Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Milele

๐Ÿ‘ค Mercy Masika โ€ข ๐ŸŽผ Milele โ€ข โฑ๏ธ 4:14
๐ŸŽต 1576 characters
โฑ๏ธ 4:14 duration
๐Ÿ†” ID: 14326357

๐Ÿ“œ Lyrics

Eeh nataka kukaa na wewe (oh, oh, oh)
Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie)

Kuwa karibu nawe, ninapenda
Kuwa karibu na wewe niko uhuru
We hunifunza njia zako, kweli nazipenda
Kwani njia zako nimetambua
Zanifaa mimi maishani mwangu
Unifunze, nitengeneze niwe kama wewe

Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (ooh)
Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie Baba)
Milele hata milele (oh yeah, oh yeah, oh yeah)
Yesu wangu

Kuwa na karibu nawe, ninapenda
Mahali wewe Yesu, we ulipo (we ulipo)
Nakutamani, wewe ni, tamaa ya roho yangu
We ni afadhali siku moja nawe
Kuliko maelfu mahali pengine (mahali pengine)
Kuna amani (furaha tele)
Nakupenda wewe

Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (siku zangu zote)
Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie)
Milele hata milele (oh yeah, yeah, yeah)
Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (ooh, siku zangu zote)
Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie Yesu)
Milele hata milele (ooh-ooh)

Milele, nikuabudu Baba
Nikuimbie (nikuabudu)
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Siku zangu zote

Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (ooh)
Eeh nataka we nikuimbie Baba (we nikuimbie)
Milele hata milele (oh la-la, la-la, le-la, la-la)

Eeh nataka nitembee na wewe (nitembee na wewe)
Siku za maisha yangu (nitembee nawe)
Eeh nataka we nikuinue Baba (nikuinue yeah, yeah)
Milele hata milele (oh wewe, wewe, wewe, wewe pekee yako)

Oh wewe pekee yako
Siku zangu zote Baba nikuimbie
Nitembee na wewe
Nikuabudu Baba
Wewe pekee, wewe pekee, wewe pekee
Oh yeah, yeah, yeah, yeah

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:20.74] Eeh nataka kukaa na wewe (oh, oh, oh)
[00:30.08] Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie)
[00:39.24] Kuwa karibu nawe, ninapenda
[00:43.91] Kuwa karibu na wewe niko uhuru
[00:48.57] We hunifunza njia zako, kweli nazipenda
[00:57.72] Kwani njia zako nimetambua
[01:02.22] Zanifaa mimi maishani mwangu
[01:07.05] Unifunze, nitengeneze niwe kama wewe
[01:15.76] Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
[01:21.27] Siku za maisha yangu (ooh)
[01:24.89] Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie Baba)
[01:29.98] Milele hata milele (oh yeah, oh yeah, oh yeah)
[01:38.72] Yesu wangu
[01:43.22] Kuwa na karibu nawe, ninapenda
[01:47.78] Mahali wewe Yesu, we ulipo (we ulipo)
[01:52.28] Nakutamani, wewe ni, tamaa ya roho yangu
[02:01.30] We ni afadhali siku moja nawe
[02:06.00] Kuliko maelfu mahali pengine (mahali pengine)
[02:11.06] Kuna amani (furaha tele)
[02:15.33] Nakupenda wewe
[02:19.66] Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
[02:25.12] Siku za maisha yangu (siku zangu zote)
[02:29.15] Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie)
[02:34.05] Milele hata milele (oh yeah, yeah, yeah)
[02:37.99] Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
[02:43.57] Siku za maisha yangu (ooh, siku zangu zote)
[02:47.36] Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie Yesu)
[02:52.37] Milele hata milele (ooh-ooh)
[02:57.76] Milele, nikuabudu Baba
[03:01.92] Nikuimbie (nikuabudu)
[03:06.61] Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
[03:11.15] Siku zangu zote
[03:14.34] Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
[03:20.28] Siku za maisha yangu (ooh)
[03:23.95] Eeh nataka we nikuimbie Baba (we nikuimbie)
[03:29.09] Milele hata milele (oh la-la, la-la, le-la, la-la)
[03:32.92] Eeh nataka nitembee na wewe (nitembee na wewe)
[03:38.38] Siku za maisha yangu (nitembee nawe)
[03:42.23] Eeh nataka we nikuinue Baba (nikuinue yeah, yeah)
[03:47.18] Milele hata milele (oh wewe, wewe, wewe, wewe pekee yako)
[03:49.65] Oh wewe pekee yako
[03:54.53] Siku zangu zote Baba nikuimbie
[03:58.77] Nitembee na wewe
[04:01.37] Nikuabudu Baba
[04:03.55] Wewe pekee, wewe pekee, wewe pekee
[04:06.96] Oh yeah, yeah, yeah, yeah
[04:09.96]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings