Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Rita

๐Ÿ‘ค Marlaw โ€ข ๐ŸŽผ Rita โ€ข โฑ๏ธ 4:29
๐ŸŽต 2074 characters
โฑ๏ธ 4:29 duration
๐Ÿ†” ID: 21382304

๐Ÿ“œ Lyrics

Ooh Rita, Rita
Ooh Rita, Rita
Ooh Rita, Rita
Ooh Rita oh no no no

Sauti inasikika tega makini
Hujui nani inamwita iih iih
Chozi latoka nitazamapo angani
Naona sura ya Rita iih hii

Ona mikono yangu mitupu
Imezoea kukushika we
Hata nyumbani kwangu haupo
Umepotea sikuoni kamwe

Ooh Rita, ooh Rita
Daily nakuwaza wee
Ooh Rita, ooh Rita
Mimi nitanyamazaje?

Aaah Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana
Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana
Ila we unajua ni yako familia
Damu yangu ya Bongo si ya Asia
Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa

Kumbuka ile mimba ndio iliyokufanya
Ukaja kwangu (ulifukuzwa kwenu)
Ulijifunguapo mtoto na wote
Mkaishi kwangu (ukawachukiza kwenu)

Na taarifa ikaja kwako wewe Rita
Uende Arusha nduguzo wanakwita
Ukani-kiss kiss mimi na mtoto
Nikakukiss hey hey

Sauti inasikika tega makini
Hujui nani inamwita iih iih
Chozi latoka nitazamapo angani
Naona sura ya Rita iih hii

Ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
Imezoea kukushika we
Hata nyumbani kwangu haupo (hata nyumbani kwangu)
Umepotea sikuoni kwamwe (haupo)

Ooh Rita, ooh Rita
Daily nakuwaza wee
Ooh Rita, ooh Rita
Mimi nitanyamazaje?

Ni tangu Arusha hadi Iringa simu inaita napokea unalia
Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee
Mwanao analia, ona mumeo ni bora ninywe pombe

Ila kwa penzi uka-force kurudi
Piga simu mume wangu nakuja
Na maneno ya konda kwenye basi ulifika
Alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa

Ile siku mi nimelewa
Niko mi na mwanangu kumpokea mke wangu
Konda akasema si wewe, ila tu mwili wako

Sauti inasikika tega makini
Hujui nani inamwita iih iih
Chozi latoka nitazamapo angani
Naona sura ya Rita iih hii

Ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
Imezoea kukushika we
Hata nyumbani kwangu haupo (hata nyumbani kwangu)
Umepotea sikuoni kamwe (haupo)

Ooh Rita, ooh Rita
Daily nakuwaza wee
Ooh Rita, ooh Rita
Mimi nitanyamazaje?

Ooh Rita Rita ahh na Marco Chali
Ndani ya MJ Records
This is true story to Marco
Rita, Rita, Rita
Aaah hata nyumbani kwangu haupo!!

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:13.31] Ooh Rita, Rita
[00:16.28] Ooh Rita, Rita
[00:19.17] Ooh Rita, Rita
[00:22.09] Ooh Rita oh no no no
[00:24.91] Sauti inasikika tega makini
[00:27.90] Hujui nani inamwita iih iih
[00:30.52] Chozi latoka nitazamapo angani
[00:33.59] Naona sura ya Rita iih hii
[00:36.27] Ona mikono yangu mitupu
[00:39.42] Imezoea kukushika we
[00:42.33] Hata nyumbani kwangu haupo
[00:45.25] Umepotea sikuoni kamwe
[00:48.40] Ooh Rita, ooh Rita
[00:51.01] Daily nakuwaza wee
[00:53.94] Ooh Rita, ooh Rita
[00:56.80] Mimi nitanyamazaje?
[00:59.54] Aaah Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana
[01:06.12] Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana
[01:12.07] Ila we unajua ni yako familia
[01:15.91] Damu yangu ya Bongo si ya Asia
[01:18.34] Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa
[01:23.42] Kumbuka ile mimba ndio iliyokufanya
[01:26.33] Ukaja kwangu (ulifukuzwa kwenu)
[01:29.21] Ulijifunguapo mtoto na wote
[01:32.44] Mkaishi kwangu (ukawachukiza kwenu)
[01:34.88] Na taarifa ikaja kwako wewe Rita
[01:37.90] Uende Arusha nduguzo wanakwita
[01:41.28] Ukani-kiss kiss mimi na mtoto
[01:44.38] Nikakukiss hey hey
[01:47.05] Sauti inasikika tega makini
[01:49.64] Hujui nani inamwita iih iih
[01:52.39] Chozi latoka nitazamapo angani
[01:55.54] Naona sura ya Rita iih hii
[01:58.61] Ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
[02:01.59] Imezoea kukushika we
[02:04.25] Hata nyumbani kwangu haupo (hata nyumbani kwangu)
[02:07.12] Umepotea sikuoni kwamwe (haupo)
[02:10.02] Ooh Rita, ooh Rita
[02:13.24] Daily nakuwaza wee
[02:15.88] Ooh Rita, ooh Rita
[02:18.84] Mimi nitanyamazaje?
[02:22.48] Ni tangu Arusha hadi Iringa simu inaita napokea unalia
[02:28.24] Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
[02:33.54] Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee
[02:39.70] Mwanao analia, ona mumeo ni bora ninywe pombe
[02:45.59] Ila kwa penzi uka-force kurudi
[02:48.45] Piga simu mume wangu nakuja
[02:51.04] Na maneno ya konda kwenye basi ulifika
[02:53.91] Alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa
[02:57.13] Ile siku mi nimelewa
[02:59.76] Niko mi na mwanangu kumpokea mke wangu
[03:02.95] Konda akasema si wewe, ila tu mwili wako
[03:06.48]
[03:08.85] Sauti inasikika tega makini
[03:11.70] Hujui nani inamwita iih iih
[03:14.36] Chozi latoka nitazamapo angani
[03:17.50] Naona sura ya Rita iih hii
[03:20.19] Ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
[03:23.36] Imezoea kukushika we
[03:26.08] Hata nyumbani kwangu haupo (hata nyumbani kwangu)
[03:29.17] Umepotea sikuoni kamwe (haupo)
[03:32.22] Ooh Rita, ooh Rita
[03:35.52] Daily nakuwaza wee
[03:38.17] Ooh Rita, ooh Rita
[03:41.06] Mimi nitanyamazaje?
[03:45.54] Ooh Rita Rita ahh na Marco Chali
[03:54.54]
[03:59.26] Ndani ya MJ Records
[04:01.61] This is true story to Marco
[04:06.76] Rita, Rita, Rita
[04:14.38] Aaah hata nyumbani kwangu haupo!!
[04:19.53]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings