Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kumama

๐Ÿ‘ค Bridget Blue โ€ข ๐ŸŽผ Mash Up โ€ข โฑ๏ธ 2:07
๐ŸŽต 628 characters
โฑ๏ธ 2:07 duration
๐Ÿ†” ID: 16396815

๐Ÿ“œ Lyrics

Azwa nga bomwana, kumama papa eeh
Eeh Yahweh kumama papa eeh
Kisi ya soni, kumama papa eeh
Eeh Yahweh kumama papa eeh

Moyo wangu wakupenda we wajua
Moyo wangu wakuinua tazama
Kwa kinywa changu nakusifu Baba yangu
Upendo wangu mi nakupa Baba

Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza
Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza
Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza
Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza

Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Baba ni makuu mno
Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako
Milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.14] Azwa nga bomwana, kumama papa eeh
[00:09.28] Eeh Yahweh kumama papa eeh
[00:14.97] Kisi ya soni, kumama papa eeh
[00:21.38] Eeh Yahweh kumama papa eeh
[00:25.73] Moyo wangu wakupenda we wajua
[00:31.03] Moyo wangu wakuinua tazama
[00:36.98] Kwa kinywa changu nakusifu Baba yangu
[00:43.06] Upendo wangu mi nakupa Baba
[00:49.12] Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza
[00:55.07] Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza
[01:01.12] Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza
[01:07.06] Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza
[01:13.80] Tumeuona, mkono wako Bwana
[01:18.57] Matendo yako Baba ni makuu mno
[01:23.63] Umetutoa mbali
[01:26.36] Ukatushika mkono
[01:28.86] Mahali uliona pekee hatuwezi
[01:34.11] Chini hata juu
[01:36.59] Watu unawainua
[01:39.33] Sifa na utukufu ni zako milele
[01:44.52] Twasifu jina lako
[01:47.07] Milele tutakusifu
[01:49.82] Daima we umwema tutaishi kwako
[01:54.23]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings