Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Furaha

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Furaha โ€ข โฑ๏ธ 2:45
๐ŸŽต 1248 characters
โฑ๏ธ 2:45 duration
๐Ÿ†” ID: 18118346

๐Ÿ“œ Lyrics

Bombo claaaat
Oh konde boy call me number
One Yani niamini
Leo nime gundua utofauti kati ya
Raha na furaha do you know that
Hii Dunia ina mambo eti kumbe
Kuna Utofauti kati ya raha na
Furaha eee
Umh, kale ka distance baby sikuone
Eti Nika jiona nisha move on
Uta zani na enjoy, pombe zime
Nichosha Nipo hoy ee
Dunia ina siri, sio kila anae
Kula rah moyoni mwake
Ana furaha ee
Lord have mercy
Nisha gundua
Furaha yangu ni wewe
Kule nili pata raha ila nika gundua
Furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nita ji sumua
Furaha yangu ni wewe
Hata siku ni kifa
Naomba uni zike wewe
Mi na wewe, wewe
Siri ya nini oh
Acha nikwambie moyo wangu
Una tamba nao
Nawasi ku tishie wengine wanao
Taka wao
Nilazima wai chukie ii cup sio
Level zao
Asubui tuki gombana usiku ndo
Wapatanao umh eee
Kale ka distance baby sikuone eti Nika jiona nisha move on uta
Zani na enjoy pombe zime nichosha Nipo hoy ee
Dunia ina siri sio kila unae mwona bar moyoni mwake ana furaha ee
Lord have mercy
Nisha gundua
Furaha yangu ni wewe
Kule nili pata raha ila nika gundua
Furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nita ji sumua
Hata siku ni kifa naomba
Uni zike wewe
Mina wewe, weewe
Yo yoo
It's konde boy call me the
Number one
Bakhresa aah
Konde music worldwide
Mama sitaa
Tekero tyokara
Mi amor

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings