Adamu
๐ต 1536 characters
โฑ๏ธ 7:09 duration
๐ ID: 14153655
๐ Lyrics
mungu alipo muumba adamu
hakumwacha awe pekeyake
akamfanyia msaidizi wakufanana naye
nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
mpenzi wangu

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:25.38] Mungu alipo muumba adamu
[00:29.83] Hakumwacha awe pekeyake
[00:33.66] Akamfanyia msaidizi wakufanana naye
[00:41.41] Nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
[01:30.78] Mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
[02:03.03] Hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
[02:41.77] Mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
[02:47.67] Mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
[03:08.12] Nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
[04:21.69] Tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
[04:29.13] Tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
[04:37.62] Kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
[04:44.98] Tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
[04:53.43] Tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
[05:02.23] Mpenzi wangu
[05:26.05] Nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
[07:10.03]