Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Siteketei

๐Ÿ‘ค Angel Benard โ€ข ๐ŸŽผ Siteketei โ€ข โฑ๏ธ 3:30
๐ŸŽต 949 characters
โฑ๏ธ 3:30 duration
๐Ÿ†” ID: 14099091

๐Ÿ“œ Lyrics

Mi siteketeii,siangamii
Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami
Hupimwi kwa siku,hupimwi kwa miaka,unatafsiri majira
Huzuiwii na muda,umejawa na nguvu ndio maana
nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri
katika wewe hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako mi nasimama
Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami
Nimezungukwa nawe kila pande hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yalo upande wangu ni mengi sana kuliko hao wa dunia
hatua zangu zaongozwa nawe siangamii siteketei
katika wewe ninasimama siteketei na ninajua ee ee
Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami
Kwako bwana nasimama
Ndiwe mwamba ni salama
Kwako bwana nasimama eh eh
For they that believe in you we shall stand firm forever
Forever
Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.01] Mi siteketeii,siangamii
[00:12.12] Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
[00:21.22] Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami
[00:30.21] Hupimwi kwa siku,hupimwi kwa miaka,unatafsiri majira
[00:40.03] Huzuiwii na muda,umejawa na nguvu ndio maana
[00:46.29] nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri
[00:57.06] katika wewe hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako mi nasimama
[01:09.14] Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
[01:18.21] Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami
[01:28.03] Nimezungukwa nawe kila pande hakuna jambo la kuniangamiza
[01:37.26] majeshi yalo upande wangu ni mengi sana kuliko hao wa dunia
[01:47.05] hatua zangu zaongozwa nawe siangamii siteketei
[01:56.18] katika wewe ninasimama siteketei na ninajua ee ee
[02:06.15] Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
[02:15.22] Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami
[02:26.17] Kwako bwana nasimama
[02:28.29] Ndiwe mwamba ni salama
[02:31.03] Kwako bwana nasimama eh eh
[02:34.34] For they that believe in you we shall stand firm forever
[02:42.24] Forever
[02:44.18] Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
[02:53.29] Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings