Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Promise

๐Ÿ‘ค Lody Music โ€ข ๐ŸŽผ Promise โ€ข โฑ๏ธ 3:55
๐ŸŽต 1298 characters
โฑ๏ธ 3:55 duration
๐Ÿ†” ID: 15562702

๐Ÿ“œ Lyrics

Muda mwingine unanikera
Unavyouliza maswali
Maneno ya mashoga zako
Yananifanya nisiwe sawa
Umeshakubali kibendera kwenye
Upepo mkali
Ila ndo hivyo penzi lako
Mi siwezi kunawa
Wamekufunza tabia mbaya
Kurudi home naona umelewa
Na mimi kwako sina baya na
Kusamehe mi mwelewa

Wanachukia kwa kweli wakiniona
Niko na wewe
Na mimi wananikera basi mara
Moja moja baby nielewe
I wish twende mbali mbali
Kote niishi na wewe
Wananinyima raha marafiki zako

Basi talk to me baby
Naomba tuje together
Msosi nimepika naona
Bwawa kwenye meza
Usilewe ma baby utaflow kiingereza
Moyo unasita bila we sitoweza

Nimekumis Aaaah Aaaah
Ma baby nimekumis Aaaah
So baby promise Aaaah
Ma baby promise Aaah

Napiga simu unasema uko busy
Unaniweka kwenye kiza
Muda mwingine napiga hupokei
Unakula bata Sinza
Wananisifia wakiwa na mimi
Kwako wananimaliza
Muda mwingine nasali
Baba Mungu basi atende miujiza

Wanachukia kwa kweli wakiniona
Niko na wewe
Na mimi wananikera basi mara
Moja moja baby nielewe
I wish twende mbali mbali
Kote niishi na wewe
Wananinyima raha marafiki zako

Basi talk to me baby
Naomba tuje together
Msosi nimepika naona
Bwawa kwenye meza
Usilewe ma baby utaflow kiingereza
Moyo unasita bila we sitoweza

So baby promise Aaaah Aaaah
Ma baby ni-promise Aaaah
So baby promise Aaaah
Ma baby promise Aaah

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings