Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Aslay - Kwa Raha ( Official Music Video )

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Aslay Videos โ€ข โฑ๏ธ 3:56
๐ŸŽต 1573 characters
โฑ๏ธ 3:56 duration
๐Ÿ†” ID: 14523580

๐Ÿ“œ Lyrics

Umenipukutisha, umeniacha kama bwege
Umenipa ugonjwa kama ule degedege mmh
Sina hata thumni ya kununua chipsi zege
Nikianza kulia machozi yanajaza debe, (debe)

Imani na hitaji la moyo wako sikulijua, kumbe
Kwangu ulitaka kipato ukakimbia aah
Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua weewe
Kumbe tapeli wa mapenzi me sikujua, aii weh

Masura wa moyo wanguu mama ndiye
Uliyeniacha mimi njia paanda
Umeondoka na moyo wangu mama
wakati mwenzako nilishakupenda

Ulipenda kuforce hat kama sitaki
Yani bundle lako la kutumia unataka laki, ah
meshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda

Kwa rahaa (saawa)
Kwa raha zako, (kwa rahaa)
Kwa rahaa
Ponda tu mali zangu we dadaa

Kwa raha
Kwa raha zako (kufa kwaja)
Kwa raha
Atanilipia mungu baba baba, iye, kwa rahaa
Kwa raha zako kwa rahaa

Ona sasa
Umeniachia mdeni kwa yule mama Sikudhani
Kumbe ulikopaga lotion naumbuka huku
Umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi
We mbona huna shukurani naumbuka huku

Kichwa boga zuga zuga mpaka dagaa
Nashindwa kukopa aaeeh
madeni uloniachia nashindwa kulipa ee
We masura wa moyo wangu mama
Ndiye uliyeniacha mimi njia paanda
Umeondoka na moyo wangu mama
wakati mwenzako nilishakupenda

Ulipenda kuforce hata kama sitaki
Yani bundle lako la kutumia unataka lakii
Na umeshanifilisi eti haunitaki,
Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda

Kwa rahaa (saawa)
Kwa raha zako(kwa rahaa)
Kwa rahaa
Ponda tu mali zangu we dadaa, iye iye
Kwa raha (eyayayaah)
Kwa raaha zako (kufa kwaja)
Kwa rahaa (atanilipia mungu baba baba)
Kwa rahaa
Kwa raha zako, kwa rahaaa ...
End

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings