Ukimwona
๐ต 1269 characters
โฑ๏ธ 3:52 duration
๐ ID: 14878432
๐ Lyrics
Kusema kweli bado nakuhata
And on the daily bado nakufuata
Kosa sio hoja zaidi ya kukupenda
Vipi nikatupa ndoto tulizoziota
BRIDGE:hoooo uliniwasha nare
Enzi zetu za kuparre kwa mvinyo na makali magizani hadi ngware
Nikijifanya daktari wa mabinti wale
Wenye shepu za hatari nikapotelea ndani...
Ilaaa mwambie nampenda...
Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona...
Mwambie nampenda roho ya mtamani bado nampenda ukimwona...
(Ukimwoona...)
Tabasamu la kishua
Roho sawa na maua
I cant help I miss you every morning vile unapendeza
Kama ningeweza jua yepi ya kutarajia
Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda
Ninayempenda ni wewe hakuna mwengine wakubadili penzi
Ningependa tuelewane
Kiburi kisinikosanishe nawe
BRIDGE:hooo uliniwasha paree na sikushika nare ukanisema kwa jirani
Kwamba mimi ni kisarani aibu za hadharani vile penzi hatari
Njoo unipe amani kama hapo zamani
Mwambie nampenda...

Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...
Ukimwoonaa...

(Mwambieeee) Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...
(Mwambieeee) Mwambie nampenda roho ya mtaani bado nampenda ukimwona...

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.32] Kusema kweli bado nakuhata
[00:09.02] And on the daily bado nakufuata
[00:14.18] Kosa sio hoja zaidi ya kukupenda
[00:19.47] Vipi nikatupa ndoto tulizoziota
[00:24.34] BRIDGE:hoooo uliniwasha nare
[00:26.76] Enzi zetu za kuparre kwa mvinyo na makali magizani hadi ngware
[00:34.05] Nikijifanya daktari wa mabinti wale
[00:39.65] Wenye shepu za hatari nikapotelea ndani...
[00:44.30] Ilaaa mwambie nampenda...
[00:47.76] Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona...
[00:55.11] Mwambie nampenda roho ya mtamani bado nampenda ukimwona...
[01:12.88] (Ukimwoona...)
[01:25.03] Tabasamu la kishua
[01:27.68] Roho sawa na maua
[01:30.01] I cant help I miss you every morning vile unapendeza
[01:34.94] Kama ningeweza jua yepi ya kutarajia
[01:40.02] Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda
[01:45.21] Ninayempenda ni wewe hakuna mwengine wakubadili penzi
[01:55.96] Ningependa tuelewane
[02:00.26] Kiburi kisinikosanishe nawe
[02:05.65] BRIDGE:hooo uliniwasha paree na sikushika nare ukanisema kwa jirani
[02:12.71] Kwamba mimi ni kisarani aibu za hadharani vile penzi hatari
[02:20.67] Njoo unipe amani kama hapo zamani
[02:26.02] Mwambie nampenda...
[02:29.09] Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona...
[02:36.13] Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...
[02:53.72] Ukimwoonaa...
[03:06.47] Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...
[03:16.29] Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...
[03:26.60] (Mwambieeee) Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...
[03:37.01] (Mwambieeee) Mwambie nampenda roho ya mtaani bado nampenda ukimwona...
[03:46.82]