Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Lissa

๐Ÿ‘ค Rapcha โ€ข ๐ŸŽผ Wanangu 99 โ€ข โฑ๏ธ 4:34
๐ŸŽต 3497 characters
โฑ๏ธ 4:34 duration
๐Ÿ†” ID: 18665884

๐Ÿ“œ Lyrics

(Tongwe records... please)
(Bin Laden)

Saa sita ya mchana jua la utosi
Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina
"Somebody is calling" oh kumbe Lissa
Nimem-save, "Love of my life"
Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka' analia
Nikamuuliza, "Are you okay Monalisa"
Akaniambia, "Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada
Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii
Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani
Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?"

"Oh don't you worry nali-fix boo"
Kwa kuwa nishadaka hela ya bumu nikalibeba hilo jukumu
Nikamwambia, "Basi nakutumia usikate simu kwanza love ili uniambie ikiingia
Mh, baby mbona hii number inajina la kiume?"
Akaniambia, "Hiyo laini kaka yangu alinisajilia"

"Laki tano kwenda kwa Lisaa bonyeza moja kuthibitisha mbili kubatilisha"
Mi nikathibitisha
Laki tano na elfu tano na makato ya kutoa
Kwenye account yake pale pale ikathibitisha
She was like, "Thanks baby nimeiona jioni jua likipoa nitakuja kwako kukuona
And for real nimekumisi kinoma"
Nikamwambia, "Nitafurahi sana kama nitakuona" "Ok"

Saa kumi na moja mtoto hajatimba!
"Labda ndio anatoka home acha nivunge midamida anafika"
Saa moja kamili mtoto hajatimba!
Nikasema, "Huenda foleni kubwa ila punde tu atafika"
Saa tatu usiku mtoto ajatimba giza limetinga
Nishampigia sana simu hapokei text zinadunda
Nkawaza mpaka usingizi ukanichukua
Siku ya pili, simu hapokei text hajafungua
Siku ya tatu kimya nikasanuka nimcheki best yake
Huwezi amini nilijuta kumpigia

Nikamwambia, "Hey shem' you good" "I'm good"
Siku ya tatu best yako kanilia buyu
Now days Lissa mbona anama-drama huyu
Akaniambia, "Shem' kama unakifua ntakwambia
Ah kweli lisa ame-change anabwana mpya msanii huyo ndio anam-drivecrazy
Juzi si ulituma hela ya ada alipokulilia, hiyo ela kampa bwana wake akatumie"

Dah, maumivu huwa makali ukimpa kitu mtu umpendae akampatia ampendae zaidi
Magoti yaliniisha nguvu chozi chini, mbupu ndichi
Roho iliniuma sikufichi
Dah nikaondoka home kwa hasira nimfate Lissa
Kwani jealous inanitesa na kila nikimuwaza naona kama dereva anautani na mimi
Daladala niliona inaenda taratibu nilitamani nikaiendeshe mimi

Nikafika mpaka kwa Lissa ile naukaribia mlango
Naskia mziki ila kunasauti naona kama sizielewi
Nikaona siwezi gonga mlango, nikapita nao na teke mpaka ndani
Nilichokiona sitosahau maishani
Kidume kinamkazia kitanda ndani
Ye bize analia machozi hayatoki anaifinyia ndani
Hata wa kushtuka wamuhofie nani!?
Jamaa akapiga tako nane akamwagia ndani

Nilipata kizunguzungu nusu nianguke
Sikuweza kuamini, "Lissa mbona umenitenda hivi nimekukosea nini?
Si ungeniambia tuachane ningekuacha huru
Mwisho wa siku ningepona, sasa haya yote ya nini?"

Lissa akanibadilikia sura mpaka sauti akani-change-a
Akaanza kunitimua huku na matusi ananishushia
Ye na bwana wake wakaanza nipush mpaka nje
Akanipigia kelele, "Mwizi" watu wakanijazia
Watu wakanijali wameshika mawe na marungu
Wakanipiga kama mwizi huo mtaa sina ndugu

Jamani tunaua hatu-ui (tunaua)
Shehe tuache tushammaliza (hapana sheria hairuhusu)
Tena mimi mama nimesahau nini nnapresha mtanilimia, mtanilimia presha

Hakuna wa kunitetea, wakanivika tairi ya gari
Wakawasha moto fasta nikaanza teketea
Na maumivu ya moto ndio haya
Walioniunguza moyo wameuteketeza mwili vibaya
Sekunde chache za kuivuta pumzi ya Dunia nzuri
Iliojaa binadamu wengi wabaya
Sawa Lissa nakuacha ufurahi
Mapenzi niliokuonyesha umeamua kunitoa uhai

Ahadi tulizoweka zimezimwa na tamaa zako
Mi nnakwenda karma itakulipa bye-bye uh

(Bin Laden)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:18.17] (Tongwe records... please)
[00:20.86] (Bin Laden)
[00:21.92] Saa sita ya mchana jua la utosi
[00:24.11] Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina
[00:28.45] "Somebody is calling" oh kumbe Lissa
[00:31.64] Nimem-save, "Love of my life"
[00:33.68] Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka' analia
[00:36.85] Nikamuuliza, "Are you okay Monalisa"
[00:39.09] Akaniambia, "Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada
[00:43.02] Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii
[00:45.28] Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani
[00:48.33] Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?"
[00:50.68] "Oh don't you worry nali-fix boo"
[00:52.85] Kwa kuwa nishadaka hela ya bumu nikalibeba hilo jukumu
[00:55.83] Nikamwambia, "Basi nakutumia usikate simu kwanza love ili uniambie ikiingia
[01:01.27] Mh, baby mbona hii number inajina la kiume?"
[01:04.37] Akaniambia, "Hiyo laini kaka yangu alinisajilia"
[01:07.15] "Laki tano kwenda kwa Lisaa bonyeza moja kuthibitisha mbili kubatilisha"
[01:11.56] Mi nikathibitisha
[01:12.56] Laki tano na elfu tano na makato ya kutoa
[01:15.56] Kwenye account yake pale pale ikathibitisha
[01:18.26] She was like, "Thanks baby nimeiona jioni jua likipoa nitakuja kwako kukuona
[01:23.92] And for real nimekumisi kinoma"
[01:26.19] Nikamwambia, "Nitafurahi sana kama nitakuona" "Ok"
[01:29.93] Saa kumi na moja mtoto hajatimba!
[01:31.85] "Labda ndio anatoka home acha nivunge midamida anafika"
[01:35.44] Saa moja kamili mtoto hajatimba!
[01:37.48] Nikasema, "Huenda foleni kubwa ila punde tu atafika"
[01:40.93] Saa tatu usiku mtoto ajatimba giza limetinga
[01:44.12] Nishampigia sana simu hapokei text zinadunda
[01:46.34] Nkawaza mpaka usingizi ukanichukua
[01:48.70] Siku ya pili, simu hapokei text hajafungua
[01:52.08] Siku ya tatu kimya nikasanuka nimcheki best yake
[01:55.07] Huwezi amini nilijuta kumpigia
[01:57.52] Nikamwambia, "Hey shem' you good" "I'm good"
[02:00.73] Siku ya tatu best yako kanilia buyu
[02:03.42] Now days Lissa mbona anama-drama huyu
[02:06.41] Akaniambia, "Shem' kama unakifua ntakwambia
[02:09.69] Ah kweli lisa ame-change anabwana mpya msanii huyo ndio anam-drivecrazy
[02:15.01] Juzi si ulituma hela ya ada alipokulilia, hiyo ela kampa bwana wake akatumie"
[02:20.74] Dah, maumivu huwa makali ukimpa kitu mtu umpendae akampatia ampendae zaidi
[02:26.98] Magoti yaliniisha nguvu chozi chini, mbupu ndichi
[02:29.96] Roho iliniuma sikufichi
[02:32.02] Dah nikaondoka home kwa hasira nimfate Lissa
[02:34.63] Kwani jealous inanitesa na kila nikimuwaza naona kama dereva anautani na mimi
[02:39.68] Daladala niliona inaenda taratibu nilitamani nikaiendeshe mimi
[02:44.09] Nikafika mpaka kwa Lissa ile naukaribia mlango
[02:46.70] Naskia mziki ila kunasauti naona kama sizielewi
[02:49.63] Nikaona siwezi gonga mlango, nikapita nao na teke mpaka ndani
[02:53.26] Nilichokiona sitosahau maishani
[02:55.06] Kidume kinamkazia kitanda ndani
[02:57.29] Ye bize analia machozi hayatoki anaifinyia ndani
[03:00.72] Hata wa kushtuka wamuhofie nani!?
[03:02.98] Jamaa akapiga tako nane akamwagia ndani
[03:05.68] Nilipata kizunguzungu nusu nianguke
[03:08.06] Sikuweza kuamini, "Lissa mbona umenitenda hivi nimekukosea nini?
[03:11.23] Si ungeniambia tuachane ningekuacha huru
[03:14.23] Mwisho wa siku ningepona, sasa haya yote ya nini?"
[03:16.94] Lissa akanibadilikia sura mpaka sauti akani-change-a
[03:19.97] Akaanza kunitimua huku na matusi ananishushia
[03:22.85] Ye na bwana wake wakaanza nipush mpaka nje
[03:25.89] Akanipigia kelele, "Mwizi" watu wakanijazia
[03:28.28] Watu wakanijali wameshika mawe na marungu
[03:31.23] Wakanipiga kama mwizi huo mtaa sina ndugu
[03:34.51]
[03:45.36] Jamani tunaua hatu-ui (tunaua)
[03:47.70] Shehe tuache tushammaliza (hapana sheria hairuhusu)
[03:51.67] Tena mimi mama nimesahau nini nnapresha mtanilimia, mtanilimia presha
[03:56.98] Hakuna wa kunitetea, wakanivika tairi ya gari
[04:00.11] Wakawasha moto fasta nikaanza teketea
[04:02.37] Na maumivu ya moto ndio haya
[04:04.40] Walioniunguza moyo wameuteketeza mwili vibaya
[04:07.75] Sekunde chache za kuivuta pumzi ya Dunia nzuri
[04:10.94] Iliojaa binadamu wengi wabaya
[04:13.55] Sawa Lissa nakuacha ufurahi
[04:15.37] Mapenzi niliokuonyesha umeamua kunitoa uhai
[04:18.97] Ahadi tulizoweka zimezimwa na tamaa zako
[04:22.14] Mi nnakwenda karma itakulipa bye-bye uh
[04:29.07] (Bin Laden)
[04:30.67]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings