UCHUMI NI MBAYA
๐ต 1204 characters
โฑ๏ธ 2:33 duration
๐ ID: 13990895
๐ Lyrics
Jana hukudai riba
Leo unaimba vile nakumada
Mwezi umefika kwa kona
Unaniona mi ni danda
Stima imeanza ku beep
Sasa ana ni beep
New phone who dis?
Naskia
Gesi imekauka
Na unga imepanda bei
Bae, kwani haujui
Hali ya uchumi
Uchumi ni mbaya
Je, wapi wale wote ulikimbilia
Vitu vikiniendea mbaya, weh
Kama hunge ni ringia
Ningekuwa nawe
Uliza benki ya dunia
Vile raia waumia, hukuskia
Gharama kubwa za maisha
Zimefilisisha wapenzi na waseja
Wanalalamika nje
Uchumi ni mbaya
Wueh
Uchumi ni mbaya
Woishe
Usijiskie vibaya
Mpenzi
Twapitia haya sote
Sema vile umenimisi
Jinsi unanihisi tena nifurahi
Nimetuma zile za pikipiki
Si uje tule mbuzi na viazi karai
Eti wataka nije nikaku pick
Umejipodoa fit na vumbi haikufai
Huskii
Petroli ilikauka
Na Uber zikapanda bei
Bae, kwani haujui
Hali ya uchumi
Uchumi ni mbaya, weh
Kama si kiburi chako
Ningekupa nawe
Uliza benki ya dunia
Vile raia waumia, hukuskia
Gharama kubwa za maisha
Zimefilisisha wapenzi na waseja
Wanalalamika nje
Uchumi ni mbaya
Wueh
Uchumi ni mbaya
Woishe
Usijiskie vibaya
Mpenzi
Twapitia haya sote
Taarifa ambazo sasa zimetufikia
Wanandoa wapigana kama mabondia
Pesa kukosekana kweli ni hatia
Wangapi kila siku wanakatisiana
Juu ya uchumi mbaya
Leo unaimba vile nakumada
Mwezi umefika kwa kona
Unaniona mi ni danda
Stima imeanza ku beep
Sasa ana ni beep
New phone who dis?
Naskia
Gesi imekauka
Na unga imepanda bei
Bae, kwani haujui
Hali ya uchumi
Uchumi ni mbaya
Je, wapi wale wote ulikimbilia
Vitu vikiniendea mbaya, weh
Kama hunge ni ringia
Ningekuwa nawe
Uliza benki ya dunia
Vile raia waumia, hukuskia
Gharama kubwa za maisha
Zimefilisisha wapenzi na waseja
Wanalalamika nje
Uchumi ni mbaya
Wueh
Uchumi ni mbaya
Woishe
Usijiskie vibaya
Mpenzi
Twapitia haya sote
Sema vile umenimisi
Jinsi unanihisi tena nifurahi
Nimetuma zile za pikipiki
Si uje tule mbuzi na viazi karai
Eti wataka nije nikaku pick
Umejipodoa fit na vumbi haikufai
Huskii
Petroli ilikauka
Na Uber zikapanda bei
Bae, kwani haujui
Hali ya uchumi
Uchumi ni mbaya, weh
Kama si kiburi chako
Ningekupa nawe
Uliza benki ya dunia
Vile raia waumia, hukuskia
Gharama kubwa za maisha
Zimefilisisha wapenzi na waseja
Wanalalamika nje
Uchumi ni mbaya
Wueh
Uchumi ni mbaya
Woishe
Usijiskie vibaya
Mpenzi
Twapitia haya sote
Taarifa ambazo sasa zimetufikia
Wanandoa wapigana kama mabondia
Pesa kukosekana kweli ni hatia
Wangapi kila siku wanakatisiana
Juu ya uchumi mbaya
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:01.33] Jana hukudai riba
[00:03.05] Leo unaimba vile nakumada
[00:06.91] Mwezi umefika kwa kona
[00:09.39] Unaniona mi ni danda
[00:13.08] Stima imeanza ku beep
[00:15.23] Sasa ana ni beep
[00:16.74] New phone who dis?
[00:18.13] Naskia
[00:19.11] Gesi imekauka
[00:22.39] Na unga imepanda bei
[00:24.11] Bae, kwani haujui
[00:26.74] Hali ya uchumi
[00:28.17] Uchumi ni mbaya
[00:30.25] Je, wapi wale wote ulikimbilia
[00:33.42] Vitu vikiniendea mbaya, weh
[00:37.13] Kama hunge ni ringia
[00:38.79] Ningekuwa nawe
[00:40.69] Uliza benki ya dunia
[00:43.51] Vile raia waumia, hukuskia
[00:46.73] Gharama kubwa za maisha
[00:48.56] Zimefilisisha wapenzi na waseja
[00:50.96] Wanalalamika nje
[00:54.60] Uchumi ni mbaya
[00:56.12] Wueh
[00:57.79] Uchumi ni mbaya
[00:58.89] Woishe
[01:00.47] Usijiskie vibaya
[01:01.93] Mpenzi
[01:03.33] Twapitia haya sote
[01:07.04] Sema vile umenimisi
[01:09.17] Jinsi unanihisi tena nifurahi
[01:12.85] Nimetuma zile za pikipiki
[01:15.20] Si uje tule mbuzi na viazi karai
[01:18.69] Eti wataka nije nikaku pick
[01:21.03] Umejipodoa fit na vumbi haikufai
[01:24.16] Huskii
[01:24.91] Petroli ilikauka
[01:28.18] Na Uber zikapanda bei
[01:29.98] Bae, kwani haujui
[01:32.61] Hali ya uchumi
[01:33.98] Uchumi ni mbaya, weh
[01:37.11] Kama si kiburi chako
[01:38.75] Ningekupa nawe
[01:40.64] Uliza benki ya dunia
[01:43.55] Vile raia waumia, hukuskia
[01:46.48] Gharama kubwa za maisha
[01:48.07] Zimefilisisha wapenzi na waseja
[01:51.24] Wanalalamika nje
[01:54.68] Uchumi ni mbaya
[01:56.27] Wueh
[01:57.58] Uchumi ni mbaya
[01:58.64] Woishe
[02:00.33] Usijiskie vibaya
[02:01.98] Mpenzi
[02:03.46] Twapitia haya sote
[02:11.92] Taarifa ambazo sasa zimetufikia
[02:13.78] Wanandoa wapigana kama mabondia
[02:16.93] Pesa kukosekana kweli ni hatia
[02:19.86] Wangapi kila siku wanakatisiana
[02:23.70] Juu ya uchumi mbaya
[02:26.87]
[00:03.05] Leo unaimba vile nakumada
[00:06.91] Mwezi umefika kwa kona
[00:09.39] Unaniona mi ni danda
[00:13.08] Stima imeanza ku beep
[00:15.23] Sasa ana ni beep
[00:16.74] New phone who dis?
[00:18.13] Naskia
[00:19.11] Gesi imekauka
[00:22.39] Na unga imepanda bei
[00:24.11] Bae, kwani haujui
[00:26.74] Hali ya uchumi
[00:28.17] Uchumi ni mbaya
[00:30.25] Je, wapi wale wote ulikimbilia
[00:33.42] Vitu vikiniendea mbaya, weh
[00:37.13] Kama hunge ni ringia
[00:38.79] Ningekuwa nawe
[00:40.69] Uliza benki ya dunia
[00:43.51] Vile raia waumia, hukuskia
[00:46.73] Gharama kubwa za maisha
[00:48.56] Zimefilisisha wapenzi na waseja
[00:50.96] Wanalalamika nje
[00:54.60] Uchumi ni mbaya
[00:56.12] Wueh
[00:57.79] Uchumi ni mbaya
[00:58.89] Woishe
[01:00.47] Usijiskie vibaya
[01:01.93] Mpenzi
[01:03.33] Twapitia haya sote
[01:07.04] Sema vile umenimisi
[01:09.17] Jinsi unanihisi tena nifurahi
[01:12.85] Nimetuma zile za pikipiki
[01:15.20] Si uje tule mbuzi na viazi karai
[01:18.69] Eti wataka nije nikaku pick
[01:21.03] Umejipodoa fit na vumbi haikufai
[01:24.16] Huskii
[01:24.91] Petroli ilikauka
[01:28.18] Na Uber zikapanda bei
[01:29.98] Bae, kwani haujui
[01:32.61] Hali ya uchumi
[01:33.98] Uchumi ni mbaya, weh
[01:37.11] Kama si kiburi chako
[01:38.75] Ningekupa nawe
[01:40.64] Uliza benki ya dunia
[01:43.55] Vile raia waumia, hukuskia
[01:46.48] Gharama kubwa za maisha
[01:48.07] Zimefilisisha wapenzi na waseja
[01:51.24] Wanalalamika nje
[01:54.68] Uchumi ni mbaya
[01:56.27] Wueh
[01:57.58] Uchumi ni mbaya
[01:58.64] Woishe
[02:00.33] Usijiskie vibaya
[02:01.98] Mpenzi
[02:03.46] Twapitia haya sote
[02:11.92] Taarifa ambazo sasa zimetufikia
[02:13.78] Wanandoa wapigana kama mabondia
[02:16.93] Pesa kukosekana kweli ni hatia
[02:19.86] Wangapi kila siku wanakatisiana
[02:23.70] Juu ya uchumi mbaya
[02:26.87]