Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Merimela

๐Ÿ‘ค Uncle Okoniah โ€ข ๐ŸŽผ Safari Ya Maisha โ€ข โฑ๏ธ 4:42
๐ŸŽต 2183 characters
โฑ๏ธ 4:42 duration
๐Ÿ†” ID: 15842236

๐Ÿ“œ Lyrics

Merimela kipenzi rafiki wa karibu tangu hapo zamani
tulipoanza shule nasi tukiwa watoto ulikuwa mpole
tena mwenye adabu msichana mrembo kila mara mshindi
sifa nazo urembo ukaenea kwote ukipita ni whispers
Wa darasa la saba kipenzi Merimela ukaanza geuka
machali mbalimbali ata nao walimu wakakufanya quencher
na wewe ukakubali ingilia mapenzi ya kiholelaholela
na we kuwashukia waliokuwa karibu wakukupa ushauri

nami nikakuonya, chunga sana maisha
na we kashauriwa, badilisha mienendo
na we ukapuuza, waenjoy maisha
tena ukakataa, unavunja mifupa
Ukakosa bahati mrembo Merimela ukakwachua mimba
ukazunguka kwote ukitaka mawaidha juu ya mimba mpenzi
nawe ukadanganywa toa kitu kidogo ukafanya abortion

bila kushauriwa njia gani salama ya kujilinda mrembo

Ukaambiwa uchili, ukasema ni ndoto
utumie mipira, ukasema si tamu
basi panga uzazi, ukasema ni hectic
heri upate wokovu, ukakataa ni mapema
Kwa shule ya upili mwendo ni ule ule mapenzi kiholela
kila mwaka ni mimba, kila mwaka abortion, ikakuwa mtindo

ata chuo kikuu raha ikapanda, vunjavunja mifupa
wadosi na fukara ukaonja Merimela na mimba ni kawaida
ukakuwa ni dustbin, ya kutupa takataka
ATM mashini, kila kadi yaingia
ukakuwa daladala, kila mtu akupanda
Bado nakumbuka siku ulionialika kwa harusi Merimela
ukanielezea umekwisha hitimu na umepata mchumba
kama rafiki yako kanisisitizia nisikose kufika

kazi umeshapata na mshahara unapata na itakuwa sherehe
mimi kama rafiki, nikafika huko mapema
ilikuwa ni sherehe [kubwa sana], ya vifijo na nderemo
nilikuwa ni maombi [Haleluyah], na zawadi teletele
kila uso ni furaha [hahaha], siku hiyo ya harusi
Sasa miaka mitano imepita Merimela hujapata mtoto
kila siku kelele kati yako na bwana, anataka mtoto

ata na wakwe zako wanapiga kelele, wanataka mtoto
furaha imekwisha imebaki huzuni, kila siku mawazo
kwa waganga umeenda, hujapata mtoto
kwa maombi umeenda, hujapata mtoto
dakitari akasema, beba mimba huwezi
dakitari akasema, beba mimba huwezi
na uchungu ya machungu umepatwa na virusi
na uchungu ya machungu umepatwa na virusi Mela mama

Usilie usilie Mela mama, usilie Mela mama
Usilie Mela mama, usilie Mela mama
unanafasi ya kuishi usilie,
fanya tizi, fanya tizi eh

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.07] Merimela kipenzi rafiki wa karibu tangu hapo zamani
[00:16.58] tulipoanza shule nasi tukiwa watoto ulikuwa mpole
[00:21.88] tena mwenye adabu msichana mrembo kila mara mshindi
[00:26.60] sifa nazo urembo ukaenea kwote ukipita ni whispers
[00:31.53] Wa darasa la saba kipenzi Merimela ukaanza geuka
[00:36.97] machali mbalimbali ata nao walimu wakakufanya quencher
[00:42.06] na wewe ukakubali ingilia mapenzi ya kiholelaholela
[00:47.06] na we kuwashukia waliokuwa karibu wakukupa ushauri
[00:51.41] nami nikakuonya, chunga sana maisha
[00:57.14] na we kashauriwa, badilisha mienendo
[01:02.52] na we ukapuuza, waenjoy maisha
[01:08.17] tena ukakataa, unavunja mifupa
[01:12.41] Ukakosa bahati mrembo Merimela ukakwachua mimba
[01:23.45] ukazunguka kwote ukitaka mawaidha juu ya mimba mpenzi
[01:28.58] nawe ukadanganywa toa kitu kidogo ukafanya abortion
[01:33.03] bila kushauriwa njia gani salama ya kujilinda mrembo
[01:38.59] Ukaambiwa uchili, ukasema ni ndoto
[01:42.65] utumie mipira, ukasema si tamu
[01:48.66] basi panga uzazi, ukasema ni hectic
[01:53.11] heri upate wokovu, ukakataa ni mapema
[02:04.18] Kwa shule ya upili mwendo ni ule ule mapenzi kiholela
[02:09.18] kila mwaka ni mimba, kila mwaka abortion, ikakuwa mtindo
[02:14.39] ata chuo kikuu raha ikapanda, vunjavunja mifupa
[02:19.11] wadosi na fukara ukaonja Merimela na mimba ni kawaida
[02:24.20] ukakuwa ni dustbin, ya kutupa takataka
[02:29.63] ATM mashini, kila kadi yaingia
[02:34.89] ukakuwa daladala, kila mtu akupanda
[02:40.36] Bado nakumbuka siku ulionialika kwa harusi Merimela
[02:49.72] ukanielezea umekwisha hitimu na umepata mchumba
[02:55.23] kama rafiki yako kanisisitizia nisikose kufika
[02:59.95] kazi umeshapata na mshahara unapata na itakuwa sherehe
[03:05.40] mimi kama rafiki, nikafika huko mapema
[03:10.71] ilikuwa ni sherehe [kubwa sana], ya vifijo na nderemo
[03:15.04] nilikuwa ni maombi [Haleluyah], na zawadi teletele
[03:18.50] kila uso ni furaha [hahaha], siku hiyo ya harusi
[03:25.24] Sasa miaka mitano imepita Merimela hujapata mtoto
[03:34.02] kila siku kelele kati yako na bwana, anataka mtoto
[03:41.07] ata na wakwe zako wanapiga kelele, wanataka mtoto
[03:45.61] furaha imekwisha imebaki huzuni, kila siku mawazo
[03:51.23] kwa waganga umeenda, hujapata mtoto
[03:56.42] kwa maombi umeenda, hujapata mtoto
[04:01.33] dakitari akasema, beba mimba huwezi
[04:05.71] dakitari akasema, beba mimba huwezi
[04:09.64] na uchungu ya machungu umepatwa na virusi
[04:11.98] na uchungu ya machungu umepatwa na virusi Mela mama
[04:17.30] Usilie usilie Mela mama, usilie Mela mama
[04:32.38] Usilie Mela mama, usilie Mela mama
[04:33.28] unanafasi ya kuishi usilie,
[04:36.95] fanya tizi, fanya tizi eh
[04:40.94]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings