Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Official Video

๐Ÿ‘ค Chege Chigunda โ€ข ๐ŸŽผ Chege Chigunda Videos โ€ข โฑ๏ธ 3:52
๐ŸŽต 1548 characters
โฑ๏ธ 3:52 duration
๐Ÿ†” ID: 16130623

๐Ÿ“œ Lyrics

Said Fella
Tmk for life
(Wasafi records)
Ehh, Check out...

Maji ya moto yamekuwa baridi (lalalalaaaa)
Hakimu nimekuwa shahidi (lalalalaa)
Ukijishusha mateso yanazidi (lalalalaa)
Aloniliza ndo wakunikufariji (lalalaaa)

Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane

Yamethibitisha macho lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho
Ni yule unaona anaekufaa
Nilifumba mboni zangu kwa wengine nimuone yeye tu
Nikamwaga jasho langu
Japo kidogo nile na yeye tu

Mwambie awe huru wala sitolalamaa (haaaa haaa)
Sitaki kukufuru wafunge ndoa salamaa (haaa haaa)

Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane

Anayepanga kugawanya waga ni Mungu baba
Kato siwezi kulalama riziki ni mafungu saba
Nimejitahidi saana uwenda sikumridhisha labda
Ila kinachonichanganya hakuniambia kabda

Tena nakupa maua mpelekee
Wasije yatupa naomba wayapoke aah
Na suna nitafunga usiku niwaombee
Awape baraka Muumba watoto awaletee eeehh aaahh

Waache waoane (ohh salimini salama)
Waache waoane (wewe baba na mama)
Waache waoane (tena naweka na nadhiri)
Waache waoane (aku sitowasumbua)

Maji ya moto yamekuwa baridi (lalalalaaaa)
Hakimu nimekuwa shaidi (lalalalaa)
Ukijishusha mateso yamezidi (lalalalaa)
aloniliza ndo wakunikufariji (lalalaaa)

Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane

Japo moyo wangu (kitete)
Moyo wangu (kitete)
Yarabi moyo (kitete)
Taratibu nitazoea

Moyo...(kitete)
Moyo wangu...(kitete)
Mwenzenu moyo...(kitete)
Taratibu nitazoea

Ooh mama moyo...(kitete)
Moyo hii...(kitete)
Wangu moyo...(kitete)
Taratibu mama eeh haa

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.66] Said Fella
[00:04.31] Tmk for life
[00:07.16] (Wasafi records)
[00:10.38] Ehh, Check out...
[00:16.26] Maji ya moto yamekuwa baridi (lalalalaaaa)
[00:20.85] Hakimu nimekuwa shahidi (lalalalaa)
[00:24.63] Ukijishusha mateso yanazidi (lalalalaa)
[00:29.74] Aloniliza ndo wakunikufariji (lalalaaa)
[00:31.90] Waache waoane
[00:35.38] Waache waoane
[00:39.94] Waache waoane
[00:43.89] Waache waoane
[00:47.43] Yamethibitisha macho lakini moyo unakataa
[00:55.78] Nimeamini kikulacho
[00:59.41] Ni yule unaona anaekufaa
[01:02.96] Nilifumba mboni zangu kwa wengine nimuone yeye tu
[01:10.65] Nikamwaga jasho langu
[01:16.06] Japo kidogo nile na yeye tu
[01:18.12] Mwambie awe huru wala sitolalamaa (haaaa haaa)
[01:25.95] Sitaki kukufuru wafunge ndoa salamaa (haaa haaa)
[01:32.63] Waache waoane
[01:39.62] Waache waoane
[01:42.24] Waache waoane
[01:46.70] Waache waoane
[01:49.70] Anayepanga kugawanya waga ni Mungu baba
[01:53.51] Kato siwezi kulalama riziki ni mafungu saba
[01:57.52] Nimejitahidi saana uwenda sikumridhisha labda
[02:01.53] Ila kinachonichanganya hakuniambia kabda
[02:05.89] Tena nakupa maua mpelekee
[02:09.48] Wasije yatupa naomba wayapoke aah
[02:13.47] Na suna nitafunga usiku niwaombee
[02:16.96] Awape baraka Muumba watoto awaletee eeehh aaahh
[02:21.70] Waache waoane (ohh salimini salama)
[02:25.53] Waache waoane (wewe baba na mama)
[02:29.54] Waache waoane (tena naweka na nadhiri)
[02:33.56] Waache waoane (aku sitowasumbua)
[02:37.00] Maji ya moto yamekuwa baridi (lalalalaaaa)
[02:41.18] Hakimu nimekuwa shaidi (lalalalaa)
[02:44.90] Ukijishusha mateso yamezidi (lalalalaa)
[02:49.19] aloniliza ndo wakunikufariji (lalalaaa)
[02:52.36] Waache waoane
[03:00.64] Waache waoane
[03:01.89] Waache waoane
[03:05.09] Waache waoane
[03:07.33] Japo moyo wangu (kitete)
[03:08.90] Moyo wangu (kitete)
[03:10.76] Yarabi moyo (kitete)
[03:12.19] Taratibu nitazoea
[03:14.57] Moyo...(kitete)
[03:16.69] Moyo wangu...(kitete)
[03:18.54] Mwenzenu moyo...(kitete)
[03:20.40] Taratibu nitazoea
[03:22.21] Ooh mama moyo...(kitete)
[03:24.59] Moyo hii...(kitete)
[03:26.41] Wangu moyo...(kitete)
[03:28.52] Taratibu mama eeh haa
[03:45.30]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings