Vunja Mifupa
๐ต 971 characters
โฑ๏ธ 5:34 duration
๐ ID: 18299166
๐ Lyrics
Vunja mifupa kama meno bado iko. vunja mifupa kama bado meno iko... utakuja lia ukishapoteza muda wako... utakuja lia ukishapoteza muda waaako
Fikiria kama ungali bado kijana aaa
Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako... masiku miaka zinaenda hazitarudia eee... masiku miaka zinaenda hazitarudi tena
Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee .usifate wale wabaya
Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee usifate wale wabaya
Eeeeee... aaaaa
Eeeeeee
Punguza ulevi ndugu chunga jamii uako ee... watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule... apate elimu eeee atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eee dunia ni hivyo... hivyo ndivyo ilivyooo
Punguza ulevi ndugu chunga jamii yako ee watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule. apate elimu ee atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu ee... dunia ni hivyo. hivyo ndivyo ilivyo... ooo
Siompeta... hahahaaa
Samba mapangala.adiote paris... ooohh. jotoo
Hima hima hima
Ses hese ses
Chini jujuu x 8

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:19.89] Vunja mifupa kama meno bado iko. vunja mifupa kama bado meno iko... utakuja lia ukishapoteza muda wako... utakuja lia ukishapoteza muda waaako
[00:37.87] Fikiria kama ungali bado kijana aaa
[01:19.45] Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako... masiku miaka zinaenda hazitarudia eee... masiku miaka zinaenda hazitarudi tena
[01:30.84] Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee .usifate wale wabaya
[01:38.61] Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee usifate wale wabaya
[02:16.05] Eeeeee... aaaaa
[02:17.31] Eeeeeee
[02:17.98] Punguza ulevi ndugu chunga jamii uako ee... watateseka bure kwa ajili yako
[02:25.56] Somesha mtoto shule... apate elimu eeee atafaidika kwa maisha yake
[02:37.08] Vumilia ndugu maisha magumu eee dunia ni hivyo... hivyo ndivyo ilivyooo
[02:47.94] Punguza ulevi ndugu chunga jamii yako ee watateseka bure kwa ajili yako
[02:59.18] Somesha mtoto shule. apate elimu ee atafaidika kwa maisha yake
[03:10.12] Vumilia ndugu maisha magumu ee... dunia ni hivyo. hivyo ndivyo ilivyo... ooo
[03:25.45] Siompeta... hahahaaa
[03:27.16] Samba mapangala.adiote paris... ooohh. jotoo
[03:32.51] Hima hima hima
[03:52.75] Ses hese ses
[04:01.95] Chini jujuu x 8
[04:45.33]