Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

KARIBU NAIROBI

๐Ÿ‘ค Jua Cali โ€ข ๐ŸŽผ MALI YA UMMA โ€ข โฑ๏ธ 3:27
๐ŸŽต 2031 characters
โฑ๏ธ 3:27 duration
๐Ÿ†” ID: 17082399

๐Ÿ“œ Lyrics

Beat ya Keggah

Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi

Wageni wote wanakaribishwa Nairobi
Sheng ndo lugha tunaongea ka hauna copy
City in the Sun, hapana
Siku hizi tunaita City in the Gun

Nairoberry jina yake ya tatu
Robbery zote huanza idhaa ya saa tatu
So ukiingia huku ka rada
Mamatha kibeti zenu kaza

Usizoeane na karau sana
Usizoeane na jirani wako sana
Si eti nawatisha hivyo ndiyo iko
Si eti namezesha hivyo ndiyo kuko

Hii mtaa ninyi wote mko sawa
Ukizubaa wote mnapatikana
Na jeshi ya mtu ka kumi
Wakiingia kwa keja wanasafisha mpaka sabuni

Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi

Hakuna watoto warembo ka wa huku
Shiko, Anyango, Mumbi na Lulu
Mchanganyiko maalum
Mtoto msupa hatari ka sumu

Kudunda huku hata usiulize
Kukunywa huku hata usipime
Club zote ajab kuruka
Kila siku ya wiki raha kuruka

Shida zako tupilia mbali
Tulia we ponda mali
Usiambiwe kitu na mtu
Hii Nairobi usiogope mtu

Eastlands, Westlands si wote sawa
July baridi piga kahawa
We cheka, furahia maisha
We jiachilie Nairobi itatulinda

Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi

Tupitie Isch tuchukue Gomba
Nguo ajab nazo tuzipate Gikomba
Hapa ni bama tutie ndani
Wacha haya safisha sahani

Panda 2-3 tuingie mjini
Saa hii ni jioni lipa hamsini
Hii ni KiCC, ile ni Times Towers
Hii ni I&M, ile ni Java

Ee mtu wangu usizubae sana
Usifanye watu wajue we ni fala
Supa highway ndo hii ona barabara
Ona lane ziko ka saba

Chukua picha, chukua selfie
Kulisha moto washenzi
Ingia Uhuru Park pigwa na upepo
Nairobi kubwa ukichoka tumalizie kesho

Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.55] Beat ya Keggah
[00:04.67] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[00:09.27] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[00:13.54] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[00:17.87] Wageni wote wanakaribishwa Nairobi
[00:20.77] Sheng ndo lugha tunaongea ka hauna copy
[00:23.28] City in the Sun, hapana
[00:25.73] Siku hizi tunaita City in the Gun
[00:28.13] Nairoberry jina yake ya tatu
[00:30.38] Robbery zote huanza idhaa ya saa tatu
[00:32.56] So ukiingia huku ka rada
[00:35.12] Mamatha kibeti zenu kaza
[00:37.57] Usizoeane na karau sana
[00:39.72] Usizoeane na jirani wako sana
[00:41.86] Si eti nawatisha hivyo ndiyo iko
[00:44.60] Si eti namezesha hivyo ndiyo kuko
[00:47.17] Hii mtaa ninyi wote mko sawa
[00:49.03] Ukizubaa wote mnapatikana
[00:51.56] Na jeshi ya mtu ka kumi
[00:53.96] Wakiingia kwa keja wanasafisha mpaka sabuni
[00:56.11] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[01:00.99] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[01:04.73] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[01:09.92] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[01:14.87] Hakuna watoto warembo ka wa huku
[01:17.62] Shiko, Anyango, Mumbi na Lulu
[01:21.73] Mchanganyiko maalum
[01:23.14] Mtoto msupa hatari ka sumu
[01:25.03] Kudunda huku hata usiulize
[01:26.99] Kukunywa huku hata usipime
[01:29.19] Club zote ajab kuruka
[01:31.49] Kila siku ya wiki raha kuruka
[01:33.86] Shida zako tupilia mbali
[01:36.36] Tulia we ponda mali
[01:38.73] Usiambiwe kitu na mtu
[01:40.94] Hii Nairobi usiogope mtu
[01:43.14] Eastlands, Westlands si wote sawa
[01:45.62] July baridi piga kahawa
[01:47.87] We cheka, furahia maisha
[01:50.38] We jiachilie Nairobi itatulinda
[01:53.00] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[01:56.34] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[02:01.30] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[02:06.07] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[02:10.97] Tupitie Isch tuchukue Gomba
[02:13.78] Nguo ajab nazo tuzipate Gikomba
[02:16.17] Hapa ni bama tutie ndani
[02:18.63] Wacha haya safisha sahani
[02:20.80] Panda 2-3 tuingie mjini
[02:23.33] Saa hii ni jioni lipa hamsini
[02:25.80] Hii ni KiCC, ile ni Times Towers
[02:28.02] Hii ni I&M, ile ni Java
[02:30.53] Ee mtu wangu usizubae sana
[02:32.65] Usifanye watu wajue we ni fala
[02:35.15] Supa highway ndo hii ona barabara
[02:37.72] Ona lane ziko ka saba
[02:40.16] Chukua picha, chukua selfie
[02:42.18] Kulisha moto washenzi
[02:44.56] Ingia Uhuru Park pigwa na upepo
[02:47.09] Nairobi kubwa ukichoka tumalizie kesho
[02:49.47] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[02:53.55] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[02:57.38] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[03:02.84] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[03:07.82] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[03:12.42] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[03:17.28] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[03:22.27] Karibu Nairobi, Nairobi, Nairobi
[03:26.64]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings