Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kibali

๐Ÿ‘ค FLORENCE ANDENYI โ€ข ๐ŸŽผ Kibali โ€ข โฑ๏ธ 4:44
๐ŸŽต 715 characters
โฑ๏ธ 4:44 duration
๐Ÿ†” ID: 14049731

๐Ÿ“œ Lyrics

baba naomba Kibali chako
Kibali chako
Kibali chako
yesu naomba ushirika wako
ushirika wako
ushirika wako
Messiah naomba Kibali zako
Kibali chako

Ohh Kibali chako
Kibali chako
kwa uimbaji wangu
Kibali chako
Kibali chako
kwa huduma yangu
Kibali chako

nishikilile nisianguke baba
natamani nikae na Wewe
maishani ehh
ninapoimba uwepo wako
ushuke baba
nisiwe na kiburi ndani yangu
nitumie baba
Kama dhabihu iliyo safi
Mbele zako nitumie yesu ehh

naona mbingu zikifunguka
Katika kuabudu
naona Sifa zikitanda dunia yote

najitoa Kama dhabihu
nitumie baba
Wewe ni mwema sana
umetukuka
hakuna Kama Wewe
Wewe ni mwema Sana
umetukuka
hakuna Kama Wewe

naona mbingu zikifunguka
Katika kuabudu
Naona Sifa zikitanda dunia yote

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings