Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Niteke

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Afro Bongo โ€ข โฑ๏ธ 3:16
๐ŸŽต 1345 characters
โฑ๏ธ 3:16 duration
๐Ÿ†” ID: 13974223

๐Ÿ“œ Lyrics

Chi!
Konde Boy...
He he he he
Genius (swagga de tha recipes)

I want to keep you
I no go let you go
Nishafunga na zipu kwengine nishasema no
Acha nikusifu uzuri wa nyumba choo
Na ulivyo nadhifu sipati vidonda vya koo
If you leave me I go die, I go die my baby
Na ukinipenda nitajidai, nitajidai my baby
Ooh ohh oh
Nakoma za zako kachiri, kachirii ukibinuka binuka
Eeeh eeeeh
Kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashuka mashuka

Asa baby niteke uniteke, unitekenye
Nicheke kama mtoto uniteke, ah baby nitekenye
Aaah hapo ndo penyewe
Uniteke unitekenye
Ninenepe kama mpoto
Nooooo!

Mmmnh
Macho yake nungunungu akinitazama
Nami nageuka nungunungu miba inasimama
Macho yake nungunungu akinitazama
Nami nageuka nungunungu miba inasimama

Ehh fanya wazi unachotaka, zidisha kunipenda
Ila kuna paparazi na basata tusichapane madenda

Ooh ohh oh
Nakoma za zako kachiri, kachirii ukibinuka binuka
Eeeh eeeeh
Kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashuka mashuka

Asa baby niteke uniteke, unitekenye
Nicheke kama mtoto uniteke, ah baby nitekenye
Aaah hapo ndo penyewe
Uniteke unitekenye
Ninenepe kama mpoto
Nooooo!

Asa baby mi nnataka nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Yani pinda nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Unishikilie nami nikugande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Ebu nipe nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Nami nikukande...
Chi!

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.38] Chi!
[00:03.55] Konde Boy...
[00:05.93] He he he he
[00:11.87] Genius (swagga de tha recipes)
[00:12.97] I want to keep you
[00:15.35] I no go let you go
[00:17.76] Nishafunga na zipu kwengine nishasema no
[00:19.56] Acha nikusifu uzuri wa nyumba choo
[00:26.25] Na ulivyo nadhifu sipati vidonda vya koo
[00:30.56] If you leave me I go die, I go die my baby
[00:35.13] Na ukinipenda nitajidai, nitajidai my baby
[00:39.19] Ooh ohh oh
[00:42.53] Nakoma za zako kachiri, kachirii ukibinuka binuka
[00:46.05] Eeeh eeeeh
[00:50.94] Kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashuka mashuka
[00:56.28] Asa baby niteke uniteke, unitekenye
[01:00.73] Nicheke kama mtoto uniteke, ah baby nitekenye
[01:03.72] Aaah hapo ndo penyewe
[01:06.34] Uniteke unitekenye
[01:09.00] Ninenepe kama mpoto
[01:11.29] Nooooo!
[01:13.07] Mmmnh
[01:16.28]
[01:22.42] Macho yake nungunungu akinitazama
[01:26.43] Nami nageuka nungunungu miba inasimama
[01:31.32] Macho yake nungunungu akinitazama
[01:35.51] Nami nageuka nungunungu miba inasimama
[01:40.09] Ehh fanya wazi unachotaka, zidisha kunipenda
[01:44.01] Ila kuna paparazi na basata tusichapane madenda
[01:48.33] Ooh ohh oh
[01:52.67] Nakoma za zako kachiri, kachirii ukibinuka binuka
[01:57.75] Eeeh eeeeh
[02:01.72] Kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashuka mashuka
[02:05.72] Asa baby niteke uniteke, unitekenye
[02:09.58] Nicheke kama mtoto uniteke, ah baby nitekenye
[02:13.79] Aaah hapo ndo penyewe
[02:17.20] Uniteke unitekenye
[02:19.33] Ninenepe kama mpoto
[02:21.56] Nooooo!
[02:23.67] Asa baby mi nnataka nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
[02:30.33]
[02:35.50] Yani pinda nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
[02:39.73] Unishikilie nami nikugande (pindaa, pinda mgongo pinda)
[02:44.78] Ebu nipe nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
[02:50.68] Nami nikukande...
[02:51.96] Chi!
[02:52.22]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings