Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Niambie?

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Niambie? โ€ข โฑ๏ธ 3:37
๐ŸŽต 1542 characters
โฑ๏ธ 3:37 duration
๐Ÿ†” ID: 15108981

๐Ÿ“œ Lyrics

Rajiiiii...
Wasafi
Mmh mmh (Wasafi records)
Mmh

Mujini kipenzi
Silaha ni shilingi baby
Kupendana zamani
Ndo wanavyosemaga

Wazuri ni wengi
Ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani
Basi wanakumwaga

Ndo maana ukichelewa dukani
Mie ka moyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani
Akakuhonga kilo ya unga aaah

Oooh ooh
Mbaya zaidi sina kazi
Nakosa sent tano kipande
Bora nikuweke wazi
Yanini nikufuche gambe

Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi ni kipi kimefanya unipende

Nambieeee
Tell me baby lol
Oooh basi nambie
Vipi unajipenda ingali sina

Nambieeee
Ooh basi nambie (ooh basi nambie)
Tell me baby lol
Usijenitenda ukaniumiza roho ooh

Siku hizi magari ya wakongo
Mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo
Nidate kisa mapenzi

Nsijekuwekea ndumba
Umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda ooh ooh

Usije mgezea punda
Ukaniachia ngunga
Wanakumendea chunga
Ooh ooh ooh

Mbaya zaidi sina kazi
Nakosa senti tano kipande
Bora nikuweke wazi
Yanini nikufiche gambe

Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende

Tell me baby lol (tell mee)
Ooh basi nambie
Vipi unanipenda ingali sina dooh
Ooh nambie (tell meee)
Ooh basi nambie (tell meee)
Tell me baby ooh
Usijenitenda ukaniumiza roho ooh ooh

(Umenipendea aah) kipi mama
(Umenipendea aah) basi sema
(Umenipendea aah) umenipendea nini
Ingali sina dooh

(Umenipendea aah)
tell me baby lol (Umenipendea aah)
Ooh basi niambie (Umenipendea aah)
Vipi unanipenda ingali sina hiii hii hiii

Heheheee mwendokasi!

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.78] Rajiiiii...
[00:05.75] Wasafi
[00:09.95] Mmh mmh (Wasafi records)
[00:17.17] Mmh
[00:18.82] Mujini kipenzi
[00:21.31] Silaha ni shilingi baby
[00:24.31] Kupendana zamani
[00:26.24] Ndo wanavyosemaga
[00:27.76] Wazuri ni wengi
[00:30.72] Ila uongo mwingi baby
[00:33.52] Wakishaviona vya ndani
[00:35.73] Basi wanakumwaga
[00:37.21] Ndo maana ukichelewa dukani
[00:40.47] Mie ka moyo kananidundaga
[00:45.22] Nawaza asije mangi jirani
[00:49.23] Akakuhonga kilo ya unga aaah
[00:55.23] Oooh ooh
[00:57.28] Mbaya zaidi sina kazi
[00:59.95] Nakosa sent tano kipande
[01:02.39] Bora nikuweke wazi
[01:04.04] Yanini nikufuche gambe
[01:06.59] Tumeumbiwa shida maradhi
[01:08.67] Ndo chanzo mpaka wengi wadange
[01:10.78] Niweke wazi ni kipi kimefanya unipende
[01:14.59] Nambieeee
[01:15.90] Tell me baby lol
[01:18.34] Oooh basi nambie
[01:20.98] Vipi unajipenda ingali sina
[01:23.46] Nambieeee
[01:25.26] Ooh basi nambie (ooh basi nambie)
[01:27.61] Tell me baby lol
[01:29.84] Usijenitenda ukaniumiza roho ooh
[01:41.62] Siku hizi magari ya wakongo
[01:44.67] Mapesa mara nyumba mbezi
[01:47.71] Usinichanganye na ubongo
[01:49.95] Nidate kisa mapenzi
[01:51.88] Nsijekuwekea ndumba
[01:53.63] Umenipendea rumba
[01:56.49] Vipi nikija kudunda ooh ooh
[02:01.05] Usije mgezea punda
[02:03.96] Ukaniachia ngunga
[02:05.71] Wanakumendea chunga
[02:08.19] Ooh ooh ooh
[02:10.37] Mbaya zaidi sina kazi
[02:12.49] Nakosa senti tano kipande
[02:15.31] Bora nikuweke wazi
[02:17.80] Yanini nikufiche gambe
[02:19.22] Tumeumbiwa shida maradhi
[02:22.00] Ndo chanzo mpaka wengi wadange
[02:23.86] Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende
[02:28.02] Tell me baby lol (tell mee)
[02:30.83] Ooh basi nambie
[02:33.55] Vipi unanipenda ingali sina dooh
[02:36.41] Ooh nambie (tell meee)
[02:38.42] Ooh basi nambie (tell meee)
[02:40.85] Tell me baby ooh
[02:42.60] Usijenitenda ukaniumiza roho ooh ooh
[02:55.34] (Umenipendea aah) kipi mama
[02:57.62] (Umenipendea aah) basi sema
[03:00.77] (Umenipendea aah) umenipendea nini
[03:03.31] Ingali sina dooh
[03:04.63] (Umenipendea aah)
[03:06.32] Tell me baby lol (Umenipendea aah)
[03:07.63] Ooh basi niambie (Umenipendea aah)
[03:09.91] Vipi unanipenda ingali sina hiii hii hiii
[03:32.54] Heheheee mwendokasi!
[03:36.68]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings