Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nibadilishe

๐Ÿ‘ค Goodluck Gozbert โ€ข ๐ŸŽผ Nibadilishe โ€ข โฑ๏ธ 3:40
๐ŸŽต 1553 characters
โฑ๏ธ 3:40 duration
๐Ÿ†” ID: 14285280

๐Ÿ“œ Lyrics

Kwanza nimenyoa deni
Napenda sana mitindo ya nywele
Kuruka usiseme
Viwanja vipya ninakaribishwa

Kwenye kura saa za Insta nakesha
Nikitafuta tena mabaya
Nikisikia mabata nataka
Nalitafuta tena nalipa

Wala silipi maden, Nikikopa na beti
Wala sionagi soni
Fungu la kumi kwangu hio ni stori
Nasubiri jumapili(Sunday)

Hata najua sina imani, japo naitikia Amina
Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali
Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua
Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa

Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa

Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe

Kuna venye hii movie inanichoma
Hasa ile parapanda
Ikipigwa wakizika
Na appear, sirudii kosa

Maneno yananichoma
Binadamu ni maua
Ikipita wiki moja masikini
Nasahau kabisa

Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa

Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe

Nakupa maisha na moyo, utakase
Ninapoanguka nishike nisimame
Nakupa maisha na moyo, utakase
Ninapoanguka nishike nisimame

Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.25] Kwanza nimenyoa deni
[00:10.63] Napenda sana mitindo ya nywele
[00:13.15] Kuruka usiseme
[00:15.44] Viwanja vipya ninakaribishwa
[00:17.80] Kwenye kura saa za Insta nakesha
[00:19.96] Nikitafuta tena mabaya
[00:22.07] Nikisikia mabata nataka
[00:24.41] Nalitafuta tena nalipa
[00:27.38] Wala silipi maden, Nikikopa na beti
[00:30.45] Wala sionagi soni
[00:32.61] Fungu la kumi kwangu hio ni stori
[00:35.43] Nasubiri jumapili(Sunday)
[00:37.31] Hata najua sina imani, japo naitikia Amina
[00:41.87] Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali
[00:46.49] Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua
[00:51.29] Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa
[00:55.99] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
[01:01.32] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
[01:05.33] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
[01:10.68] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
[01:15.05] Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
[01:19.45] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[01:24.30] Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
[01:28.99] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[01:33.52] Kuna venye hii movie inanichoma
[01:35.88] Hasa ile parapanda
[01:38.25] Ikipigwa wakizika
[01:40.12] Na appear, sirudii kosa
[01:42.81] Maneno yananichoma
[01:45.02] Binadamu ni maua
[01:47.39] Ikipita wiki moja masikini
[01:49.97] Nasahau kabisa
[01:52.65] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
[01:57.64] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
[02:01.71] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
[02:07.05] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
[02:11.31] Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
[02:14.28] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[02:20.46] Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
[02:25.38] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[02:29.94] Nakupa maisha na moyo, utakase
[02:34.18] Ninapoanguka nishike nisimame
[02:39.12] Nakupa maisha na moyo, utakase
[02:44.65] Ninapoanguka nishike nisimame
[02:49.16] Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
[02:53.81] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[02:58.55] Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
[03:02.45] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[03:08.33]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings