Roho (feat. Christian Bella)
๐ต 1970 characters
โฑ๏ธ 3:24 duration
๐ ID: 16262118
๐ Lyrics
(O-oo, o-oo)
(O-ooh, moyo)
(Oh-oh moyo uwo)
Nilipom-miss hakutokea, ili kunigea kiss
Au kuni-hug, hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga
Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakani-ditch
Nili-survive vipi sikumuita first love bitch
Ninahisi, nilipata vibe ya kuipa truth a facelift
Haupati love bila ya michuzi hauna cash Fid
Nikakesha ndani ya booth, Huyu na yule ikawa first hit
Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list
Life ikawa poa, lakini u-player siuwezi Fid
Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi
Plus, hawara anapasha kitanda moto
Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyu mtoto
Na kuimba mahaba niue, with a smile on my face
Haijalishi kama ana uzuri wa kum-turn hadi gay straight
Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza potea
Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache wanao-play fair
Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo)
Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
Roho inaniuma, eh
Roho inaniuma, iya
Roho inaniuma, roho inaniuma
Roho inaniuma, iye, yeah, yeah
Ninahofia kuumizwa moyo
Bila hata kupewa pole
Dudu liumalo, kwanini nilipe kidole?
Ooh moyo (moyo), roho inaniuma mie
Dear hustle, ni wazi penzi lako ni safi
Na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni ki-smart baby
Kipi sipati? Ninahiti kwa chati waliotashtiti mziki haunilipi
Wako wapi? Waniache, mkate nipate baby
Money makes a man, lakini love ni hustle
You know who you love but you don't know who loves you (who loves you)
Wakunifanya niwe Baraka kama Michelle
Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5-star hotel
Dawa sio chungu ndugu, chungu maradhi
Haki ya Mungu tena, chuki humchoma anayeihifadhi
Kumsahau siwezi, ni sawa na kumkumbuka nisiyemjua
Mapenzi yalifanya nikaumbuka, ninachoshukuru hayakuniua

Roho inaniuma, iye, yeah, yeah (roho inaniuma)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:07.72] (O-oo, o-oo)
[00:14.26] (O-ooh, moyo)
[00:16.26]
[00:19.40] (Oh-oh moyo uwo)
[00:21.39] Nilipom-miss hakutokea, ili kunigea kiss
[00:23.85] Au kuni-hug, hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga
[00:26.38] Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakani-ditch
[00:29.39] Nili-survive vipi sikumuita first love bitch
[00:31.55] Ninahisi, nilipata vibe ya kuipa truth a facelift
[00:34.84] Haupati love bila ya michuzi hauna cash Fid
[00:37.04] Nikakesha ndani ya booth, Huyu na yule ikawa first hit
[00:40.04] Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list
[00:42.24] Life ikawa poa, lakini u-player siuwezi Fid
[00:44.98] Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi
[00:47.64] Plus, hawara anapasha kitanda moto
[00:49.81] Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyu mtoto
[00:52.67] Na kuimba mahaba niue, with a smile on my face
[00:55.12] Haijalishi kama ana uzuri wa kum-turn hadi gay straight
[00:57.52] Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza potea
[01:00.14] Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache wanao-play fair
[01:03.76] Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo)
[01:09.07] Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
[01:13.00] Roho inaniuma, eh
[01:15.78] Roho inaniuma, iya
[01:18.12] Roho inaniuma, roho inaniuma
[01:20.72] Roho inaniuma, iye, yeah, yeah
[01:24.98] Ninahofia kuumizwa moyo
[01:26.98]
[01:30.28] Bila hata kupewa pole
[01:32.28]
[01:34.40] Dudu liumalo, kwanini nilipe kidole?
[01:36.40]
[01:40.00] Ooh moyo (moyo), roho inaniuma mie
[01:42.00]
[01:44.86] Dear hustle, ni wazi penzi lako ni safi
[01:47.13] Na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni ki-smart baby
[01:50.16] Kipi sipati? Ninahiti kwa chati waliotashtiti mziki haunilipi
[01:53.32] Wako wapi? Waniache, mkate nipate baby
[01:55.55] Money makes a man, lakini love ni hustle
[01:58.15] You know who you love but you don't know who loves you (who loves you)
[02:01.18] Wakunifanya niwe Baraka kama Michelle
[02:03.07] Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5-star hotel
[02:06.16] Dawa sio chungu ndugu, chungu maradhi
[02:08.07] Haki ya Mungu tena, chuki humchoma anayeihifadhi
[02:10.96] Kumsahau siwezi, ni sawa na kumkumbuka nisiyemjua
[02:13.32] Mapenzi yalifanya nikaumbuka, ninachoshukuru hayakuniua
[02:16.61] Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo)
[02:18.61]
[02:22.05] Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
[02:25.94] Roho inaniuma, eh
[02:28.68] Roho inaniuma, iya
[02:31.25] Roho inaniuma, roho inaniuma
[02:33.99] Roho inaniuma, iye, yeah, yeah (roho inaniuma)
[02:38.62]