Kubali
๐ต 1221 characters
โฑ๏ธ 3:41 duration
๐ ID: 17293692
๐ Lyrics
Unalewa nini wakati mwenzako ameshakuacha
Yani hakutaki tena
Unampigia nini akaiona namba yako tu anakata
Huyo sio wako tena
Atausiwaze kulipiza kikasi kwa vijembe vingi huko status
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
Tena usiwaze kujipiga risasi
Usijinyonge usijigasi kwenye moyo wake huna nafasi easy
Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we umeachwa kubali kubali
Utampata wako mtapendana kwa dhati Amekuacha we umeachwa eeh!
Kubali kubali aah! mapenzi yanauma eh
Unayempenda kampenda mwengine
Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye Kapendwa na mwengine Moyo sukuma damu sio mashine
Yanakuumiza na pengine hauna budi kumpenda mwengine
Mapenzi joto joto usipime moyo sukuma damu sio mashine
Penzi kiza kinene kiroho mbaya
Yanatesa tena vibaya
Ukitendwa una retire ah!
Labda hufiki kina mapenzini
Ndo maana unaachwa matatani
Huifiki kina mapenzini mapenzi
Usilazimishe utazeeka vibaya Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya