Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Do Me

๐Ÿ‘ค Nandy โ€ข ๐ŸŽผ Do Me โ€ข โฑ๏ธ 3:09
๐ŸŽต 1729 characters
โฑ๏ธ 3:09 duration
๐Ÿ†” ID: 14192127

๐Ÿ“œ Lyrics

Chocolate kalambaje?
Na hata sielewi kanipata pata
Kwani kanipata aje?
Ameniweza weza nimenata nata

Kwa jinsi nakupenda na nnashindwa kukukataa
Ndo ujinga huo

Umeniweza weza, umenipa limbwata
Ndo nini hivyo

Ukinipaga penzi basi pia zima data
Ndo chips hizo
Na vinyama nyama pilipili washa
Ndo tamu hivo

Baby walahi

Do me, do me, do me
Do me, do me, do me
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni

(Do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni (do me aii)

Nafikiri uliumbwa kwa ajili yangu mahususi
Na kila nikikutazama nafaa nifikirie harusi

Nafikiri kutumia shela, nafikiri kuhusu suti
Sifikirii kutumia kinga, hata waseme una virusi

Viuno vingi kama Christian Bella
Peace ya msela
African princess na ndela
Tutawaarika na mapunga waje kula mchele
Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele

Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
Nisamehe kama napokwenda sio
Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
Nisamehe kama napokwenda sio

Vile kata, kata ukapinda mgongo
Uliposema tangu ukawachanganya wabongo
Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mkongo
Labda arushe matofali maana nishazoea madongo

(Do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni (do me aii)

(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
(Do me aii)
(Do me aii)

(Do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni (do me aii)

(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:14.57] Chocolate kalambaje?
[00:17.12] Na hata sielewi kanipata pata
[00:19.82] Kwani kanipata aje?
[00:22.54] Ameniweza weza nimenata nata
[00:24.96] Kwa jinsi nakupenda na nnashindwa kukukataa
[00:27.57] Ndo ujinga huo
[00:29.79] Umeniweza weza, umenipa limbwata
[00:32.68] Ndo nini hivyo
[00:35.12] Ukinipaga penzi basi pia zima data
[00:37.72] Ndo chips hizo
[00:39.98] Na vinyama nyama pilipili washa
[00:42.58] Ndo tamu hivo
[00:44.90] Baby walahi
[00:46.00] Do me, do me, do me
[00:48.46] Do me, do me, do me
[00:50.83] Naandaa kiberiti niwashe moto
[00:53.26] Baba leta ukuni
[00:54.82] (Do me aii)
[00:55.95] Do me, do me, do me (do me aii)
[00:58.35] Do me, do me, do me (do me aii)
[01:00.78] Naandaa kiberiti niwashe moto
[01:03.47] Baba leta ukuni (do me aii)
[01:05.84]
[01:15.46] Nafikiri uliumbwa kwa ajili yangu mahususi
[01:17.88] Na kila nikikutazama nafaa nifikirie harusi
[01:20.57] Nafikiri kutumia shela, nafikiri kuhusu suti
[01:22.92] Sifikirii kutumia kinga, hata waseme una virusi
[01:25.61] Viuno vingi kama Christian Bella
[01:28.25] Peace ya msela
[01:29.34] African princess na ndela
[01:30.48] Tutawaarika na mapunga waje kula mchele
[01:32.85] Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele
[01:35.59] Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
[01:37.92] Nisamehe kama napokwenda sio
[01:40.68] Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
[01:43.23] Nisamehe kama napokwenda sio
[01:45.98] Vile kata, kata ukapinda mgongo
[01:48.65] Uliposema tangu ukawachanganya wabongo
[01:51.03] Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mkongo
[01:53.57] Labda arushe matofali maana nishazoea madongo
[01:56.17] (Do me aii)
[01:56.55] Do me, do me, do me (do me aii)
[01:58.76] Do me, do me, do me (do me aii)
[02:01.36] Naandaa kiberiti niwashe moto
[02:04.15] Baba leta ukuni (do me aii)
[02:06.56] (True tell me ma, true tell me ma)
[02:09.02] (Navurugwa eh, navurugwa eh)
[02:11.69] (True tell me ma, true tell me ma)
[02:14.33] (Navurugwa eh, navurugwa eh)
[02:16.35] (Do me aii)
[02:20.64] (Do me aii)
[02:25.69] (Do me aii)
[02:27.03] Do me, do me, do me (do me aii)
[02:29.22] Do me, do me, do me (do me aii)
[02:31.64] Naandaa kiberiti niwashe moto
[02:34.11] Baba leta ukuni (do me aii)
[02:36.78] (True tell me ma, true tell me ma)
[02:39.47] (Navurugwa eh, navurugwa eh)
[02:41.82] (True tell me ma, true tell me ma)
[02:44.53] (Navurugwa eh, navurugwa eh)
[02:51.92]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings