Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Muziki Ni Dawa

๐Ÿ‘ค Ringtone โ€ข ๐ŸŽผ Muziki Ni Dawa โ€ข โฑ๏ธ 3:44
๐ŸŽต 515 characters
โฑ๏ธ 3:44 duration
๐Ÿ†” ID: 13966628

๐Ÿ“œ Lyrics

ahsante kwa mziiki ahsante mungu kwa ngoma
ebu wewe ona vile watu wake wanapona[ร—2]
mziki ni dawa ukiskiza utakuwa sawa
muziki ni dawa ndo maana mimi ninaiimba[ร—2]
shida zinanionea maisha ni kuvumilia, mimi ninang'ang'ana hivi naendea mganga
mwili inaniuma, kichwa kinaniuma, mgongo kinaniuma madawa yanywa siponi

swali unijibu, huu mziki una nini????

Nilikuwa ninapewa story ya mfalme mmoja
kwa jina aliitwa Sauli alipaka wa mwilii
kulikuwa na kijana mmoja kwa jina Daudi
alikuwa ana talanta, talanta kama mimi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.23] ahsante kwa mziiki ahsante mungu kwa ngoma
[00:13.29] ebu wewe ona vile watu wake wanapona[ร—2]
[00:17.58] mziki ni dawa ukiskiza utakuwa sawa
[00:30.57] muziki ni dawa ndo maana mimi ninaiimba[ร—2]
[00:43.45] shida zinanionea maisha ni kuvumilia, mimi ninang'ang'ana hivi naendea mganga
[00:50.40] mwili inaniuma, kichwa kinaniuma, mgongo kinaniuma madawa yanywa siponi
[00:59.13] swali unijibu, huu mziki una nini????
[01:03.84] Nilikuwa ninapewa story ya mfalme mmoja
[01:06.07] kwa jina aliitwa Sauli alipaka wa mwilii
[01:10.29] kulikuwa na kijana mmoja kwa jina Daudi
[01:12.09] alikuwa ana talanta, talanta kama mimi
[01:14.80]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings