Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Legeza

๐Ÿ‘ค Nadia Mukami โ€ข ๐ŸŽผ Legeza โ€ข โฑ๏ธ 2:27
๐ŸŽต 1257 characters
โฑ๏ธ 2:27 duration
๐Ÿ†” ID: 16748333

๐Ÿ“œ Lyrics

Sevens
Oyeye oyeye oyeye

Kuna kaboy kananiitaga babe
Kanatamani kunipelekaga date
Ata jana kalinipigia late
Hakajui yeye sio yangu taste
Amefukuzia ananiitaga toto
Anasema ananiona kama Lotto
Eti nikaribie ataniongeza joto
Huruma namwonea juu itabaki ndoto

Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege Lege nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege (Legeza)

Nikitoa pesa eti utalegeza
Nadia Mukami we hukuwa umeniwezaaa
Hebu bend over na ukamate meza
Nadia una haga eii imeweza
Leo ni kutesa (Vimajor)
We ni black beauty wow napenda
Najua saa zingine me sinaga pesa
Nakwambia nitakopa pia nitawateka
Achana na wababa, wao uhema sana
Kuja Kwa bazeng, nguvu Za Kuku manga
Nakwambia utascream uskike Hadi Namanga
Jua Sina pesa lakini tunaeza banja (Okwonko)

Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege Lege nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege (Legeza)

Amefukuzia ananiitaga toto
Anasema ananiona kama Lotto
Eti nikaribie ataniongeza joto
Huruma namwonea juu itabaki ndoto
Nitalegeza Nitalegeza Nitalegeza

Manzi was Kibera Legeza
AmberRay Legeza
Sheryl Onyango Legeza
Lege lege Legeza

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.98] Sevens
[00:04.69] Oyeye oyeye oyeye
[00:13.78] Kuna kaboy kananiitaga babe
[00:15.62] Kanatamani kunipelekaga date
[00:18.33] Ata jana kalinipigia late
[00:21.38] Hakajui yeye sio yangu taste
[00:24.18] Amefukuzia ananiitaga toto
[00:26.20] Anasema ananiona kama Lotto
[00:28.51] Eti nikaribie ataniongeza joto
[00:30.96] Huruma namwonea juu itabaki ndoto
[00:33.63] Akimwaga pesa nitalegeza
[00:36.76] Akitoa ganji nitalegeza
[00:38.63] Akimwaga pesa nitalegeza
[00:42.55] Lege Lege nitalegeza
[00:45.46] Akimwaga pesa nitalegeza
[00:47.48] Akitoa ganji nitalegeza
[00:49.87] Akimwaga pesa nitalegeza
[00:52.56] Lege (Legeza)
[00:54.57] Nikitoa pesa eti utalegeza
[00:57.97] Nadia Mukami we hukuwa umeniwezaaa
[01:00.42] Hebu bend over na ukamate meza
[01:03.11] Nadia una haga eii imeweza
[01:05.45] Leo ni kutesa (Vimajor)
[01:07.95] We ni black beauty wow napenda
[01:11.09] Najua saa zingine me sinaga pesa
[01:13.55] Nakwambia nitakopa pia nitawateka
[01:15.79] Achana na wababa, wao uhema sana
[01:18.82] Kuja Kwa bazeng, nguvu Za Kuku manga
[01:21.69] Nakwambia utascream uskike Hadi Namanga
[01:23.93] Jua Sina pesa lakini tunaeza banja (Okwonko)
[01:27.58] Akimwaga pesa nitalegeza
[01:29.65] Akitoa ganji nitalegeza
[01:31.53] Akimwaga pesa nitalegeza
[01:34.58] Lege Lege nitalegeza
[01:36.98] Akimwaga pesa nitalegeza
[01:39.85] Akitoa ganji nitalegeza
[01:42.77] Akimwaga pesa nitalegeza
[01:44.76] Lege (Legeza)
[01:47.66] Amefukuzia ananiitaga toto
[01:50.37] Anasema ananiona kama Lotto
[01:52.72] Eti nikaribie ataniongeza joto
[01:55.70] Huruma namwonea juu itabaki ndoto
[01:58.83] Nitalegeza Nitalegeza Nitalegeza
[02:09.96] Manzi was Kibera Legeza
[02:11.65] AmberRay Legeza
[02:14.78] Sheryl Onyango Legeza
[02:16.94] Lege lege Legeza
[02:19.82]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings