Home 🎬 Bollywood 🎡 Pakistani 🎀 English Pop

420247365(Skillo)

πŸ‘€ Wakadinali β€’ 🎼 THE RONG DON β€’ ⏱️ 3:25
🎡 2084 characters
⏱️ 3:25 duration
πŸ†” ID: 16530724

πŸ“œ Lyrics

Yo for real for real
Yo, Scar de, Skillo where you at?
Si unajua kama kawa tunaiwasha 420, 247, 365
Yo, for real

Iliwashwaga na Scar de akapitishia Skillo
Akapitishia Sande akapitishia Collo
Ikashikwa na ma afande wakatuzimia kolo
Saii tuko rumande tunapitishiana na ma-local
Ikapitishiwa Jomo akadoz bana
Ikapitishiwa Moi akai-hog sana
Kibaki alipatanga ka imezima akaiwasha
Uhuru zilimuonyesha tu kukopa bana

Tuko ma-shit flani utadhani si tumelewa
Kenya land bei kali na-build castles kwa hewa
247365 mavela
Wananisoro ndio wadiscuss life ya omera
Mara oh mara oh nigga what's that?
Kuna maharufu inanuka nikitoka
Beef ni munchiez naishikanisha na pocha
Wakikuuliza waambie si' tunaiwasha

4-2-0-2-4-7-3-6-5
Sisi tuko 4-2-0-2-4-7-3-6-5
Washa hio kitu, pitisha hio kitu
Washa hio kitu, pitisha hio kitu
We si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
Washa hio kitu, pitisha pitisha

I and I roots culture, so high Lufthansa
Kama unataka kupush hapa usiniuzie gush kaka
Ama utajua who's tougher
Sidhani utarecover nipe pure shtundu bana
Na upime vile inafaa
Chungana na magava, sana sana ma undercover

Na wale ma motherfucker wa ning'i ning'i nang'a nang'a
Mi love mi ganja ndo maana huwa sikati sana
My marijuana is a jealous lover
Tumetoana far hata after kukatazwa na mΓΉkΓΉrΓΉ na gava
Bado makoro nawasha, my secret lover
Ila penzi ni kikohozi, tukapatikana
Na mi' sikumkana, sa inajulikana
My omukhana, sensi, yath, nyasore, fagi
How do you say weed in your language?
Marijuana

4-2-0-2-4-7-3-6-5
Si tuko 4-2-0-2-4-7-3-6-5
Washa io kitu, pitisha hio kitu
Washa io kitu, pitisha hio kitu
We si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
Washa io kitu, pitisha pitisha
Marijuana

4-2-0-2-4-7-3-6-5
Si tuko 4-2-0-2-4-7-3-6-5
Washa io kitu, pitisha hio kitu
Washa io kitu, pitisha hio kitu
We si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
Washa io kitu, pitisha pitisha

Marijuana
Which way will I take?
Which road will bring me back to hope?
My thousand pathways so far from where I wanna be
Which way will I take?
Which road will bring me back to hope?
My thousand pathways so far from where I wanna be

⏱️ Synced Lyrics

[00:02.16] Yo for real for real
[00:04.47] Yo, Scar de, Skillo where you at?
[00:08.21] Si unajua kama kawa tunaiwasha 420, 247, 365
[00:20.48] Yo, for real
[00:22.25] Iliwashwaga na Scar de akapitishia Skillo
[00:24.71] Akapitishia Sande akapitishia Collo
[00:27.33] Ikashikwa na ma afande wakatuzimia kolo
[00:30.01] Saii tuko rumande tunapitishiana na ma-local
[00:32.67] Ikapitishiwa Jomo akadoz bana
[00:35.70] Ikapitishiwa Moi akai-hog sana
[00:38.59] Kibaki alipatanga ka imezima akaiwasha
[00:41.29] Uhuru zilimuonyesha tu kukopa bana
[00:43.92] Tuko ma-shit flani utadhani si tumelewa
[00:46.73] Kenya land bei kali na-build castles kwa hewa
[00:49.18] 247365 mavela
[00:52.05] Wananisoro ndio wadiscuss life ya omera
[00:54.64] Mara oh mara oh nigga what's that?
[00:57.60] Kuna maharufu inanuka nikitoka
[01:00.29] Beef ni munchiez naishikanisha na pocha
[01:02.92] Wakikuuliza waambie si' tunaiwasha
[01:05.38] 4-2-0-2-4-7-3-6-5
[01:10.45] Sisi tuko 4-2-0-2-4-7-3-6-5
[01:16.53] Washa hio kitu, pitisha hio kitu
[01:19.11] Washa hio kitu, pitisha hio kitu
[01:22.02] We si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
[01:24.79] Washa hio kitu, pitisha pitisha
[01:27.67] I and I roots culture, so high Lufthansa
[01:31.85] Kama unataka kupush hapa usiniuzie gush kaka
[01:34.44] Ama utajua who's tougher
[01:35.71] Sidhani utarecover nipe pure shtundu bana
[01:38.45] Na upime vile inafaa
[01:39.70] Chungana na magava, sana sana ma undercover
[01:42.48] Na wale ma motherfucker wa ning'i ning'i nang'a nang'a
[01:45.36] Mi love mi ganja ndo maana huwa sikati sana
[01:48.28] My marijuana is a jealous lover
[01:50.94] Tumetoana far hata after kukatazwa na mΓΉkΓΉrΓΉ na gava
[01:54.98] Bado makoro nawasha, my secret lover
[01:57.52] Ila penzi ni kikohozi, tukapatikana
[02:00.25] Na mi' sikumkana, sa inajulikana
[02:02.96] My omukhana, sensi, yath, nyasore, fagi
[02:07.91] How do you say weed in your language?
[02:10.35] Marijuana
[02:11.75] 4-2-0-2-4-7-3-6-5
[02:15.94] Si tuko 4-2-0-2-4-7-3-6-5
[02:21.78] Washa io kitu, pitisha hio kitu
[02:24.74] Washa io kitu, pitisha hio kitu
[02:27.39] We si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
[02:29.72] Washa io kitu, pitisha pitisha
[02:32.64] Marijuana
[02:33.28] 4-2-0-2-4-7-3-6-5
[02:38.05] Si tuko 4-2-0-2-4-7-3-6-5
[02:43.33] Washa io kitu, pitisha hio kitu
[02:46.33] Washa io kitu, pitisha hio kitu
[02:49.08] We si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
[02:51.65] Washa io kitu, pitisha pitisha
[02:54.41]
[03:05.75] Marijuana
[03:07.27] Which way will I take?
[03:08.02] Which road will bring me back to hope?
[03:11.21] My thousand pathways so far from where I wanna be
[03:16.41] Which way will I take?
[03:19.04] Which road will bring me back to hope?
[03:22.16] My thousand pathways so far from where I wanna be
[03:24.02]

⭐ Rate These Lyrics

β˜†β˜†β˜†β˜†β˜†
Average: 0.0/5 β€’ 0 ratings