Siteketei
๐ต 950 characters
โฑ๏ธ 3:56 duration
๐ ID: 16312232
๐ Lyrics
Mi siteketei siangamiii
Sigharikishwi upo nami
Mi siteketei siangamiii
Sigharikishwi upo nami
Upimwi kwa siku upimwi kwa miaka
Huna hata Siri majira
uzuiwi na muda
umejawa na nguvu
ndio maama nakuita baba
Moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe
hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako nasimama
Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami

Nimezungukwa nawe kila upande hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yalo upande wangu
ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
hatua zangu zaongozwa nawe
siangamii siteketei
katika wewe Nina simama
siteketei na nina dumu

Kwako bwana nasimama
Tiba mwamba ni salama
kwako bwana nasimama eh eh eh
For they that believe in you
we shall stand firm forever forever

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:12.54] Mi siteketei siangamiii
[00:16.81] Sigharikishwi upo nami
[00:21.65] Mi siteketei siangamiii
[00:26.58] Sigharikishwi upo nami
[00:30.63] Upimwi kwa siku upimwi kwa miaka
[00:35.46] Huna hata Siri majira
[00:39.86] uzuiwi na muda
[00:42.39] umejawa na nguvu
[00:44.82] ndio maama nakuita baba
[00:49.66] Moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe
[00:59.27] hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako nasimama
[01:09.55] Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
[01:18.77] Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
[01:28.10] Nimezungukwa nawe kila upande hakuna jambo la kuniangamiza
[01:38.07] majeshi yalo upande wangu
[01:41.83] ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
[01:47.20] hatua zangu zaongozwa nawe
[01:51.97] siangamii siteketei
[01:56.75] katika wewe Nina simama
[02:01.12] siteketei na nina dumu
[02:06.70] Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
[02:15.66] Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
[02:26.22] Kwako bwana nasimama
[02:28.97] Tiba mwamba ni salama
[02:31.81] kwako bwana nasimama eh eh eh
[02:35.66] For they that believe in you
[02:38.38] we shall stand firm forever forever
[02:41.93]
[02:44.49] Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
[02:54.17] Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
[03:02.30]