Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Hakuna Noma

๐Ÿ‘ค Mimi Mars โ€ข ๐ŸŽผ Hakuna Noma โ€ข โฑ๏ธ 2:39
๐ŸŽต 939 characters
โฑ๏ธ 2:39 duration
๐Ÿ†” ID: 14185785

๐Ÿ“œ Lyrics

(Kimambo...)

Kama ukiniona nafurahi
Jua ni Jah ka-bless
Jua ni Jah ka-bless
Na ukiniona najidai
Jua ni Jah ka-bless
Jua ni Jah ka-bless
We here today
Huko tulipo toka
Tulishaga dondoka
Asaivi tupo okay
We here today
Wala hatujawai choka
Waliodhani tutasota
Saivi ndo hawana say

Hakuna noma
No kisirani
Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
Ushanisoma
Kama kucheza uwanjani
Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah

Wacha waongee
Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
Acha tusherekee
Stress mawazo badae ayeah ayeah

(Leo ni party after party)
(Leo ni party after party)

Binadamu hawakosi cha kusema
Hata ukiwafanyia jema
Bado watakukosea tena
Na Mungu baba kanipangalia mema
Kanipa pumzi na neema
Nami naiona nyota njema

Hakuna noma
No kisirani
Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
Ushanisoma
Kama kucheza uwanjani
Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah

Wacha waongee
Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
Acha tusherekee
Stress mawazo badae ayeah ayeah

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:15.36] (Kimambo...)
[00:16.65] Kama ukiniona nafurahi
[00:21.34] Jua ni Jah ka-bless
[00:23.50] Jua ni Jah ka-bless
[00:25.66] Na ukiniona najidai
[00:30.01] Jua ni Jah ka-bless
[00:32.07] Jua ni Jah ka-bless
[00:34.03] We here today
[00:35.58] Huko tulipo toka
[00:37.72] Tulishaga dondoka
[00:39.94] Asaivi tupo okay
[00:42.72] We here today
[00:44.41] Wala hatujawai choka
[00:46.46] Waliodhani tutasota
[00:48.76] Saivi ndo hawana say
[00:51.65] Hakuna noma
[00:54.11] No kisirani
[00:56.07] Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
[01:00.52] Ushanisoma
[01:02.29] Kama kucheza uwanjani
[01:04.83] Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah
[01:08.83] Wacha waongee
[01:11.67] Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
[01:17.09] Acha tusherekee
[01:20.80] Stress mawazo badae ayeah ayeah
[01:27.41] (Leo ni party after party)
[01:31.72] (Leo ni party after party)
[01:36.12] Binadamu hawakosi cha kusema
[01:38.40] Hata ukiwafanyia jema
[01:40.79] Bado watakukosea tena
[01:44.66] Na Mungu baba kanipangalia mema
[01:47.26] Kanipa pumzi na neema
[01:49.64] Nami naiona nyota njema
[01:52.71] Hakuna noma
[01:55.27] No kisirani
[01:57.01] Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
[02:01.52] Ushanisoma
[02:03.34] Kama kucheza uwanjani
[02:05.74] Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah
[02:09.91] Wacha waongee
[02:12.95] Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
[02:18.08] Acha tusherekee
[02:21.83] Stress mawazo badae ayeah ayeah
[02:29.17]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings