Home 🎬 Bollywood 🎵 Pakistani 🎤 English Pop

Nandy – Na Nusu | Yingamedia.com

👤 Yingamedia.com 🎼 Yingamedia.com ⏱️ 2:30
🎵 1001 characters
⏱️ 2:30 duration
🆔 ID: 16261400

📜 Lyrics

Yogo on the beats
(The African Princess)

Shii! Akichekecha nacheketua naye
Bandua bwesa ninakesha naye
Bingwa wa mitindo sio foreigner
Dereva sio learner
Inashika antenna oyee

Ashanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee

Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee

Kaninogea (ooh inama inama)
Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
Akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama)
Akipiga kick!

Napunga kipupwe Copa Cabana
Nauminilevya kama banana
Nikiguza kitufe mambo mwanana
Ulipopita we mbali we umeshona

Mtoto baiko baikoko
Kibao kata kanga moko
Chikigiriki kimoko
Nachora eeeh

Nimeshanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee

Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee

Kaninogea (ooh inama inama)
Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
Akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama)
Akipiga kick (na nusu)

Na nusu
Na nusu

⏱️ Synced Lyrics

[00:07.43] Yogo on the beats
[00:08.59] (The African Princess)
[00:16.95] Shii! Akichekecha nacheketua naye
[00:21.86] Bandua bwesa ninakesha naye
[00:26.41] Bingwa wa mitindo sio foreigner
[00:29.78] Dereva sio learner
[00:31.97] Inashika antenna oyee
[00:35.49] Ashanasa ulimbo, ulimbo
[00:38.51] Sibanduki ng'o
[00:40.91] Mi naye ngoma draw oyee
[00:44.32] Nakesha lindo, lindo
[00:47.69] Macho kwenye show
[00:50.06] Kuchakachua no, oyee
[00:53.02] Kaninogea (ooh inama inama)
[00:55.73] Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
[01:00.45] Akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
[01:04.90] Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama)
[01:09.41] Akipiga kick!
[01:11.74] Napunga kipupwe Copa Cabana
[01:13.60] Nauminilevya kama banana
[01:15.55] Nikiguza kitufe mambo mwanana
[01:17.92] Ulipopita we mbali we umeshona
[01:20.67] Mtoto baiko baikoko
[01:22.41] Kibao kata kanga moko
[01:24.83] Chikigiriki kimoko
[01:27.32] Nachora eeeh
[01:29.23] Nimeshanasa ulimbo, ulimbo
[01:32.41] Sibanduki ng'o
[01:34.84] Mi naye ngoma draw oyee
[01:38.28] Nakesha lindo, lindo
[01:41.20] Macho kwenye show
[01:43.88] Kuchakachua no, oyee
[01:46.88] Kaninogea (ooh inama inama)
[01:49.65] Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
[01:54.34] Akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
[01:58.89] Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama)
[02:03.44] Akipiga kick (na nusu)
[02:09.51] Na nusu
[02:13.49] Na nusu
[02:23.25]

⭐ Rate These Lyrics

Average: 0.0/5 • 0 ratings