Nangoja
๐ต 1191 characters
โฑ๏ธ 4:09 duration
๐ ID: 15755311
๐ Lyrics
Siachi
Nitasubiri ahadi zako (Oooh)
Ninautambua, Upendo wako
Juu ya maisha yangu (Oouyee)
Ninazitambua, Fadhili zako
Za mchana na usiku (Ouwo-uuu)
Hata kwa hili ninalolipitia
Imani yangu ni kwamba litakwisha
Nitalizunguka Rohoni Siku Sita
Kama Yeriko, Ya Saba litaanguka
Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia, nitasubiri ahadi zako kutimia
Imani yangu iko kwako we (Ah-ah-ah-ah)
We haushindwi (Ah-ah-ah)
Nakuamini (Nitangoja utende)
Auchelewi, wala auwahi (Ah-ah-ah-ah)
Ooh BWANA (Ah-ah-ah-ah)
Mimi nitangoja (Nitangoja utende)
Ooh-ooe
Chezaa Kompaaaa
Eeh, Kila jambo na wakati wake
Najua na mimi wakati wangu upo
YESU wangu hawezi niacha
Atasimama na mimi (Ouwo-uuu)
Japo nimesikia (Nimesikia)
Maneno nayonenewa (Maneno nayonenewa)
Yakunizuia kunikatisha tamaa, nianguke
Mimi nitalishika, lile uliloniambia
Maana neno lako ni Hakika, utafanya aah
Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia (Nitasubiri)
Nitasubiri ahadi zako kutimia
Mimi Nakuamini (Ah-ah-ah-ah)
Nakuamini (Ah-ah-ah)
Hakuna gumu Kwako (Nitangoja utende)
Subira yangu, Nitaiweka kwako(Ah-ah-ah-ah)
Ooyeaa (Ah-ah-ah)
Nitasubiri majira yako (Nitangoja utende)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:19.38] Siachi
[00:23.70] Nitasubiri ahadi zako (Oooh)
[00:29.89] Ninautambua, Upendo wako
[00:34.46] Juu ya maisha yangu (Oouyee)
[00:41.34] Ninazitambua, Fadhili zako
[00:45.99] Za mchana na usiku (Ouwo-uuu)
[00:52.59] Hata kwa hili ninalolipitia
[00:58.13] Imani yangu ni kwamba litakwisha
[01:03.70] Nitalizunguka Rohoni Siku Sita
[01:09.36] Kama Yeriko, Ya Saba litaanguka
[01:15.69] Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia
[01:26.87] Siachi kuvumilia, nitasubiri ahadi zako kutimia
[01:35.79] Imani yangu iko kwako we (Ah-ah-ah-ah)
[01:39.84] We haushindwi (Ah-ah-ah)
[01:42.50] Nakuamini (Nitangoja utende)
[01:46.31] Auchelewi, wala auwahi (Ah-ah-ah-ah)
[01:51.19] Ooh BWANA (Ah-ah-ah-ah)
[01:53.61] Mimi nitangoja (Nitangoja utende)
[01:56.42] Ooh-ooe
[01:58.18]
[02:02.20] Chezaa Kompaaaa
[02:03.26]
[02:10.63] Eeh, Kila jambo na wakati wake
[02:16.55] Najua na mimi wakati wangu upo
[02:22.20] YESU wangu hawezi niacha
[02:26.93] Atasimama na mimi (Ouwo-uuu)
[02:33.63] Japo nimesikia (Nimesikia)
[02:36.16] Maneno nayonenewa (Maneno nayonenewa)
[02:39.02] Yakunizuia kunikatisha tamaa, nianguke
[02:44.56] Mimi nitalishika, lile uliloniambia
[02:50.10] Maana neno lako ni Hakika, utafanya aah
[02:57.09] Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia
[03:08.15] Siachi kuvumilia (Nitasubiri)
[03:12.78] Nitasubiri ahadi zako kutimia
[03:16.99] Mimi Nakuamini (Ah-ah-ah-ah)
[03:20.95] Nakuamini (Ah-ah-ah)
[03:23.74] Hakuna gumu Kwako (Nitangoja utende)
[03:27.34] Subira yangu, Nitaiweka kwako(Ah-ah-ah-ah)
[03:32.54] Ooyeaa (Ah-ah-ah)
[03:35.24] Nitasubiri majira yako (Nitangoja utende)
[03:38.76]
[03:43.68] Chezaa Kompaaaa
[04:07.54]