Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Policy

๐Ÿ‘ค Flier โ€ข ๐ŸŽผ Policy โ€ข โฑ๏ธ 2:29
๐ŸŽต 1207 characters
โฑ๏ธ 2:29 duration
๐Ÿ†” ID: 14385989

๐Ÿ“œ Lyrics

Round hii utajua hajui
Hatuweki mafala hawa
Pesa nitakula
Na sitaleta kura, heh
Wakifunga nyumba
Ulikua runda, weh
Hatuweki mafala hawa

Haujali bout me
Naskia unabenki Maldives
Kijinyumba kinacheki palm trees
Ikinuka utaruka kambi
Sina karo, sina food, sina kodi
Na nina bibi aii, kuna Covid
Miss me na story za BBI

Wanasema tunavuta bangi
Lakini cheki zinashika nani
Wananchi wanawika haki
Huku tender zikipita kati

Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Hatuweki mafala hawa

So, pesa nitakula
Sitaleta kura heh
Nikishindwa na rent
Ulikua karen, yea
Hatuweki mafala hawa

Hawajali bout you
Naskia wanamali offshores
Mandege na mameli lord knows
Wakidedi watasare all those
Magazeti walihonga of course
Kwenye teli ni githeri man
Someone tell me where we heading man

Wanasema tunavuta bangi
Lakini cheki zinashika nani
Wananchi wanawika haki
Huku tender zikipita kati

Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Hatuweki mafala hawa

Round hii utajua hajui

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.03] Round hii utajua hajui
[00:13.71] Hatuweki mafala hawa
[00:18.48] Pesa nitakula
[00:20.73] Na sitaleta kura, heh
[00:23.43] Wakifunga nyumba
[00:25.84] Ulikua runda, weh
[00:28.28] Hatuweki mafala hawa
[00:32.95] Haujali bout me
[00:34.99] Naskia unabenki Maldives
[00:37.14] Kijinyumba kinacheki palm trees
[00:39.69] Ikinuka utaruka kambi
[00:41.97] Sina karo, sina food, sina kodi
[00:44.39] Na nina bibi aii, kuna Covid
[00:45.99] Miss me na story za BBI
[00:48.60] Wanasema tunavuta bangi
[00:51.04] Lakini cheki zinashika nani
[00:53.38] Wananchi wanawika haki
[00:56.06] Huku tender zikipita kati
[00:58.67] Sitakuvotia weh
[01:01.01] Ka ukabila ndio policy
[01:03.35] Kama beer ndio policy
[01:05.72] Ka kamia ndio policy
[01:08.18] Sitakuvotia weh
[01:10.51] Ka ukabila ndio policy
[01:13.16] Kama beer ndio policy
[01:15.49] Ka kamia ndio policy
[01:16.23] Hatuweki mafala hawa
[01:20.99] So, pesa nitakula
[01:23.25] Sitaleta kura heh
[01:25.87] Nikishindwa na rent
[01:28.22] Ulikua karen, yea
[01:30.48] Hatuweki mafala hawa
[01:35.37] Hawajali bout you
[01:37.29] Naskia wanamali offshores
[01:39.61] Mandege na mameli lord knows
[01:41.10] Wakidedi watasare all those
[01:44.32] Magazeti walihonga of course
[01:46.79] Kwenye teli ni githeri man
[01:49.06] Someone tell me where we heading man
[01:51.62] Wanasema tunavuta bangi
[01:53.83] Lakini cheki zinashika nani
[01:56.35] Wananchi wanawika haki
[01:58.70] Huku tender zikipita kati
[02:00.91] Sitakuvotia weh
[02:03.44] Ka ukabila ndio policy
[02:05.90] Kama beer ndio policy
[02:08.24] Ka kamia ndio policy
[02:10.52] Sitakuvotia weh
[02:13.07] Ka ukabila ndio policy
[02:15.41] Kama beer ndio policy
[02:17.83] Ka kamia ndio policy
[02:18.72] Hatuweki mafala hawa
[02:23.33] Round hii utajua hajui
[02:28.41]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings