Amen
๐ต 1123 characters
โฑ๏ธ 3:50 duration
๐ ID: 16145547
๐ Lyrics
Ninayo sababu ya Kusimama
Mbele za watu (Kwa Ujasiri)
Mmh
Niziseme Shuhuda zako BWANA wangu
Jinsi (We ulivyo Nisitiri)
Nakama ungeniacha, mi nisingeweza
Ningeli angamia, angamia
Kwa neema yako, Nimeweza
Maana Umenisimamia
Simamia, ah-ah-ah-ah
Najitabiria, mabaya yote, hayana nafasi
Kwa jina la YESU ninakiri kupokea Ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina Imani Nawe (Amen)
Utafanya YESU (Ooh-uoo)
Ooh
Kama ni Mali, Fedha na Dhahabu mimi (Nitavipata tu)
Ambavyo Wazazi wangu, Hawakuvipata (Nitavipata tu)
Kuongezeka Imani, niyashinde majaribu (Nitafanikiwa)
Kuishi Utakatifu, niione MBINGU (Nitafanikiwa)
Najua, hali ngumu, zinakikomo, sizakudumu
Ila, Neno la MUNGU na Mipango yake
Inadumu milelee
Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la YESU ninakiri kupokea Ushindi
Umo Uwezo Kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina Imani Nawe (Amen)
Utafanya YESU (Ooh-uoo)
Ooh
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina Imani Nawe (Amen)
Utafanya YESU (Amen)
Ooh-uoo

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:09.66] Ninayo sababu ya Kusimama
[00:12.35] Mbele za watu (Kwa Ujasiri)
[00:18.16] Mmh
[00:20.30] Niziseme Shuhuda zako BWANA wangu
[00:23.06] Jinsi (We ulivyo Nisitiri)
[00:30.10] Nakama ungeniacha, mi nisingeweza
[00:35.59] Ningeli angamia, angamia
[00:41.06] Kwa neema yako, Nimeweza
[00:45.68] Maana Umenisimamia
[00:49.57] Simamia, ah-ah-ah-ah
[00:54.22] Najitabiria, mabaya yote, hayana nafasi
[01:05.02] Kwa jina la YESU ninakiri kupokea Ushindi
[01:12.57] Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
[01:15.96] Nikitamka (Amen)
[01:18.74] Inatimia (Amen)
[01:20.46] Sawa sawa na kusudi lako
[01:23.21] Atakama sioni dalili (Amen)
[01:26.56] Nina Imani Nawe (Amen)
[01:29.28] Utafanya YESU (Ooh-uoo)
[01:37.46] Ooh
[01:38.86]
[01:45.25] Kama ni Mali, Fedha na Dhahabu mimi (Nitavipata tu)
[01:50.83] Ambavyo Wazazi wangu, Hawakuvipata (Nitavipata tu)
[01:56.14] Kuongezeka Imani, niyashinde majaribu (Nitafanikiwa)
[02:01.50] Kuishi Utakatifu, niione MBINGU (Nitafanikiwa)
[02:06.88] Najua, hali ngumu, zinakikomo, sizakudumu
[02:17.54] Ila, Neno la MUNGU na Mipango yake
[02:23.99] Inadumu milelee
[02:30.13] Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi
[02:40.78] Kwa jina la YESU ninakiri kupokea Ushindi
[02:48.31] Umo Uwezo Kinywani mwangu (Amen)
[02:51.76] Nikitamka (Amen)
[02:54.55] Inatimia (Amen)
[02:56.66] Sawa sawa na kusudi lako
[02:59.02] Atakama sioni dalili (Amen)
[03:02.55] Nina Imani Nawe (Amen)
[03:05.23] Utafanya YESU (Ooh-uoo)
[03:13.32] Ooh
[03:16.39]
[03:31.04] Atakama sioni dalili (Amen)
[03:34.10] Nina Imani Nawe (Amen)
[03:36.80] Utafanya YESU (Amen)
[03:39.71] Ooh-uoo
[03:48.52]