Kiu Yangu
๐ต 200 characters
โฑ๏ธ 5:00 duration
๐ ID: 13992607
๐ Lyrics
ni raha yangu... kujua nina wewe yesu2
asubuh mchana wote jioni hata usiku, kwenye hai zote nitembee nawe
oh baba
wewe ni kiu yangu haja ya moja... wewe ni mungu wangu mfalme wa moyo wangwangu... weee