Mfalme Mkuu
๐ต 271 characters
โฑ๏ธ 5:12 duration
๐ ID: 14049783
๐ Lyrics
wewe ndiwe wewe ndiwe wewe ndiwe mfalme mkuu

nilikua nimekosa tumaini maishani...
lakini Yesu akaniokoa
nilikua niangamie nianguke nipotee
lakini Yesu akaniokoa ...napigwa na butwaa nimeshangaa nimezubaa wema wako hauna kipimo