Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Huwezi Kushindana

๐Ÿ‘ค Goodluck Gozbert โ€ข ๐ŸŽผ Huwezi Kushindana โ€ข โฑ๏ธ 5:30
๐ŸŽต 903 characters
โฑ๏ธ 5:30 duration
๐Ÿ†” ID: 15330276

๐Ÿ“œ Lyrics

Hauwezi kushindana, oh kushindana
Na mwanadamu mwenye kinywa
Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu

Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe

Ukiendelea unawapa kichwa hao
Basi laza imani rejea vitani

Wakikuona waseme umekuwa sugu
Acha waongee acha waseme seme
Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo

Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea

Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
Ungejifunza ukimya haunanga hasara
Fulani we fulani una shida gani

Na uongo wanini Mwogope Mungu
Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
Mimi nimeshakwambia

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:19.86] Hauwezi kushindana, oh kushindana
[00:27.69] Na mwanadamu mwenye kinywa
[00:39.08] Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
[00:43.20] Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
[00:47.79] Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
[00:52.06] Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
[00:56.04] Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
[01:01.29] Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
[01:05.59] Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
[01:10.33] Ukiendelea unawapa kichwa hao
[01:15.31] Basi laza imani rejea vitani
[01:20.16] Wakikuona waseme umekuwa sugu
[01:24.49] Acha waongee acha waseme seme
[01:28.97] Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo
[01:33.39] Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
[02:15.14] Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
[02:20.30] Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea
[02:25.11] Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
[02:29.49] Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
[02:36.01] Ungejifunza ukimya haunanga hasara
[02:38.62] Fulani we fulani una shida gani
[02:43.00] Na uongo wanini Mwogope Mungu
[02:46.93] Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
[02:52.25] Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
[02:57.50] Mimi nimeshakwambia
[03:01.32]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings