Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Binti

๐Ÿ‘ค Lady Jaydee โ€ข ๐ŸŽผ Binti โ€ข โฑ๏ธ 4:20
๐ŸŽต 1592 characters
โฑ๏ธ 4:20 duration
๐Ÿ†” ID: 16261802

๐Ÿ“œ Lyrics

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika

binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

kama uko shule vitabu ni juhudi ongeza
kama mwajiriwa hakikisha cheo umepanda
kama biashara ongea vizuri na wateja kamwe usikubali mtu akukatishe tamaa
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara(sana aaa)
unadiliki kusema huwezi ishi bila yeye miaka iliyopita hukumjua ni nani yeyeee
mbona uliishi na umekuwa mkubwa sasa
iweje akuzuge ili maisha yakuchanganye
(ohhh ohh eeee eee)

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara
binti imara siku zote ni shujaa
kila utendalo maishani utafanikiwa
achana majungu usisikie wasemayo
piga moyo konde mwisho wa safari utafika

(maisha hayataki papala tulia uone nini cha kufanya na nini cha kuacha)

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika

binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

wow wow ohhh

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika

binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika

binti amka jikaze anza mwendo
binti u mrembo na bado wang'ara

end...

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings