Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Ning'are

๐Ÿ‘ค Christina Shusho โ€ข ๐ŸŽผ Ongoza Hatua Zangu โ€ข โฑ๏ธ 4:01
๐ŸŽต 1307 characters
โฑ๏ธ 4:01 duration
๐Ÿ†” ID: 16487917

๐Ÿ“œ Lyrics

Ohh!! Damu ya Yesu
Imenifanya ning'are
Still alive!

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu ehh

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Wee umenifanya ning'are Yesu

Wewe waitwa nuru
Eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'ara
Ndani ya hiyo nuru

Eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzima
Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu

Umeingia kwangu mi nang'ara
Nuru ya injili utukufu wake Kristo
Umeingia kwangu mi nang'ara

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Wee umenifanya ning'are Yesu

Inuka uangaze weh!
Nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Mataifa watakujia

Wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Inuka uangaze weh!
Nuru yako imekuja

Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Mataifa watakujia
Wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Wee umenifanya ning'are Yesu

Halleluyah!
Kumtumikia Mungu kuna faida!

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu

Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu

Yesu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.01] Ohh!! Damu ya Yesu
[00:05.71] Imenifanya ning'are
[00:09.24] Still alive!
[00:11.00] Umenifanya ning'are
[00:13.84] Umenifanya ning'are
[00:15.82] Umenifanya ning'are Yesu ehh
[00:20.67] Umenifanya ning'are
[00:23.61] Umenifanya ning'are
[00:25.73] Wee umenifanya ning'are Yesu
[00:31.02] Wewe waitwa nuru
[00:34.03] Eti nuru ya watu
[00:36.61] Ukiingia kwangu mi nang'ara
[00:41.74] Ndani ya hiyo nuru
[00:44.48] Eti kuna uzima
[00:46.80] Ukiingia kwangu nina uzima
[00:51.88] Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu
[00:56.68] Umeingia kwangu mi nang'ara
[01:01.45] Nuru ya injili utukufu wake Kristo
[01:07.64] Umeingia kwangu mi nang'ara
[01:12.69] Umenifanya ning'are
[01:15.34] Umenifanya ning'are
[01:18.21] Umenifanya ning'are Yesu
[01:22.59] Umenifanya ning'are
[01:26.25] Umenifanya ning'are
[01:28.12] Wee umenifanya ning'are Yesu
[01:38.51]
[01:53.42] Inuka uangaze weh!
[01:55.54] Nuru yako imekuja
[01:57.98] Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
[02:03.04] Mataifa watakujia
[02:05.98] Wafalme watakuja
[02:08.34] Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
[02:13.24] Inuka uangaze weh!
[02:16.19] Nuru yako imekuja
[02:18.89] Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
[02:23.65] Mataifa watakujia
[02:26.04] Wafalme watakuja
[02:28.41] Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
[02:33.83] Umenifanya ning'are
[02:36.56] Umenifanya ning'are
[02:38.96] Umenifanya ning'are Yesu
[02:44.55] Umenifanya ning'are
[02:47.10] Umenifanya ning'are
[02:49.56] Wee umenifanya ning'are Yesu
[02:53.80] Halleluyah!
[02:57.69] Kumtumikia Mungu kuna faida!
[02:59.49]
[03:05.66] Umenifanya ning'are
[03:07.48] Umenifanya ning'are
[03:10.17] Umenifanya ning'are Yesu
[03:14.42] Umenifanya ning'are
[03:17.82] Umenifanya ning'are
[03:20.27] Umenifanya ning'are Yesu
[03:25.36] Umenifanya ning'are
[03:28.24] Umenifanya ning'are
[03:30.66] Umenifanya ning'are Yesu
[03:35.41] Umenifanya ning'are
[03:38.16] Umenifanya ning'are
[03:40.88] Umenifanya ning'are Yesu
[03:52.76] Yesu
[03:54.65]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings