Mua
๐ต 1224 characters
โฑ๏ธ 3:41 duration
๐ ID: 14862264
๐ Lyrics
Nikiwa mbali na uwepo wa macho yako
Mimi mgonjwa siwezi pona
Nitatulia nikikuona aah... aaah
Niwapo ubavuni mwako
Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama
Nimetulia nikikuona aaah... aaah
Tabia umenibadilisha
Pozi zote kwisha
Ujeuri ndio kabisa
Nimechange... ii
Nahofia ukija nichoresha
Machozi sipati picha
Safari ukaikatisha
Huku sijiwezi
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Unavyonikanda na kunitua
We nigangue nikiugua
Unanifanya najishebedua
Ayee.
Puliza marashi wapi mafua
Wanaopenda kudadavua
Sie tunapika na kupakua
Ayee.ayee
Hatuna kelele
Tunaendana, endana
Mpaka milele eeh
Tutazikana
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mimi mgonjwa siwezi pona
Nitatulia nikikuona aah... aaah
Niwapo ubavuni mwako
Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama
Nimetulia nikikuona aaah... aaah
Tabia umenibadilisha
Pozi zote kwisha
Ujeuri ndio kabisa
Nimechange... ii
Nahofia ukija nichoresha
Machozi sipati picha
Safari ukaikatisha
Huku sijiwezi
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Unavyonikanda na kunitua
We nigangue nikiugua
Unanifanya najishebedua
Ayee.
Puliza marashi wapi mafua
Wanaopenda kudadavua
Sie tunapika na kupakua
Ayee.ayee
Hatuna kelele
Tunaendana, endana
Mpaka milele eeh
Tutazikana
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:21.76] Nikiwa mbali na uwepo wa macho yako
[00:24.47] Mimi mgonjwa siwezi pona
[00:27.45] Nitatulia nikikuona aah... aaah
[00:32.66] Niwapo ubavuni mwako
[00:34.20] Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama
[00:37.97] Nimetulia nikikuona aaah... aaah
[00:42.23] Tabia umenibadilisha
[00:45.00] Pozi zote kwisha
[00:47.37] Ujeuri ndio kabisa
[00:49.45] Nimechange... ii
[00:52.42] Nahofia ukija nichoresha
[00:55.30] Machozi sipati picha
[00:57.75] Safari ukaikatisha
[01:00.41] Huku sijiwezi
[01:02.17] Najiona hodari
[01:03.21] Juu ya penzi lako
[01:05.26] Sina habari
[01:06.79] Juu ya penzi lako
[01:07.40] Nimeonja asali
[01:09.07] Juu ya penzi lako
[01:10.01] Najiona mbali
[01:12.43] Najiona hodari
[01:14.32] Juu ya penzi lako
[01:15.71] Sina habari
[01:17.08] Juu ya penzi lako
[01:17.90] Nimeonja asali
[01:19.15] Juu ya penzi lako
[01:20.65] Najiona mbali
[01:21.85] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[01:27.55] Game lako murua, murua, murua, murua
[01:32.98] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[01:37.92] Game lako murua, murua, murua, murua
[01:54.92] Unavyonikanda na kunitua
[01:58.23] We nigangue nikiugua
[02:00.98] Unanifanya najishebedua
[02:03.33] Ayee.
[02:05.90] Puliza marashi wapi mafua
[02:08.62] Wanaopenda kudadavua
[02:11.24] Sie tunapika na kupakua
[02:13.78] Ayee.ayee
[02:15.97] Hatuna kelele
[02:18.36] Tunaendana, endana
[02:20.99] Mpaka milele eeh
[02:23.73] Tutazikana
[02:25.37] Najiona hodari
[02:27.56] Juu ya penzi lako
[02:28.85] Sina habari
[02:30.13] Juu ya penzi lako
[02:30.96] Nimeonja asali
[02:32.64] Juu ya penzi lako
[02:33.50] Najiona mbali
[02:35.86] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[02:40.87] Game lako murua, murua, murua, murua
[02:45.51] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[02:45.88] Game lako murua, murua, murua, murua
[02:46.35] Kama mua, mua, mua, mua
[02:51.21] Game lako murua, murua, murua, murua
[02:57.23]
[00:24.47] Mimi mgonjwa siwezi pona
[00:27.45] Nitatulia nikikuona aah... aaah
[00:32.66] Niwapo ubavuni mwako
[00:34.20] Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama
[00:37.97] Nimetulia nikikuona aaah... aaah
[00:42.23] Tabia umenibadilisha
[00:45.00] Pozi zote kwisha
[00:47.37] Ujeuri ndio kabisa
[00:49.45] Nimechange... ii
[00:52.42] Nahofia ukija nichoresha
[00:55.30] Machozi sipati picha
[00:57.75] Safari ukaikatisha
[01:00.41] Huku sijiwezi
[01:02.17] Najiona hodari
[01:03.21] Juu ya penzi lako
[01:05.26] Sina habari
[01:06.79] Juu ya penzi lako
[01:07.40] Nimeonja asali
[01:09.07] Juu ya penzi lako
[01:10.01] Najiona mbali
[01:12.43] Najiona hodari
[01:14.32] Juu ya penzi lako
[01:15.71] Sina habari
[01:17.08] Juu ya penzi lako
[01:17.90] Nimeonja asali
[01:19.15] Juu ya penzi lako
[01:20.65] Najiona mbali
[01:21.85] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[01:27.55] Game lako murua, murua, murua, murua
[01:32.98] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[01:37.92] Game lako murua, murua, murua, murua
[01:54.92] Unavyonikanda na kunitua
[01:58.23] We nigangue nikiugua
[02:00.98] Unanifanya najishebedua
[02:03.33] Ayee.
[02:05.90] Puliza marashi wapi mafua
[02:08.62] Wanaopenda kudadavua
[02:11.24] Sie tunapika na kupakua
[02:13.78] Ayee.ayee
[02:15.97] Hatuna kelele
[02:18.36] Tunaendana, endana
[02:20.99] Mpaka milele eeh
[02:23.73] Tutazikana
[02:25.37] Najiona hodari
[02:27.56] Juu ya penzi lako
[02:28.85] Sina habari
[02:30.13] Juu ya penzi lako
[02:30.96] Nimeonja asali
[02:32.64] Juu ya penzi lako
[02:33.50] Najiona mbali
[02:35.86] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[02:40.87] Game lako murua, murua, murua, murua
[02:45.51] Mtamu kama mua, mua, mua, mua
[02:45.88] Game lako murua, murua, murua, murua
[02:46.35] Kama mua, mua, mua, mua
[02:51.21] Game lako murua, murua, murua, murua
[02:57.23]