I don't got it
๐ต 1322 characters
โฑ๏ธ 2:33 duration
๐ ID: 20890590
๐ Lyrics
Iyeah iyeah
Ooohhh aaahh
Kabla swala ukamilishe mama,tafadhali Mola mwambie,
Milele anichunge mi nizije zama,mashetani sinivamie
Chuki,wivu tu na kutesana,linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupendana,woi wacha niwaambie
Labda si wote wendazimu,labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu,dunia mzima itakucheka
Wanaomba nitiliwe chai yangu sumu,wabaki wao ndio kusema
Kesho wampigie dem wangu simu,asahau alivyonipenda
Ona Hayawani haiya iya iya iya iyaaa
Ohayawa na wa si watu hawa
Haiya iya iya iya iyaaaaa
Na binadamu kageuka mnyama
Hayawani(hayawani) hayawani(hayawani)hayawahani
Hayawani(hayawani)hayawani(hayawani)hayawahani
Tunaongezea nini bidiii,na roho ya mwanadamu haitosheki aki
I'm sorry if I never made you happy,I can't be there for everybody
It's easy to see,wengi huishi tu kutafuta kasoro kwako
Why man so money minded,you wanna take from everyone
Moneyed man society,huoni haya kuivunja familia
Hamna utu ni kujifikiria woi binadamu wote mmegeuka hayawani
Haiya iya iya iya iyaaa,o hayawa na wa si watu hawa
Haiya iya iya iya iyaaa na binadamu kageuka mnyama

Namwogopa Mungu pekee,mwanadamu akija kuntafash naomba Mungu unitetee
Maneno yao yasiniumize nifanye sugu wewe
Wakitry kunitisha
THE END