Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Maamuzi

๐Ÿ‘ค Bahati Bukuku โ€ข ๐ŸŽผ Dunia Haina Huruma โ€ข โฑ๏ธ 11:51
๐ŸŽต 3423 characters
โฑ๏ธ 11:51 duration
๐Ÿ†” ID: 13988868

๐Ÿ“œ Lyrics

Maamuzi yako nimatokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe
Maamuzi yako nimatokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe

Alikuwepo mama mmoja ngoja niseme
Jina lake aliitwa Tundo
Alisumbuliwa na ugumba miaka mingi
Ndoa yake ilikuwa matatani
Hata mawifi zake wote hawakumpenda tena
Tundo aliamua kwenda kwa waganga
Alizunguka huku na kule kutafuta msaada
Aliona bora aende kwa waganga Tundo

Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe

Alikutana na mganga mmoja nchini Congo
Akampa dawa za kutosha Tundo
Tundo alizaa mtoto wa kiume
Jina lake alimwita Sinduna
Maajabu aliyokuwa nayo mtoto yule
Alikuwa amezaliwa na meno
Maajabu aliyokuwa nayo Sinduna
Alizaliwa na meno kama mtu mzima
Tundo kwa kuchelewa kwake alifurahi
Akaamini mganga amemsaidia
Lakini alipokuwa akinyonyesha mtoto yule
Ghafla alimng'ata mwili wake Tundo
Mwili ukapoa wote upande mmoja
Lilikuwa ni tatizo lililomsumbua Tundo

Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe

Tundo alilia akisema mwili wangu wote sasa umebadilika
Rangi ya ngozi yake Tundo
Iligeuka ikawa gamba la nyoka mwili mzima
Siku moja marafiki zake
Wakamtembelea Tundo
Siku moja ndugu zake walipomtembelea Tundo
Wakalia sana
Wakamwambia ndugu yetu Tundo
Tuna muhubiri anahubiri twende ukaombewe Tundo

Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema mama

Maamuzi yako unayochukua
Amua vema upate mema
Tundo akaondoka na mtoto wake
Huku tatizo la utasa limekwisha
Akifurahia kumuona mtoto
Alipokuwa muhubiri akihubiri
Alimuona Tundo mbele yake
Akamwambia mama njoo mbele
Tundo akasogea akijua muujiza umefika
Akamwambia Tundo njoo mbele
Tundo akijua Mungu amesikia
Mchungaji akauliza
Muhubiri akauliza
Umebeba nini mgongoni mwako Tundo?
Kwa ujasiri Tundo akasimama akasema
Nimebeba mtoto wangu anaitwa Sinduna
Kwa ujasiri Tundo akasimama
Akasema nimebeba mtoto jina Sinduna
Muhubiri akamwambia Tundo
Mshushe mtoto wako hapa kwenye madhabahu
Akaomba kwa imani sana
Mtoto aliageuka chatu mara ile
Eti Sinduna sio mtoto
Kumbe Sinduna ni chatu
Kumbe Sinduna sio mtoto
Kumbe Sinduna ni nyoka kubwa

Maamuzi yako nimatokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe

Muhubiri akamwambia Tundo
Mchukue mtoto wako sasa
Watu wote kwenye mkutano wakakimbia
Wahandishi wa habari wakapiga picha
Ni kweli unaweza kushangaa
Lakini ndiyo yaliyomkuta Tundo
Wahubiri waliposimama wakamwabia
Nenda kamwite mume wako
Mume alipokuja akaambiwa
Huyo ndiye mtoto wako Sinduna
Yule baba alilia sana
Akasema mganga mganga
Ule baba alilia kwa uchungu
Akasema kumbe Sinduna
Yule baba alilia sana
Akasema mungu wangu eh
Akalia kwa uchungu akilaumu
Kumbe mganga ametudanganya
Kumbe Sinduna sio mtoto
Kumbe sinona ni nyoka kubwa
Kumbe Sinduna sio mtoto
Kumbe Sinduna ni nyoka kubwa

Lipo jibu lipo
Maishani mwetu lipo jibu
Yesu jibu yupo
Maishani mwetu yupo
Katika magumu tuna yo pitiya
Yesu ndilo jibu
Katika aza tunazopitia
Yesu ndilo jibu
Muujiza upo upo
Maishani mwangu upo
Macho yangu yameona
Muujiza wangu unakuja
Macho ya rohoni yameona
Baraka zangu zinakuja
Moyo wangu mimi unanisudia
Baraka zangu zipo zina
Acha Baraka za kipepo zipite
Ziko baraka toka kwa mungu zinakuja

Lipo jibu lipo
Maishani mwako lipo jibu
Lipo jibu lipo
Hata kama limechelewa lipo
Jibu la maisha yako lipo
Jibu jibu eh
Jibu la tatizo lako
Jibu lako bado lipo

Lipo jibu lipo
Maishani mwetu lipo jibu
Yesu jibu Yupo
Maishani mwetu yupo jibu
Lipo jibu lipo
Maishani mwetu lipo jibu
Yesu jibu Yupo
Maishani mwetu yupo jibu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.08] Maamuzi yako nimatokeo ya kesho
[00:10.55] Amua vema upate mema wewe
[00:14.93] Maamuzi yako nimatokeo ya kesho
[00:20.57] Amua vema upate mema wewe
[00:25.97] Alikuwepo mama mmoja ngoja niseme
[00:31.25] Jina lake aliitwa Tundo
[00:35.27] Alisumbuliwa na ugumba miaka mingi
[00:40.66] Ndoa yake ilikuwa matatani
[00:45.85] Hata mawifi zake wote hawakumpenda tena
[00:51.66] Tundo aliamua kwenda kwa waganga
[00:56.02] Alizunguka huku na kule kutafuta msaada
[01:00.99] Aliona bora aende kwa waganga Tundo
[01:06.13] Maamuzi yako matokeo ya kesho
[01:11.75] Amua vema upate mema wewe
[01:16.34] Alikutana na mganga mmoja nchini Congo
[01:21.29] Akampa dawa za kutosha Tundo
[01:26.93] Tundo alizaa mtoto wa kiume
[01:31.82] Jina lake alimwita Sinduna
[01:36.74] Maajabu aliyokuwa nayo mtoto yule
[01:41.80] Alikuwa amezaliwa na meno
[01:47.18] Maajabu aliyokuwa nayo Sinduna
[01:52.37] Alizaliwa na meno kama mtu mzima
[01:57.22] Tundo kwa kuchelewa kwake alifurahi
[02:02.73] Akaamini mganga amemsaidia
[02:07.22] Lakini alipokuwa akinyonyesha mtoto yule
[02:12.61] Ghafla alimng'ata mwili wake Tundo
[02:17.79] Mwili ukapoa wote upande mmoja
[02:22.62] Lilikuwa ni tatizo lililomsumbua Tundo
[02:33.23] Maamuzi yako matokeo ya kesho
[02:38.48] Amua vema upate mema wewe
[02:43.26] Tundo alilia akisema mwili wangu wote sasa umebadilika
[02:53.32] Rangi ya ngozi yake Tundo
[02:58.42] Iligeuka ikawa gamba la nyoka mwili mzima
[03:03.68] Siku moja marafiki zake
[03:08.79] Wakamtembelea Tundo
[03:13.30] Siku moja ndugu zake walipomtembelea Tundo
[03:23.83] Wakalia sana
[03:29.06] Wakamwambia ndugu yetu Tundo
[03:33.76] Tuna muhubiri anahubiri twende ukaombewe Tundo
[03:44.19] Maamuzi yako matokeo ya kesho
[03:49.62] Amua vema upate mema mama
[03:54.58] Maamuzi yako unayochukua
[04:00.08] Amua vema upate mema
[04:05.16] Tundo akaondoka na mtoto wake
[04:10.13] Huku tatizo la utasa limekwisha
[04:15.23] Akifurahia kumuona mtoto
[04:20.14] Alipokuwa muhubiri akihubiri
[04:25.68] Alimuona Tundo mbele yake
[04:30.65] Akamwambia mama njoo mbele
[04:35.99] Tundo akasogea akijua muujiza umefika
[04:40.78] Akamwambia Tundo njoo mbele
[04:46.23] Tundo akijua Mungu amesikia
[04:51.46] Mchungaji akauliza
[04:56.30] Muhubiri akauliza
[05:01.47] Umebeba nini mgongoni mwako Tundo?
[05:06.98] Kwa ujasiri Tundo akasimama akasema
[05:11.51] Nimebeba mtoto wangu anaitwa Sinduna
[05:17.17] Kwa ujasiri Tundo akasimama
[05:21.90] Akasema nimebeba mtoto jina Sinduna
[05:27.15] Muhubiri akamwambia Tundo
[05:31.84] Mshushe mtoto wako hapa kwenye madhabahu
[05:37.25] Akaomba kwa imani sana
[05:42.07] Mtoto aliageuka chatu mara ile
[05:47.47] Eti Sinduna sio mtoto
[05:52.94] Kumbe Sinduna ni chatu
[05:57.67] Kumbe Sinduna sio mtoto
[06:02.97] Kumbe Sinduna ni nyoka kubwa
[06:07.18] Maamuzi yako nimatokeo ya kesho
[06:12.93] Amua vema upate mema wewe
[06:17.33] Muhubiri akamwambia Tundo
[06:22.68] Mchukue mtoto wako sasa
[06:28.06] Watu wote kwenye mkutano wakakimbia
[06:33.22] Wahandishi wa habari wakapiga picha
[06:38.37] Ni kweli unaweza kushangaa
[06:43.42] Lakini ndiyo yaliyomkuta Tundo
[06:48.76] Wahubiri waliposimama wakamwabia
[06:53.80] Nenda kamwite mume wako
[06:58.77] Mume alipokuja akaambiwa
[07:04.13] Huyo ndiye mtoto wako Sinduna
[07:09.16] Yule baba alilia sana
[07:14.46] Akasema mganga mganga
[07:19.21] Ule baba alilia kwa uchungu
[07:24.89] Akasema kumbe Sinduna
[07:30.13] Yule baba alilia sana
[07:34.12] Akasema mungu wangu eh
[07:40.07] Akalia kwa uchungu akilaumu
[07:44.82] Kumbe mganga ametudanganya
[07:50.33] Kumbe Sinduna sio mtoto
[07:55.14] Kumbe sinona ni nyoka kubwa
[08:00.33] Kumbe Sinduna sio mtoto
[08:05.39] Kumbe Sinduna ni nyoka kubwa
[08:14.99] Lipo jibu lipo
[08:20.39] Maishani mwetu lipo jibu
[08:30.06] Yesu jibu yupo
[08:35.26] Maishani mwetu yupo
[08:45.43] Katika magumu tuna yo pitiya
[08:51.15] Yesu ndilo jibu
[08:56.24] Katika aza tunazopitia
[09:02.02] Yesu ndilo jibu
[09:06.47] Muujiza upo upo
[09:11.78] Maishani mwangu upo
[09:16.50] Macho yangu yameona
[09:21.34] Muujiza wangu unakuja
[09:26.40] Macho ya rohoni yameona
[09:31.58] Baraka zangu zinakuja
[09:36.56] Moyo wangu mimi unanisudia
[09:41.98] Baraka zangu zipo zina
[09:47.18] Acha Baraka za kipepo zipite
[09:52.33] Ziko baraka toka kwa mungu zinakuja
[10:02.30] Lipo jibu lipo
[10:07.23] Maishani mwako lipo jibu
[10:17.80] Lipo jibu lipo
[10:23.22] Hata kama limechelewa lipo
[10:33.33] Jibu la maisha yako lipo
[10:37.84] Jibu jibu eh
[10:42.94] Jibu la tatizo lako
[10:48.71] Jibu lako bado lipo
[10:52.76] Lipo jibu lipo
[10:58.78] Maishani mwetu lipo jibu
[11:08.46] Yesu jibu Yupo
[11:14.09] Maishani mwetu yupo jibu
[11:23.67] Lipo jibu lipo
[11:28.45] Maishani mwetu lipo jibu
[11:39.08] Yesu jibu Yupo
[11:44.04] Maishani mwetu yupo jibu
[11:50.12]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings