Siri
๐ต 1478 characters
โฑ๏ธ 4:14 duration
๐ ID: 20389538
๐ Lyrics
Nimeanza safari ya penzi na wewe
Usikatishe
Mungu mwema baba, mbali atufikishe
Mimi binadamu nakosea nkiteleza usihuzunike
Milele mwanadada
Nikifa unizike
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu natamka ni wewe
Taswira peke kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikiwa na chozi langu mama (ni wewe)
Umenishinda siri kifuani mwangu
Haa
Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eh
Ukawajue na ndugu zangu mama
Unipeleje nyumbani kwenu bibi wewe
Nikawaone shemeji zangu mama
Siri ya nini (siri)
Nini maana yake (siri)
Siri ya nini (siri)
Nini hasara zake (siri)
Siri oooh! Siri
Mapenzi ya siri
Oh, mama lolo
Oh, mama lolo
Oh, mama lolo
Eh, mama
Nipe utam kabla hujatamka usingizi
Si come mpaka tukiamka ni seriez
Kakongo twende kamara kibirizi
Mapaja yake utamu michirizi
Michepuko imenuna imezila siri sili
Nawe ni kachumbari
Mayonnaise pilipili
Pilipili manga
Tunakili kili wanga
Kilimanjaro nyumbani kwetu
Kisimiri Mwanga
Simama niki-
Simama wima
Siri ni kilele nikufikishe kwa kina
Si umebeba beba mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue labor
Umebeba beba mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue labor
Oh, Mama lolo
Mama lolo, kwako sijiwezi
Oh, mama lolo
Sitoficha, mdudu wa mapenzi
Oh, mama lolo
Mama lolo, kwako sijiwezi
Oh, mama lolo
Mama lolo
Kwenye moyo mi sina (siri)
Je nikutaje kajina (siri)
Najua wenye fitina (siri)
Jembe nipo nalima (siri)
Mmh
Basi nawe usifiche ma (siri)
Sema watupishe na (siri)
Vichefu chefu watapishe ma (siri)
Penzi letu lisiishe ma (siri)
Usikatishe
Mungu mwema baba, mbali atufikishe
Mimi binadamu nakosea nkiteleza usihuzunike
Milele mwanadada
Nikifa unizike
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu natamka ni wewe
Taswira peke kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikiwa na chozi langu mama (ni wewe)
Umenishinda siri kifuani mwangu
Haa
Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eh
Ukawajue na ndugu zangu mama
Unipeleje nyumbani kwenu bibi wewe
Nikawaone shemeji zangu mama
Siri ya nini (siri)
Nini maana yake (siri)
Siri ya nini (siri)
Nini hasara zake (siri)
Siri oooh! Siri
Mapenzi ya siri
Oh, mama lolo
Oh, mama lolo
Oh, mama lolo
Eh, mama
Nipe utam kabla hujatamka usingizi
Si come mpaka tukiamka ni seriez
Kakongo twende kamara kibirizi
Mapaja yake utamu michirizi
Michepuko imenuna imezila siri sili
Nawe ni kachumbari
Mayonnaise pilipili
Pilipili manga
Tunakili kili wanga
Kilimanjaro nyumbani kwetu
Kisimiri Mwanga
Simama niki-
Simama wima
Siri ni kilele nikufikishe kwa kina
Si umebeba beba mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue labor
Umebeba beba mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue labor
Oh, Mama lolo
Mama lolo, kwako sijiwezi
Oh, mama lolo
Sitoficha, mdudu wa mapenzi
Oh, mama lolo
Mama lolo, kwako sijiwezi
Oh, mama lolo
Mama lolo
Kwenye moyo mi sina (siri)
Je nikutaje kajina (siri)
Najua wenye fitina (siri)
Jembe nipo nalima (siri)
Mmh
Basi nawe usifiche ma (siri)
Sema watupishe na (siri)
Vichefu chefu watapishe ma (siri)
Penzi letu lisiishe ma (siri)
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:09.79] Nimeanza safari ya penzi na wewe
[00:13.25] Usikatishe
[00:16.44] Mungu mwema baba, mbali atufikishe
[00:21.50] Mimi binadamu nakosea nkiteleza usihuzunike
[00:26.19] Milele mwanadada
[00:29.22] Nikifa unizike
[00:30.88] Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu natamka ni wewe
[00:36.25] Taswira peke kwenye ndoto zangu mama
[00:40.52] Mfariji pekee nikiwa na chozi langu mama (ni wewe)
[00:46.81] Umenishinda siri kifuani mwangu
[00:50.62] Haa
[00:51.79] Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eh
[00:56.27] Ukawajue na ndugu zangu mama
[01:01.15] Unipeleje nyumbani kwenu bibi wewe
[01:06.54] Nikawaone shemeji zangu mama
[01:11.91] Siri ya nini (siri)
[01:14.65] Nini maana yake (siri)
[01:17.20] Siri ya nini (siri)
[01:19.98] Nini hasara zake (siri)
[01:22.66] Siri oooh! Siri
[01:24.98] Mapenzi ya siri
[01:27.74] Oh, mama lolo
[01:32.38] Oh, mama lolo
[01:36.50]
[01:38.72] Oh, mama lolo
[01:41.85] Eh, mama
[01:44.16] Nipe utam kabla hujatamka usingizi
[01:46.31] Si come mpaka tukiamka ni seriez
[01:49.15] Kakongo twende kamara kibirizi
[01:51.65] Mapaja yake utamu michirizi
[01:54.33] Michepuko imenuna imezila siri sili
[01:56.58] Nawe ni kachumbari
[01:58.54] Mayonnaise pilipili
[01:59.59] Pilipili manga
[02:00.92] Tunakili kili wanga
[02:02.04] Kilimanjaro nyumbani kwetu
[02:03.58] Kisimiri Mwanga
[02:05.05] Simama niki-
[02:06.23] Simama wima
[02:07.63] Siri ni kilele nikufikishe kwa kina
[02:09.88] Si umebeba beba mkungu wa muleba
[02:12.65] Uchungu kama kwao wakajifungue labor
[02:15.35] Umebeba beba mkungu wa muleba
[02:18.07] Uchungu kama kwao wakajifungue labor
[02:20.93] Oh, Mama lolo
[02:23.51] Mama lolo, kwako sijiwezi
[02:25.81] Oh, mama lolo
[02:28.04] Sitoficha, mdudu wa mapenzi
[02:30.97] Oh, mama lolo
[02:33.22] Mama lolo, kwako sijiwezi
[02:36.43] Oh, mama lolo
[02:38.23] Mama lolo
[02:41.11] Kwenye moyo mi sina (siri)
[02:43.28] Je nikutaje kajina (siri)
[02:45.82] Najua wenye fitina (siri)
[02:48.73] Jembe nipo nalima (siri)
[02:50.83] Mmh
[02:51.58] Basi nawe usifiche ma (siri)
[02:53.75] Sema watupishe na (siri)
[02:56.39] Vichefu chefu watapishe ma (siri)
[02:58.84] Penzi letu lisiishe ma (siri)
[03:00.55]
[00:13.25] Usikatishe
[00:16.44] Mungu mwema baba, mbali atufikishe
[00:21.50] Mimi binadamu nakosea nkiteleza usihuzunike
[00:26.19] Milele mwanadada
[00:29.22] Nikifa unizike
[00:30.88] Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu natamka ni wewe
[00:36.25] Taswira peke kwenye ndoto zangu mama
[00:40.52] Mfariji pekee nikiwa na chozi langu mama (ni wewe)
[00:46.81] Umenishinda siri kifuani mwangu
[00:50.62] Haa
[00:51.79] Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eh
[00:56.27] Ukawajue na ndugu zangu mama
[01:01.15] Unipeleje nyumbani kwenu bibi wewe
[01:06.54] Nikawaone shemeji zangu mama
[01:11.91] Siri ya nini (siri)
[01:14.65] Nini maana yake (siri)
[01:17.20] Siri ya nini (siri)
[01:19.98] Nini hasara zake (siri)
[01:22.66] Siri oooh! Siri
[01:24.98] Mapenzi ya siri
[01:27.74] Oh, mama lolo
[01:32.38] Oh, mama lolo
[01:36.50]
[01:38.72] Oh, mama lolo
[01:41.85] Eh, mama
[01:44.16] Nipe utam kabla hujatamka usingizi
[01:46.31] Si come mpaka tukiamka ni seriez
[01:49.15] Kakongo twende kamara kibirizi
[01:51.65] Mapaja yake utamu michirizi
[01:54.33] Michepuko imenuna imezila siri sili
[01:56.58] Nawe ni kachumbari
[01:58.54] Mayonnaise pilipili
[01:59.59] Pilipili manga
[02:00.92] Tunakili kili wanga
[02:02.04] Kilimanjaro nyumbani kwetu
[02:03.58] Kisimiri Mwanga
[02:05.05] Simama niki-
[02:06.23] Simama wima
[02:07.63] Siri ni kilele nikufikishe kwa kina
[02:09.88] Si umebeba beba mkungu wa muleba
[02:12.65] Uchungu kama kwao wakajifungue labor
[02:15.35] Umebeba beba mkungu wa muleba
[02:18.07] Uchungu kama kwao wakajifungue labor
[02:20.93] Oh, Mama lolo
[02:23.51] Mama lolo, kwako sijiwezi
[02:25.81] Oh, mama lolo
[02:28.04] Sitoficha, mdudu wa mapenzi
[02:30.97] Oh, mama lolo
[02:33.22] Mama lolo, kwako sijiwezi
[02:36.43] Oh, mama lolo
[02:38.23] Mama lolo
[02:41.11] Kwenye moyo mi sina (siri)
[02:43.28] Je nikutaje kajina (siri)
[02:45.82] Najua wenye fitina (siri)
[02:48.73] Jembe nipo nalima (siri)
[02:50.83] Mmh
[02:51.58] Basi nawe usifiche ma (siri)
[02:53.75] Sema watupishe na (siri)
[02:56.39] Vichefu chefu watapishe ma (siri)
[02:58.84] Penzi letu lisiishe ma (siri)
[03:00.55]