03:36.13] Wimbo, wimbo, wimbo
[03:38.62] Jawabu la shida zangu
[03:40.93] Nina wimbo, wimbo, wimbo
[03:43.81] Ukimwita anajibu
[03:45.34] Nina wimbo
[03:46.38] Wimbo, wimbo, wimbo
[03:49.80] Wimbo wangu
[03:51.58] Mwenzenu nina wimbo
[03:52.48] Wimbo, wimbo, wimbo
[04:18.05] (Nina wimbo
[04:19.34] Wimbo, wimbo, wimbo)
[04:22.19] Wimbo wa rafiki yangu kipenzi
[04:25.34] Yesu rafiki yangu
[04:27.61] Mimi nina wimbo
[04:28.30] Wimbo, wimbo, wimbo
[04:38.15] Mimi nina wimbo
[04:48.82] Nina wimbo
[04:49.72] Wimbo, wimbo, wimbo
[04:53.94] Haleluyah
[04:54.98] Mwenzenu nina wimbo
[04:56.84] Wimbo, wimbo,wimbo
[05:00.69]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings