Bam Bam
๐ต 2116 characters
โฑ๏ธ 3:49 duration
๐ ID: 16934264
๐ Lyrics
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha
Unamfikisha hadi Zanzibar shamba
Umevimbisha kichwa cha jimake cha nanga
Soma picha picha wazi umejipanga
Hupendi feature feature mzazi nimesanda
Hauniuzii mbuzi kwa gunia (nie)
Haunimei juzi umenizidai (dia)
We mamie fundi naujulia (lia)
Hautumii nikawa na gundi unanipatia
Mmmh hakika umenifaa
Siwezi pita mie nitakaa
Na ukiniita bebi mimi najaa
Siwezi bisha nitawa kichaaa
Mimi nimeona wengi
Ila me kwako nimefika wewe
Mie kwako sijiwezi
Lako penzi dawa yangu beiby
Mimi na wewe dam dam, dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Ni kama Rambo na Julieti (na Julieti), mi na wee
Mficha siri zangu nyeti (zangu nyeti), wakunyumba wee
Hodari wa mapenzi (aaah) jicho nusu mwezi ukimuona
Si kigundu mtembezi, kutoshinda ndani ameng'ona
Kidudu mapenzi kweli, nani ananinyevua
Aah mapenzi ya kweli, kwako ndo nimeyajua eeh
Mimi nimeona wengi
Ila me kwako nimefika wewe
Me kwako sijiwezi
Lako penzi dawa yangu beiby
Mimi na wewe dam dam, dam dam
mimi na wewe dam dam
mimi na wewe dam dam
mambo yetu bam bam
Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah)
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah)
Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah)
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah)
Unanipa raha kunakuzi
Hauna njaa tamaa hauna makuzi
Unanifahamu mama umekaa ka uchuji
Ungenikataa ningekaza uzi
Kabisa kwako nimefika mambo ni bam bam
Hakika kila ukiniita mimi nakam kam
Naninapoitika wazo umeshika hela jam jam
Na kwa sifa nalipachisha kwa zam zam
Isitoshe hauniboi haunichoshi
Vipi nikose kuenjoy na hapatoshi
Bosi we binti vichungu haunilishi
Na sisi si wavumbua jumbu ila ni wapishi

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:07.24] Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha
[00:11.22] Unamfikisha hadi Zanzibar shamba
[00:13.92] Umevimbisha kichwa cha jimake cha nanga
[00:16.68] Soma picha picha wazi umejipanga
[00:18.67] Hupendi feature feature mzazi nimesanda
[00:21.44] Hauniuzii mbuzi kwa gunia (nie)
[00:24.06] Haunimei juzi umenizidai (dia)
[00:26.45] We mamie fundi naujulia (lia)
[00:28.44] Hautumii nikawa na gundi unanipatia
[00:30.70] Mmmh hakika umenifaa
[00:35.47] Siwezi pita mie nitakaa
[00:40.21] Na ukiniita bebi mimi najaa
[00:44.77] Siwezi bisha nitawa kichaaa
[00:49.63] Mimi nimeona wengi
[00:52.18] Ila me kwako nimefika wewe
[00:55.31] Mie kwako sijiwezi
[00:56.34] Lako penzi dawa yangu beiby
[01:00.02] Mimi na wewe dam dam, dam dam
[01:02.31] Mimi na wewe dam dam
[01:03.86] Mimi na wewe dam dam
[01:06.57] Mambo yetu bam bam
[01:08.36] Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
[01:11.71] Mimi na wewe dam dam
[01:14.07] Mimi na wewe dam dam
[01:16.02] Mambo yetu bam bam
[01:16.99] Ni kama Rambo na Julieti (na Julieti), mi na wee
[01:21.13] Mficha siri zangu nyeti (zangu nyeti), wakunyumba wee
[01:25.72] Hodari wa mapenzi (aaah) jicho nusu mwezi ukimuona
[01:30.67] Si kigundu mtembezi, kutoshinda ndani ameng'ona
[01:35.49] Kidudu mapenzi kweli, nani ananinyevua
[01:40.50] Aah mapenzi ya kweli, kwako ndo nimeyajua eeh
[01:45.71] Mimi nimeona wengi
[01:48.22] Ila me kwako nimefika wewe
[01:51.22] Me kwako sijiwezi
[01:53.00] Lako penzi dawa yangu beiby
[01:56.49] Mimi na wewe dam dam, dam dam
[01:58.96] mimi na wewe dam dam
[02:01.36] mimi na wewe dam dam
[02:03.04] mambo yetu bam bam
[02:05.61] Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
[02:08.17] Mimi na wewe dam dam
[02:10.81] Mimi na wewe dam dam
[02:12.63] Mambo yetu bam bam
[02:13.94] Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah)
[02:18.14] Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah)
[02:23.11] Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah)
[02:27.66] Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah)
[02:32.58] Unanipa raha kunakuzi
[02:35.13] Hauna njaa tamaa hauna makuzi
[02:37.86] Unanifahamu mama umekaa ka uchuji
[02:39.95] Ungenikataa ningekaza uzi
[02:42.49] Kabisa kwako nimefika mambo ni bam bam
[02:44.72] Hakika kila ukiniita mimi nakam kam
[02:47.06] Naninapoitika wazo umeshika hela jam jam
[02:49.67] Na kwa sifa nalipachisha kwa zam zam
[02:52.05] Isitoshe hauniboi haunichoshi
[02:54.16] Vipi nikose kuenjoy na hapatoshi
[02:56.60] Bosi we binti vichungu haunilishi
[02:58.67] Na sisi si wavumbua jumbu ila ni wapishi
[03:02.73] Mimi na wewe dam dam, dam dam
[03:04.80] Mimi na wewe dam dam
[03:07.17] Mimi na wewe dam dam
[03:09.05] Mambo yetu bam bam
[03:11.42] Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
[03:14.20] Mimi na wewe dam dam
[03:16.85] Mimi na wewe dam dam
[03:18.51] Mambo yetu bam bam
[03:20.51]
[03:24.77] Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha
[03:43.61]