Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wazungu Wako Ulaya

๐Ÿ‘ค Flier โ€ข ๐ŸŽผ Wazungu Wako Ulaya โ€ข โฑ๏ธ 2:42
๐ŸŽต 1487 characters
โฑ๏ธ 2:42 duration
๐Ÿ†” ID: 14055586

๐Ÿ“œ Lyrics

Wazungu wako Ulaya
Huku ni watu kawaida tu
Wenzako wachapisha riwaya
Ona mchango wako mawaidha tu
Nilikwambia nakupenda sana
Ukanikosoa grammar
Naskia ni ka na katia wahenga bana
Vile hukosi lawama
Ukiona sitimizi desire zako
Fuata wazungu wako Ulaya

Nitafuga madredi nisake mlami
Manzi hataenikejeli nikibanja ka mimi
Anipatie wakidi wa nywele curly
Bila hizi ma mabidii za kunibadili

Weh tangu upate ka mboka
Unakuanga na mapetho
Kila time you come over
Ukosangi tu maneno
Nilikanda mapocha
Akasema ziko ghetto
Anataka ma yogurt
Na vifaranga za Galito
Hey!

Wazungu wako Ulaya
Huku ni watu kawaida tu
Wenzako wachapisha riwaya
Ona mchango wako mawaidha tu
Nilikwambia nakupenda sana
Ukanikosoa grammar
Naskia ni ka na katia wahenga bana
Vile hukosi lawama
Ukiona sitimizi desire zako
Fuata wazungu wako Ulaya

Bae alienda India
Akarudi na sauti ya Kardashian
Problem
Vile pua inafinywa
Utadhani Uni major ilikua twang
Girlfriend
Amekuwa Fender Telecaster
Inacheza benga zile za kipalansa
Kila pahali tunaenda utampata
Juu ya kiingereza kama visiting pastor
Askofu
(Heh)

Tangu utoke mayola
Unakuanga na mapetho
Kila time nakulola
Hukosangi tu maneno
Unapenda kununa
Tangu utengeze mameno
Jana tulikua boo'd up
Leo siyuko level
Hey!

Wazungu wako Ulaya
Huku ni watu kawaida tu
Wenzako wachapisha riwaya
Ona mchango wako mawaidha tu
Nilikwambia nakupenda sana
Ukanikosoa grammar
Naskia ni ka na katia wahenga bana
Vile hukosi lawama
Ukiona sitimizi desire zako
Fuata wazungu wako Ulaya

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.94] Wazungu wako Ulaya
[00:03.99] Huku ni watu kawaida tu
[00:06.69] Wenzako wachapisha riwaya
[00:09.65] Ona mchango wako mawaidha tu
[00:13.14] Nilikwambia nakupenda sana
[00:16.12] Ukanikosoa grammar
[00:18.73] Naskia ni ka na katia wahenga bana
[00:22.16] Vile hukosi lawama
[00:24.85] Ukiona sitimizi desire zako
[00:27.85] Fuata wazungu wako Ulaya
[00:29.90] Nitafuga madredi nisake mlami
[00:32.96] Manzi hataenikejeli nikibanja ka mimi
[00:36.10] Anipatie wakidi wa nywele curly
[00:39.19] Bila hizi ma mabidii za kunibadili
[00:41.96] Weh tangu upate ka mboka
[00:43.68] Unakuanga na mapetho
[00:45.27] Kila time you come over
[00:46.62] Ukosangi tu maneno
[00:48.22] Nilikanda mapocha
[00:49.77] Akasema ziko ghetto
[00:51.36] Anataka ma yogurt
[00:52.64] Na vifaranga za Galito
[00:54.46] Hey!
[00:55.61] Wazungu wako Ulaya
[00:58.56] Huku ni watu kawaida tu
[01:01.38] Wenzako wachapisha riwaya
[01:04.36] Ona mchango wako mawaidha tu
[01:07.56] Nilikwambia nakupenda sana
[01:10.83] Ukanikosoa grammar
[01:13.44] Naskia ni ka na katia wahenga bana
[01:16.90] Vile hukosi lawama
[01:19.48] Ukiona sitimizi desire zako
[01:22.54] Fuata wazungu wako Ulaya
[01:24.49] Bae alienda India
[01:26.13] Akarudi na sauti ya Kardashian
[01:29.08] Problem
[01:29.81] Vile pua inafinywa
[01:32.16] Utadhani Uni major ilikua twang
[01:35.15] Girlfriend
[01:36.46] Amekuwa Fender Telecaster
[01:38.62] Inacheza benga zile za kipalansa
[01:41.65] Kila pahali tunaenda utampata
[01:44.63] Juu ya kiingereza kama visiting pastor
[01:47.62] Askofu
[01:48.34] (Heh)
[01:49.00] Tangu utoke mayola
[01:50.50] Unakuanga na mapetho
[01:52.01] Kila time nakulola
[01:53.42] Hukosangi tu maneno
[01:55.03] Unapenda kununa
[01:56.59] Tangu utengeze mameno
[01:58.08] Jana tulikua boo'd up
[01:59.57] Leo siyuko level
[02:01.25] Hey!
[02:02.40] Wazungu wako Ulaya
[02:05.43] Huku ni watu kawaida tu
[02:08.04] Wenzako wachapisha riwaya
[02:11.16] Ona mchango wako mawaidha tu
[02:14.69] Nilikwambia nakupenda sana
[02:17.69] Ukanikosoa grammar
[02:20.20] Naskia ni ka na katia wahenga bana
[02:23.70] Vile hukosi lawama
[02:26.37] Ukiona sitimizi desire zako
[02:29.34] Fuata wazungu wako Ulaya
[02:31.89]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings