Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bandia

๐Ÿ‘ค Flier โ€ข ๐ŸŽผ Bandia โ€ข โฑ๏ธ 2:50
๐ŸŽต 1185 characters
โฑ๏ธ 2:50 duration
๐Ÿ†” ID: 15285188

๐Ÿ“œ Lyrics

Hao watiaji waambie
Shughuli wajipatie
Ushapendana na miye
Wacha kimnatho waskie
Watasakanya wadhi
Wakudanganya round hii
Tumewarada side hii
Piga pang'ang'a zaidi

(Ooh, ooh, ooh)
Hakuna pahali naenda, ha
(Ooh, ooh, ooh)
Hakuna pahali naenda, ha

Wengi wali come wakaenda
Na baby bado ananipenda
Mabrejin wali turn to ma hater
Nacheki wanajam tukimeta
Mafeki wana plan kama tenga

Zakunitenganisha nawe
Tunajua dhamira zao
Tusiendanishe nao
Mambleina wali try wakahema
Ma linesmen wali side na marefa
Mashabik wakadai nitafwekwa
Kwa mechi kuni slice wakachengwa

Marafiki bandia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Zakutuvamia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Marafiki bandia

Wengi wali doubt kama sisi
Tungeweza ata last ka kawiki
Walisema hii ni lust ya tudishi
Waka swear utaniacha kwa dhiki
Na ma years zika pass tuko fiti

Bado wa pass fitina zao
Tunajua dhamira zao
Husuda ndio zao
Hawaamini uko happy saa hizi
Maskini wameanza kuchizi
Wengine wanawashwa mwilini
Wakiskia unayetaka ni mimi

Marafiki bandia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Zakutuvamia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Marafiki bandia
Marafiki bandia

Bandia

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.52] Hao watiaji waambie
[00:11.63] Shughuli wajipatie
[00:13.82] Ushapendana na miye
[00:16.21] Wacha kimnatho waskie
[00:18.89] Watasakanya wadhi
[00:21.21] Wakudanganya round hii
[00:23.53] Tumewarada side hii
[00:25.97] Piga pang'ang'a zaidi
[00:28.95] (Ooh, ooh, ooh)
[00:32.62] Hakuna pahali naenda, ha
[00:38.52] (Ooh, ooh, ooh)
[00:42.18] Hakuna pahali naenda, ha
[00:47.69] Wengi wali come wakaenda
[00:49.70] Na baby bado ananipenda
[00:52.13] Mabrejin wali turn to ma hater
[00:54.46] Nacheki wanajam tukimeta
[00:57.16] Mafeki wana plan kama tenga
[00:59.49] Zakunitenganisha nawe
[01:02.02] Tunajua dhamira zao
[01:04.48] Tusiendanishe nao
[01:06.78] Mambleina wali try wakahema
[01:09.16] Ma linesmen wali side na marefa
[01:11.43] Mashabik wakadai nitafwekwa
[01:13.83] Kwa mechi kuni slice wakachengwa
[01:15.24] Marafiki bandia
[01:17.87] Wametupangia
[01:19.95] Tumeona kwa mbali
[01:22.29] Tumeona maplani
[01:24.68] Zakutuvamia
[01:27.23] Wametupangia
[01:29.56] Tumeona kwa mbali
[01:31.80] Tumeona maplani
[01:34.27] Marafiki bandia
[01:35.58] Wengi wali doubt kama sisi
[01:37.81] Tungeweza ata last ka kawiki
[01:40.27] Walisema hii ni lust ya tudishi
[01:42.50] Waka swear utaniacha kwa dhiki
[01:45.15] Na ma years zika pass tuko fiti
[01:47.54] Bado wa pass fitina zao
[01:49.85] Tunajua dhamira zao
[01:52.57] Husuda ndio zao
[01:54.77] Hawaamini uko happy saa hizi
[01:57.14] Maskini wameanza kuchizi
[01:59.47] Wengine wanawashwa mwilini
[02:01.87] Wakiskia unayetaka ni mimi
[02:03.68] Marafiki bandia
[02:05.43] Wametupangia
[02:08.03] Tumeona kwa mbali
[02:10.38] Tumeona maplani
[02:12.76] Zakutuvamia
[02:15.02] Wametupangia
[02:17.48] Tumeona kwa mbali
[02:20.02] Tumeona maplani
[02:22.36] Marafiki bandia
[02:27.00] Marafiki bandia
[02:30.27] Bandia
[02:43.14]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings