I Love Myself
๐ต 1257 characters
โฑ๏ธ 3:05 duration
๐ ID: 14996741
๐ Lyrics
I love myself
Sina wa kunikwaza, nipo na wa kuniliwaza
Sijawahi kujidanganya kujichanganya
Najipenda kujiweka kwanza
Najishika mkono kudondoka
Ni njia ya kuondoa fear
Hata nikikosea
Najitafakari bila kuchelewa
Sina wa kuniropokea
Najipenda mwenyewe na kujitegemea
Wivu haunisumbui chaguo langu
Lisikufanye uwe na uadui
Kiio kwangu hicho
Kioo kinanipa vazi lipi
Nitupie nauelewa moyo wangu
That's why I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Ni kitunguu tu nikatapo
Kinaweza kunitoa chozi
Si maneno ya watu
Hayanifiki hata shingoni
Sina wa kunisumbua hey
Na enjoy my life
Na niwaambie
Nimejifunza kuona nilipoanzia
Hata nikidondoka nasimama mwenyewe
Kwani mi ndio somo
Somo la kukufanya uelewe
Mimi ndio somo that's why I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Sina wa kunikwaza, nipo na wa kuniliwaza
Sijawahi kujidanganya kujichanganya
Najipenda kujiweka kwanza
Najishika mkono kudondoka
Ni njia ya kuondoa fear
Hata nikikosea
Najitafakari bila kuchelewa
Sina wa kuniropokea
Najipenda mwenyewe na kujitegemea
Wivu haunisumbui chaguo langu
Lisikufanye uwe na uadui
Kiio kwangu hicho
Kioo kinanipa vazi lipi
Nitupie nauelewa moyo wangu
That's why I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Ni kitunguu tu nikatapo
Kinaweza kunitoa chozi
Si maneno ya watu
Hayanifiki hata shingoni
Sina wa kunisumbua hey
Na enjoy my life
Na niwaambie
Nimejifunza kuona nilipoanzia
Hata nikidondoka nasimama mwenyewe
Kwani mi ndio somo
Somo la kukufanya uelewe
Mimi ndio somo that's why I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.44] I love myself
[00:09.60] Sina wa kunikwaza, nipo na wa kuniliwaza
[00:15.00] Sijawahi kujidanganya kujichanganya
[00:17.91] Najipenda kujiweka kwanza
[00:20.23] Najishika mkono kudondoka
[00:22.73] Ni njia ya kuondoa fear
[00:25.49] Hata nikikosea
[00:27.78] Najitafakari bila kuchelewa
[00:30.77] Sina wa kuniropokea
[00:32.05] Najipenda mwenyewe na kujitegemea
[00:35.70] Wivu haunisumbui chaguo langu
[00:38.24] Lisikufanye uwe na uadui
[00:40.14] Kiio kwangu hicho
[00:42.46] Kioo kinanipa vazi lipi
[00:44.59] Nitupie nauelewa moyo wangu
[00:47.18] That's why I love myself
[00:51.10] Kupendeza ndio kawaida yangu
[00:54.49] Wala shaka sina
[00:56.26] Usipopenda hilo si swala langu
[00:59.74] I love myself
[01:01.19] Kujipenda hio ndo hulka yangu
[01:05.39] Wala shaka sina
[01:06.43] Usipopenda hio si shida yangu
[01:10.00] I love myself
[01:21.96] Ni kitunguu tu nikatapo
[01:24.49] Kinaweza kunitoa chozi
[01:27.17] Si maneno ya watu
[01:28.69] Hayanifiki hata shingoni
[01:32.04] Sina wa kunisumbua hey
[01:34.20] Na enjoy my life
[01:37.41] Na niwaambie
[01:39.19] Nimejifunza kuona nilipoanzia
[01:41.71] Hata nikidondoka nasimama mwenyewe
[01:46.82] Kwani mi ndio somo
[01:48.70] Somo la kukufanya uelewe
[01:52.23] Mimi ndio somo that's why I love myself
[01:57.45] Kupendeza ndio kawaida yangu
[02:01.70] Wala shaka sina
[02:02.92] Usipopenda hilo si swala langu
[02:06.12] I love myself
[02:08.16] Kujipenda hio ndo hulka yangu
[02:11.32] Wala shaka sina
[02:13.06] Usipopenda hio si shida yangu
[02:16.30] I love myself
[02:27.99] Kupendeza ndio kawaida yangu
[02:32.45] Wala shaka sina
[02:33.58] Usipopenda hilo si swala langu
[02:37.19] I love myself
[02:38.85] Kujipenda hio ndo hulka yangu
[02:42.44] Wala shaka sina
[02:43.84] Usipopenda hio si shida yangu
[02:47.34] I love myself
[02:49.94]
[00:09.60] Sina wa kunikwaza, nipo na wa kuniliwaza
[00:15.00] Sijawahi kujidanganya kujichanganya
[00:17.91] Najipenda kujiweka kwanza
[00:20.23] Najishika mkono kudondoka
[00:22.73] Ni njia ya kuondoa fear
[00:25.49] Hata nikikosea
[00:27.78] Najitafakari bila kuchelewa
[00:30.77] Sina wa kuniropokea
[00:32.05] Najipenda mwenyewe na kujitegemea
[00:35.70] Wivu haunisumbui chaguo langu
[00:38.24] Lisikufanye uwe na uadui
[00:40.14] Kiio kwangu hicho
[00:42.46] Kioo kinanipa vazi lipi
[00:44.59] Nitupie nauelewa moyo wangu
[00:47.18] That's why I love myself
[00:51.10] Kupendeza ndio kawaida yangu
[00:54.49] Wala shaka sina
[00:56.26] Usipopenda hilo si swala langu
[00:59.74] I love myself
[01:01.19] Kujipenda hio ndo hulka yangu
[01:05.39] Wala shaka sina
[01:06.43] Usipopenda hio si shida yangu
[01:10.00] I love myself
[01:21.96] Ni kitunguu tu nikatapo
[01:24.49] Kinaweza kunitoa chozi
[01:27.17] Si maneno ya watu
[01:28.69] Hayanifiki hata shingoni
[01:32.04] Sina wa kunisumbua hey
[01:34.20] Na enjoy my life
[01:37.41] Na niwaambie
[01:39.19] Nimejifunza kuona nilipoanzia
[01:41.71] Hata nikidondoka nasimama mwenyewe
[01:46.82] Kwani mi ndio somo
[01:48.70] Somo la kukufanya uelewe
[01:52.23] Mimi ndio somo that's why I love myself
[01:57.45] Kupendeza ndio kawaida yangu
[02:01.70] Wala shaka sina
[02:02.92] Usipopenda hilo si swala langu
[02:06.12] I love myself
[02:08.16] Kujipenda hio ndo hulka yangu
[02:11.32] Wala shaka sina
[02:13.06] Usipopenda hio si shida yangu
[02:16.30] I love myself
[02:27.99] Kupendeza ndio kawaida yangu
[02:32.45] Wala shaka sina
[02:33.58] Usipopenda hilo si swala langu
[02:37.19] I love myself
[02:38.85] Kujipenda hio ndo hulka yangu
[02:42.44] Wala shaka sina
[02:43.84] Usipopenda hio si shida yangu
[02:47.34] I love myself
[02:49.94]