Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Aslay - Kwatu (official Music Video)

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Aslay Videos โ€ข โฑ๏ธ 3:32
๐ŸŽต 1399 characters
โฑ๏ธ 3:32 duration
๐Ÿ†” ID: 14565422

๐Ÿ“œ Lyrics

Mwaaah
Mwaaah
Mwaaah

Baby mim na wew nganga usije ukaenda kwa mganga
Dj ebu piga chalanga tuchezeeee
Wanauliza maswaliii tuwajibu kwa vitendo
Waambiee wajue me kwako nishatia nangaa

Fumba macho usije danga
Ukaniumiza roho
Nikila korosho kula karanga uzimeze ooh
Usiniachee nitatanga tanga yatima oh

Unioneshe alokufunza nyakanga kitandani joh
Nimeona wengi
Sana
Wazuri sana ila kwako nimekwama sijateleza kukuchagua

Nichochee nichochee
Kama moto nichochee
Kwatu roho yangu kwatu kua na wew
Kwatu kwatu kwatu

Roho yangu kwatu
Roho yng kwatu kua na wew
Kwatu kwatu kwatu roho yng
Ukiwa mbali mwili wotee unapooza

Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari mupenzii ebu kolezaa
Usijee ukakurupuka ukaniacha kwa jeneza
Familia yangu iko police inakutafuta wew

Nasikia una bonge la kesi lakuniteka mie
Oooh lololooh lakuniteka mie ee yeye aaah aaah
Waambie wajue me kwako nisha tia nangaa
Nimeona wengi sanaa wazurii sanaa ila

Kwako nimekwama sijateleza kukuchagua
Nichochee nichochee
Kama moto nichochee
Vunja mifupa kama meno ipo

Kwatu roho yangu kwatu ooooh polic kua na wew nitapigwa na maandishi
Utakuja kunipa kazi roho yng kwatu nikikukuta na watu roho yng kwatu
Nkikushka kiuno nishike mabega
Ayaah ayaah

Utaponigusa kokote mwenzako nalegea ayaah ayaah mmmh baby umo umo
Ulpo nshikia ayaah uking'olewa memo mwenzako navimba mdomo poa ayaah
(Wambie wajue mwenzako nshatia nanga)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:04.44] Mwaaah
[00:06.34] Mwaaah
[00:06.92] Mwaaah
[00:09.47] Baby mim na wew nganga usije ukaenda kwa mganga
[00:14.08] Dj ebu piga chalanga tuchezeeee
[00:19.60] Wanauliza maswaliii tuwajibu kwa vitendo
[00:24.44] Waambiee wajue me kwako nishatia nangaa
[00:29.70] Fumba macho usije danga
[00:32.18] Ukaniumiza roho
[00:34.46] Nikila korosho kula karanga uzimeze ooh
[00:39.07] Usiniachee nitatanga tanga yatima oh
[00:43.77] Unioneshe alokufunza nyakanga kitandani joh
[00:47.73] Nimeona wengi
[00:49.20] Sana
[00:50.83] Wazuri sana ila kwako nimekwama sijateleza kukuchagua
[00:57.00] Nichochee nichochee
[01:00.12] Kama moto nichochee
[01:05.53] Kwatu roho yangu kwatu kua na wew
[01:11.64] Kwatu kwatu kwatu
[01:14.34] Roho yangu kwatu
[01:16.91] Roho yng kwatu kua na wew
[01:20.96] Kwatu kwatu kwatu roho yng
[01:29.28] Ukiwa mbali mwili wotee unapooza
[01:33.66] Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
[01:38.39] Chai sukari mupenzii ebu kolezaa
[01:42.77] Usijee ukakurupuka ukaniacha kwa jeneza
[01:49.85] Familia yangu iko police inakutafuta wew
[01:54.18] Nasikia una bonge la kesi lakuniteka mie
[01:58.74] Oooh lololooh lakuniteka mie ee yeye aaah aaah
[02:07.82] Waambie wajue me kwako nisha tia nangaa
[02:12.82] Nimeona wengi sanaa wazurii sanaa ila
[02:18.48] Kwako nimekwama sijateleza kukuchagua
[02:21.57] Nichochee nichochee
[02:24.94] Kama moto nichochee
[02:27.46] Vunja mifupa kama meno ipo
[02:30.35] Kwatu roho yangu kwatu ooooh polic kua na wew nitapigwa na maandishi
[02:40.34] Utakuja kunipa kazi roho yng kwatu nikikukuta na watu roho yng kwatu
[02:45.40] Nkikushka kiuno nishike mabega
[02:56.76] Ayaah ayaah
[02:58.01] Utaponigusa kokote mwenzako nalegea ayaah ayaah mmmh baby umo umo
[03:04.57] Ulpo nshikia ayaah uking'olewa memo mwenzako navimba mdomo poa ayaah
[03:13.93] (Wambie wajue mwenzako nshatia nanga)
[03:30.68]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings