Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mtetezi Wangu

๐Ÿ‘ค Christina Shusho โ€ข ๐ŸŽผ Unikumbuke โ€ข โฑ๏ธ 8:10
๐ŸŽต 2369 characters
โฑ๏ธ 8:10 duration
๐Ÿ†” ID: 14049729

๐Ÿ“œ Lyrics

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Ukienda kwa wanyama anaitwa Simba wa Yuda
Mtetezi wangu yu hai
Ukienda kwenye miti anaitwa mti wa uzima
Mtetezi wangu yu hai

Ukienda kwenye maji anaitwa maji yaliyo hai
Mtetezi wangu yu hai
Wewe usiye na chakula
Yesu anaitwa mkate wa uzima
Mtetezi wangu yu hai

Ukifika kwenye miamba anaitwa mwamba imara
Mtetezi wangu yu hai
Hata kwa watawala Yesu anaitwa Mfalme wa Wafalme
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi mtetezi wetu
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wa maisha mtetezi wa kanisa
Mtetezi wangu yu hai (tuimbe)

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Ukienda kwa wagonjwa anaitwa mponyaji
Mtetezi wangu yu hai
Hata wenye huzuni anaitwa mfariji
Mtetezi wangu yu hai

Uliyesongwa na shida yeye anaitwa msaada
Mtetezi wangu yu hai
Mjane usifadhaike Yesu anaitwa mume wa wajane
Mtetezi wangu yu hai

Yatima usilie yeye anaitwa Baba wa yatima
Mtetezi wangu yu hai
Kwenye biashara yako muite Yesu mshauri wa ajabu
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi mtetezi Yesu
Mtetezi wetu yu hai
Mtetezi mtetezi Yesu
Mtetezi wetu yu hai (tuimbe)

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Ewe mama usilie na ndoa yako mama
Mtetezi wako yu hai
Ewe baba usilie umefukuzwa kazi
Mtetezi wako yu hai

Kijana usilie mchumba amekukataa
Mtetezi wangu yu hai
Watumishi wa Mungu msifadhaike
Mtetezi wetu yu hai

Fanyeni kazi ya Mungu huyo aliyewaita
Mtetezi wetu yu hai
Hata kama mkibezwa, mkisemwa na kutukanwa
Mtetezi wetu yu hai (tuimbe)

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai
Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
Mtetezi wangu yu hai

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:48.36] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[00:51.83] Mtetezi wangu yu hai
[00:56.03] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[00:59.64] Mtetezi wangu yu hai
[01:03.37] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[01:07.35] Mtetezi wangu yu hai
[01:10.79] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[01:14.08] Mtetezi wangu yu hai
[01:18.36]
[01:27.03] Ukienda kwa wanyama anaitwa Simba wa Yuda
[01:30.36] Mtetezi wangu yu hai
[01:33.30] Ukienda kwenye miti anaitwa mti wa uzima
[01:36.77] Mtetezi wangu yu hai
[01:40.88] Ukienda kwenye maji anaitwa maji yaliyo hai
[01:43.91] Mtetezi wangu yu hai
[01:47.27] Wewe usiye na chakula
[01:49.50] Yesu anaitwa mkate wa uzima
[01:51.85] Mtetezi wangu yu hai
[01:55.74] Ukifika kwenye miamba anaitwa mwamba imara
[01:59.05] Mtetezi wangu yu hai
[02:02.07] Hata kwa watawala Yesu anaitwa Mfalme wa Wafalme
[02:05.17] Mtetezi wangu yu hai
[02:09.14] Mtetezi mtetezi wetu
[02:12.57] Mtetezi wangu yu hai
[02:16.17] Mtetezi wa maisha mtetezi wa kanisa
[02:19.48] Mtetezi wangu yu hai (tuimbe)
[02:22.83] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:26.43] Mtetezi wangu yu hai
[02:29.08] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:32.56] Mtetezi wangu yu hai
[02:35.42] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:38.67] Mtetezi wangu yu hai
[02:42.22] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:45.06] Mtetezi wangu yu hai
[02:49.71]
[02:58.20] Ukienda kwa wagonjwa anaitwa mponyaji
[03:02.17] Mtetezi wangu yu hai
[03:05.13] Hata wenye huzuni anaitwa mfariji
[03:08.26] Mtetezi wangu yu hai
[03:11.36] Uliyesongwa na shida yeye anaitwa msaada
[03:14.11] Mtetezi wangu yu hai
[03:17.69] Mjane usifadhaike Yesu anaitwa mume wa wajane
[03:20.93] Mtetezi wangu yu hai
[03:24.02] Yatima usilie yeye anaitwa Baba wa yatima
[03:27.47] Mtetezi wangu yu hai
[03:30.42] Kwenye biashara yako muite Yesu mshauri wa ajabu
[03:33.33] Mtetezi wangu yu hai
[03:36.24] Mtetezi mtetezi Yesu
[03:39.93] Mtetezi wetu yu hai
[03:42.69] Mtetezi mtetezi Yesu
[03:45.89] Mtetezi wetu yu hai (tuimbe)
[03:48.99] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[03:52.06] Mtetezi wangu yu hai
[03:55.56] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[03:58.03] Mtetezi wangu yu hai
[04:01.14] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[04:04.14] Mtetezi wangu yu hai
[04:06.72] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[04:09.87] Mtetezi wangu yu hai
[04:14.28]
[04:22.79] Ewe mama usilie na ndoa yako mama
[04:25.50] Mtetezi wako yu hai
[04:28.74] Ewe baba usilie umefukuzwa kazi
[04:31.80] Mtetezi wako yu hai
[04:34.57] Kijana usilie mchumba amekukataa
[04:37.96] Mtetezi wangu yu hai
[04:40.77] Watumishi wa Mungu msifadhaike
[04:43.78] Mtetezi wetu yu hai
[04:46.63] Fanyeni kazi ya Mungu huyo aliyewaita
[04:49.50] Mtetezi wetu yu hai
[04:52.03] Hata kama mkibezwa, mkisemwa na kutukanwa
[04:55.21] Mtetezi wetu yu hai (tuimbe)
[04:58.42] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:01.13] Mtetezi wangu yu hai
[05:04.14] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:07.34] Mtetezi wangu yu hai
[05:09.81] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:13.16] Mtetezi wangu yu hai
[05:17.08] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:19.97] Mtetezi wangu yu hai
[05:23.29] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:26.27] Mtetezi wangu yu hai
[05:29.15] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:32.58] Mtetezi wangu yu hai
[05:35.44] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:39.02] Mtetezi wangu yu hai
[05:41.12] Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:44.28] Mtetezi wangu yu hai
[05:46.17]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings